Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Huyu mnyama anaongoza kwa kuzushiwa na kutungiwa mambo mengi sana ya uongo hapa bongo, mara ana minyoo ya kifafaa, mara hachinjiki, mara ana mapepo n.k. Kwa nini afanyiwe propoganda nyingi hivi...
0 Reactions
1 Replies
212 Views
Walaamu, Wakuu, tunazidiana kwa kila namna Tupia wazo lolote ambalo laiti mtu akiligundua kuanzia kiuchumi,kimwili kiroho.....n.k ataacha kulalamika kwa namna yoyote Toeni ya moyoni, japo...
1 Reactions
10 Replies
250 Views
Wakuu, kichwa cha habari hapo juu chahusika. Kwanza naomba nieleze kwamba, taarifa ninazozitoa hapa ni za uhakika maana nimepewa na mtu wa uhakika kabisa ndani ya ASA MICROFINANCE. Nitajitahidi...
9 Reactions
36 Replies
10K Views
Mi sijawai ona kiongozi yyte wa dini ya kiislam hapa tz au vijana mitandaoni wakipambana kupinga haya mauaji ambayo yanalenga kumuondoa kama si kumfuta mtu mweusi Sudan. Na hawa ni waislam wenzao
0 Reactions
24 Replies
559 Views
Wadau, huku kwetu sinza A ni changamoto, siku haibadiliki bila umeme kukatika sio chini ya mara mbili, sasa hatuelewi ni mgao au ni uamuzi wa wenye nchi kutufanyia hivi.
0 Reactions
1 Replies
151 Views
Angalia hapa utajua. Mtu Kwa siku anapiga lakha tano na bado ana mwezi wa toba lakini kila leo anaenda kutubu, ina maana huyu mtu ni mtenda dhambi, na anafanya dhambi makusudi ili aende kutubu...
6 Reactions
24 Replies
730 Views
Natoa pongezi kwa wale waliokuwa wanakwazika na habari zilizokuwa zinarushwa hewani kupitia redio kuanzia saa 6 usiku hadi saa 11 alfajiri. Kupitia hapahapa JF kulikuwa na maandiko kadhaa...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Anonymous (8dcc)
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Utangulizi Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo...
36 Reactions
162 Replies
13K Views
Tuhuma za wafanyakazi ATCL zifanyiwe kazi haraka Najivunia kuwa Mtanzania, naipenda nchi yangu, wakati wowote nipo tayari kuitetea sifa ya nchi hii na kamwe sitamuonea haya ye yote aliye...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Date::4/10/2010'Serikali inaiua ATCL', balozi Nyang'anyiBoniface Meena Mwananchi MWENYEKITI wa bodi ya Shirika la Ndege (ATCL), Balozi Mustafa Nyang'anyi amesema serikali ndiyo inayoliua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Watu hujifanya wanawajua watu vizuri sana in and out lakini sio kila unachokijua kina ukweli wowote ambao umethibika au amethibitisha mtu mwenyewe. Watu huwajua wengine kupitia maneno ya watu...
1 Reactions
1 Replies
235 Views
Vituo vya mabasi ya Mwendokasi vya Kivukoni, Gerezani, Ubungo, Morocco na Mbezi ni vyema vikapewa majina ya viongozi wakuu wa nchi ili kuenzi mchango wao wa kuweka miondombinu mizuri na usafiri...
1 Reactions
6 Replies
642 Views
wataaalam wa teknologia ya maji KAMA TUJUAVYO shabu inasafisha na kung’arisha maji.Nimenunua nimeweka kisimani lakin maji bado yana rangi ya juice cola!! Mbinu gan nyingine ya kitaalam nimesahau
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Anonymous (c6b8)
TANESCO hatuwaoni wakija kuondoa hizi nguzo na kuziweka pembeni kupisha UJENZI wa barabara wamekaa kimya na hamna wakusema waje kutoa hata viongozi wenyewe hawaongei chochote. Nini kinafanya...
0 Reactions
14 Replies
287 Views
Wakulima wa Miwa katika Bonde la Mto Kilombero Mkoani Morogoro wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina na baadhi watu waliodanganya kuwa ni wawakilishi wa wakulima na...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Baadhi ya vijana wa Kitanzania wanafanya masihara maswala sensite chat hii inaonesha namna gani ujinga umeshamiri akilini mwa vijana hawa Ilikuwa ni chat ya kijana wa kitanzania pamoja na Kamala...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Sikutarajia kama Nyaishozi au Bukoba kuna wizi wa kijinga namna hii aisee maana kwa utambuzi wangu watu wa Kagera pamoja na Nyaishozi ni wapambanaji sana aisee sie kama makabila mengine aisee...
6 Reactions
59 Replies
1K Views
Hivi hawa Bibi na Bwana afya wapo? Migahawa ya Tanzania ni michafu sana na hao wapishi wenyewe ni wachafu mno. Hatukatai haki za watoto lakini kwa nini mtu mwenye mtoto mdogo asiejiweza aruhusiwe...
10 Reactions
86 Replies
4K Views
Fanyeni upesi kwani ama Usiku huu wa Leo au Kesho hatokuwa tena Ardhi ya Tanzania. Msije kusema GENTAMYCINE sijawaambia. Na mkimkamata mwambieni nchi ya Jirani aliyokimbilia Mumewe. Pia soma...
28 Reactions
108 Replies
5K Views
Watu wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti likiwemo la baba kumuua mtoto wake mwenye umri wa miaka mitatu kisha na yeye kujinyonga. Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza...
2 Reactions
20 Replies
916 Views
Back
Top Bottom