Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakubwa ni habari za wakati huu... Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali...
7 Reactions
71 Replies
5K Views
Huwa najiuliza kwa mfano mawaziri wetu wote ni wabunge. Je, wanapokea kila mwezi mishahara miwili? Mshahara wa mbunge na mshahara wa waziri? Na sasa tunaye naibu waziri mkuu ambaye ni 1. mbunge 2...
1 Reactions
11 Replies
527 Views
DAR: Rais Samia Suluhu Hassan amesema kila anapozunguka Mikoani changamoto ya kwanza anayokutana nayo ni upungufu wa Watumishi wa Afya na Elimu lakini hali hiyo inasababishwa na Sekta hizo...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Unajifungia ndani unaogopa kufanya baadhi ya kazi Eti watakuonaje? Ukifanya kazi ukapata pesa yako hutapata aibu na kuomba ni aibu zaidi. Tukafanye kazi ili mradi tu tusivunje Sheria za nchi.
18 Reactions
66 Replies
1K Views
Ndgu waandishi wa habari, Wizara hii ina historia kubwa. Iliwahi kushikwa na wakubwa na watu maarufu. Haijawahi kuboronga. Haijawahi kutokea migongano ya kimaslahi. Kwa maana hiyo haijawahi kuwa...
1 Reactions
1 Replies
233 Views
Kwa Tanzania sio ajabu kuacha salio kwenye mtandao labda Vodacom (imenitokea)salio la muda wa maongezi baaye ukajikuta salio limepungua au kukatwa. Ni nadra uweke salio labda 1000 usijiunge baada...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Kuaharisha na kuugua matumbo limeshakuwa ni janga. Kulingana na mazingira ya kazi na umbali, inakuwa ni vigumu kurudi nyumbani ukale kisha uendelee na kazi. Baadhi ya migahawa imekuwa ni janga...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimeshuhudia sehemu nyingi za kuuza vyakula au vinywaji wakiwa hawazingatii kabisa kanuni za usafi, na sio kwa sababu wanafanya makusudi bali kwa sababu ya uelewa mdogo. Haya ndiyo niliyoshudia...
1 Reactions
12 Replies
966 Views
Habarini wanajukwaa, Jamani naomba kufahamu kuhusu hii mitandao ya smu. Nimekuwa nikiweka Salio katika mtandao X mfululizo, jana asubuhi nimeweka salio kwa rusha nikaunga vizuri, jioni wakati...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa Treni ya Kisasa (SGR) haitakuwa na tatizo la umeme, kwa sababu mabehewa yatakuwa na uwezo wa kuhifadhi umeme wa ziada kwa saa moja hadi mbili. Waziri wa...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Hapa twende taratibu. Niwaulize kwa nini Rwanda wamefanikiwa kwenye hicho kipengele? Yaani unakuta mama ntilie msafi hata kama bibi kizee unavutiwa kula chakula kwake maana kwanza ni wasafi...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Najua wengi hamuwezi amini lakini kuna utafiti nimeufanya kwa wale tuliomaliza kidato cha nne kuanzia mwaka 2010 kushuka chini ambapo kipindi hicho mtu ukipata division one au two form four...
9 Reactions
96 Replies
17K Views
Hongeni muwezavyo na Rogeni muwezavyo ila Nguvu ya Mitandao haijawahi Kushindwa na Wapuuzi Duniani. Tofauti yenu na huyu Kiboko ya Wachawi mi ndogo sana ila nyote tu mnaogelea Bahari moja...
18 Reactions
41 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba mazingira yetu ya kazi hasa katika sekta ya Umma hayapo sawa. Unakuta baadhi ya sehemu waajiriwa wake wanafika kazini ila hawajui wanafanya nini siku hiyo. Sasa kazi ni kupiga...
2 Reactions
8 Replies
333 Views
Kwa nini unaogopa kujaribu? Nini shida Kijana? Jaribu kufanya Chochote kizuri kitakachokusaidia wewe. Usitegemee mtu. Maisha ya sasa hivi ni wewe mwenyewe na wala usimlaumu mtu. Kama umekosea...
9 Reactions
27 Replies
707 Views
Nafahamu kuwa kila mtu ana malengo yake. Lakini watu wengi wameshindwa kutimiza malengo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kusubiri kusaidiwa ama kushikwa mkono na watu. Hata Serikali...
2 Reactions
0 Replies
158 Views
Hivi ukitoboa tundu kwenye dunia kutoka face moja through the centre mpaka upande wa pili, halafu ukajirusha kwenye hilo shimo utaishia wapi?
7 Reactions
323 Replies
41K Views
Hapa kazini nimekutana na binti Wa kisabato.Nimekua nae karibu sana na ananiheshimu sana kikazi lakin pia kimahusiano ya kawaida. Ni binti mwenye maadili ya hali ya juu, kutokana na mazoea...
6 Reactions
35 Replies
739 Views
Miongoni mwa changamoto nyingi zinazowakumba watumishi wa serikali ni mikopo almaarufu kama Kausha damu, ambapo inasemekana kua mikopo hiyo imekua changamoto kubwa sana kwa wafanyakazi wa serikali...
1 Reactions
15 Replies
719 Views
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
45 Reactions
377 Replies
20K Views
Back
Top Bottom