Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Walaghai wa Mitandao ni watu wanaofanya uhalifu wa mtandaoni kwa kuwasiliana na mlengwa kupitia barua pepe, simu, au ujumbe wa maandishi (SMS), wakijifanya wanatoka taasisi halali. Lengo lao ni...
0 Reactions
2 Replies
402 Views
Baadhi yetu huwa tunaogopa kutumia kile kidogo tulichonacho kuanza kujitafuta kutokana na woga usio na maana. Unakuta fursa unayo kabisa lakini unaogopa wanachuo wenzako watakuonaje ukianza...
9 Reactions
25 Replies
688 Views
Mimi ni single mother umri wangu ni miaka 34. Kwa ufupi Nina watoto wawili wa kiume wa kwanza ana miaka tisa wa pili ana miaka saba. Huyu kwanza yupo darasa la 4 na wa pili yupo darasa la 3...
11 Reactions
138 Replies
8K Views
Leo katika olympics mwanamke Angela Carini amelia baada ya kupigwa K.O ndani ya sekunde 46 na mwanaume anayejitambulisha kama mwanamke Imene khelif. Pichani. Hata hivyo shirikisho la michezo la...
10 Reactions
63 Replies
3K Views
Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu? Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa? Ndugu...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Mama ntilie, machinga, bodaboda na dada poa wamezeeka na wameanza kupata wajukuu. Hivi sasa mitaani kuna wazazi ambao ktk maisha yao hawajawahi kulala chumbani (bedroom). Tangu wazaliwe mpaka...
17 Reactions
32 Replies
874 Views
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
1 Reactions
0 Replies
341 Views
Anonymous (c49c)
Kumekuwa na kero Halimashauri ya jiji la Ilala kitengo cha Ardhi kinachosababiswa na huyu mtumishi mmoja Huyu mtu amekuwa akitumika kwa maksudi kuminya haki za Wananchi kupata Hatimiliki...
0 Reactions
3 Replies
315 Views
Nimekuta wadau mtandaoni wanalia kuwa Huwa wanaota ndoto wanafanya mitiani either necta form 4,shule ya msingi ,chuo au 6 ilihali hiyo hatua waliivuka kitambo sana ,hizi ni baadhi ya comments zao...
4 Reactions
67 Replies
5K Views
Kwenda australia urahisi wake upoje na maisha yake yapoje kijamii, kisiasa na kiuchumi?
0 Reactions
2 Replies
425 Views
Wakati Beijing ikiwa inaendelea na maandalizi yake ya mkutano mpya wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambao unatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 4 hadi 6 mwaka 2024...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Hivi kuna tume inayoweza kufwatilia upatikanaji wa hivi vitambulisho vya nida Yaani vimekuwa kama passport ya kuingia mbinguni Unambiwa njoo wk 2 upate namba unafika wiki ya tatu unaambiwa hamna...
0 Reactions
1 Replies
294 Views
Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona. 1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha. Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari Tanzania, Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer. Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu...
31 Reactions
225 Replies
15K Views
Nyie usiombe kuachwa na Mabasi ya Mikoani hasa kipindi kile Stendi kuu ilikua Ubungo 😅. Kuna siku nilikua naenda Mbeya sasa nimefika ubungo kumbe nimesahau Tiketi, ikanibidi nirudi kufuata...
2 Reactions
21 Replies
572 Views
Wakuu nilitaka kujua ikiwa mimi ni mwanachama wa NHIF na sasa nipo Ivory Coast. Naweza kupata huduma huku kwa kutumia kadi yangu ya NHIF?
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu tupo Morogoro na train yetu pendwa ya SGR ila ni mateso. Kabla ya kufika Morogoro tulisimama kama saa zima kwa kisingizio kuwa wanabadili njia. Tumefika Morogoro mpaka sasa tuna dakika 20...
0 Reactions
2 Replies
351 Views
Enzi zile umaarufu wa Mtu uliwafanya madereva wa UDA na baadae Daladala kuwa wanawashusha majumbani mwao wale walioishi pembezoni mwa barabara Kwa mfano ukitoka Posta kuja Mwananyala Mzee Matola...
4 Reactions
10 Replies
479 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Hili ni pendekezo Kwa viongozi wa Serikali,najua wengi wenu mko humu na mtapitia huu Uzi. Sababu za Kituo hicho Kipya kitakachokuwa kizuri kupita...
6 Reactions
46 Replies
908 Views
Surah Al-Qasas (28:76-82):“Hakika Qarun alikuwa miongoni mwa watu wa Musa, lakini alijitenga na wao kwa kiburi. Tulimpa mali nyingi sana, na funguo za hazina zake zilikuwa nzito kubeba na watu...
1 Reactions
14 Replies
624 Views
Back
Top Bottom