TAARIFA KWA UMMA
ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI VYA VIZAZI NA VIFO VYA WANAFUNZI WANAOOMBΑ ΜΙΚΟΡΟ YA ELIMU
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umepokea jumla ya maombi uhakiki 143,157 ambapo...
Msanii wa vichekesho bwana Steve Nyerere amewataka wasanii wenzake waelewe kuwa ujanja hapa mjini ni nyumba itakayokusitiri mpaka uzeeni na siyo bia na wanawake watakao kutosa na kukukimbia kabisa...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tanga, imetoa uamuzi Mdogo Katika Shauri la Maombi ya Jinai katı ya Kombo Twaha Mbwana dhidi ya Kamisha wa Polisi Mkoa(RPC) Tanga, Inspekta Generali wa...
Nilianzisha uzi wa kupost fursa zote za Scholarships zinazojitokeza katika link hii:
https://www.jamiiforums.com/threads/bonus-orodha-ya-full-funded-scholarship-za-kumalizia-mwaka.2170915/...
Hawa watu wa vivukoni ni bora wafurushwe wote kuanzia anaesafisha vyoo hadi wasimamizi!! Hii ni total failure, vivuko vyote vimeharibiwa kimebaki kimoja mara kwa mara kinazimika njiani...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Daniel Sillo amesema Serikali iko mbioni kufunga mitambo ya camera za uchunguzi takribani 6500 kwa kuanzia na Majiji makuu manne ili kupunguza uhalifu na...
Huyu jamaa alikwenda kwa lulenge aakamsfia na makofi kibao kanisani
Gafla kamkaqta naabii mwenzie anasema asiengeweza kuendelea na mahubiri kama yale ya kishenzii...
Katika biashara yapo mambo yanayofanywa na wafanyabiashara ili kuwavuta wateja ambayo ukisimuliwa unaweza kufikiri ni utani ama story za vijiweni.
Miongoni mwa mambo hayo ni matumizi ya koromeo...
Habari zenu wakuu, natumai mko salama kabisa, siku za hivi nyuma kuna jambo nilikutana nalo mpaka nikajikuta naingiwa na huruma juu yule mtu pamoja na maisha yangu.
Nilikutana na baba mmoja wa...
1.Urahisi wa Kutupa: Wavutaji wengi wa sigara hawana mahali maalum pa kutupa vipande hivyo baada ya kuvuta, hivyo wanavitupa ovyo ovyo.
2.Ukosefu wa Uhamasishaji: Watu wengi hawajui madhara ya...
MBUNGE CHRISTINA MNZAVA AGAWA VIFAA VYA MICHEZO KWA WANAFUNZI SHINYANGA VIJIJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Christopher Mnzava amegawa vifaa vya michezo kwa...
S/N 1/3
Historia ya Somalia.
Kuliangalia hili
Somalia imepata uhuru mwaka 1960
Kenya imepata uhuru mwaka 1963
Djibuit imepata uhuru mwaka 1977
Ethiopia haikutawaliwa isipokua sehemu ya...
BURUNDI NA RWANDA
Hizi ni nchi mbili tofauti ambazo zipo ukanda wa maziwa makuu.Pamoja na kua ni nchi mbili tofauti bado zimeundwa na makabila mamoja kwa kiasi kikubwa .
Makabila matatu makuu...
Uongozi wa TRA pamoja na mamlaka zingine ziwe makini sana na baadhi ya wafanyabiashara/wasafirishaji wa mabasi na malori ya mizigo wanaweza kuhujumu usafiri mpya ulio zinduliwa wa treni ya kisasa...
Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa.
Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya...
kumetokea vunja vunja barabarani kisiwani Zanzibar na kwa mujibu wa maelekezo ni kuwa manispaa walitakiwa waondoe vimeza vilivyopo nje tu ya maduka au katika maeneo ya umma.
Lakini wao kwa...
Nipo mkoa wa Rukwa wilaya ya Nkasi kijiji cha Korongwe. Leo asubuhi kumezuka taharuki kijijini hapa KORONGWE iliyotokana na kuwepo kwa watu wanaojitambulisha kuwa ni maafisa biashara kutoka...
Mbunge wa Moshi Vijijini Profesa Ndakidemi.
Ni mbunge anaesakamwa na watu wasiomtakia mwema kuanzia kwenye chama chake mpaka kwa wapiga kura. Chuki hizo zinakolezwa na wasaka ubunge kwenye jimbo...
Ukikaa ukatafakari utaona watu mlio sawa nao umri wamefanikiwa na hata uliowazidi kiumri wamefanikiwa kimaisha kuliko hata wewe.
Hapo sasa homa ya mafanikuo inapanda na kuanza kufanya vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.