Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kufuatia mdahalo wa wagombea nafasi ya Rais wa TLS, matokeo ya utafiti yanaonyesha kwamba Sweetbert Nkuba amewashinda washiriki wenzake kwa kujibu kwa ufanisi maswali yafuatayo: 1. Sera na...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Baada ya JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui mnamo Mei 2024 kuwa Serikali haijawalipa malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Mradi...
0 Reactions
1 Replies
574 Views
Baba Mkwe wa hiari huyo alipokuwa Umoja wa Waliotuzaa Chamani aliharibu na kaacha Kashfa nyingi tu. Hafai huyo.
2 Reactions
5 Replies
752 Views
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
61 Reactions
207 Replies
11K Views
Mawakili na Wanasheria wa Chama cha wanasheria wa Tanganyika Law Society (TLS) wanajiandaa na Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni, wamesema wanataka kiongozi ambaye atawaunganisha na...
2 Reactions
22 Replies
954 Views
Au mnasemaje wanabodi ili tuingize vitu vipyaaa na tusalimishe mazingira na afya. Katika kulinganisha viwango vya ushuru vya magari yaliyotumika na nchi nyingine, tunaona tofauti kubwa. Kwa...
1 Reactions
6 Replies
420 Views
KOREA KASKAZINI - Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ameshiriki misheni ya kuokoa zaidi ya watu 5,000 waliokumbwa na mafuriko kaskazini-magharibi mwa Korea Kaskazini, vyombo vya habari vya...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Huwa nashangaa sana mtu kusema Hamna uchawi ila kusema kweli uchawi upo tena bila chenga. Haya ni baadhi ya matukio ambayo yaliweza kuniaminisha kuwa uchawi upo. TUKIO LA 1# Miaka ya 2000s...
21 Reactions
87 Replies
4K Views
Kwamba unaweza kumwambia mtu kuwa unampenda bila kuhofia kuwa utakataliwa, yaani hauwazi kabisa cha muhimu kwako unampenda mtu huyo,yaan haijalishi kama yeye atakupenda bali cha msingi ni wewe...
1 Reactions
0 Replies
205 Views
Kuna pikipiki za aina nyingi sana madukani kama San LG, Fekon, Toyo, Honda nakadhalika.., lakini nimekuja kugundua kwamba majambazi wote (100%) wanatumia Boxer BM 150 kutekeleza uhalifu wao na...
3 Reactions
112 Replies
22K Views
Mimi Binafsi nimejionea unaenda kwa mtu kumuomba ushauri anayokushauri tu utachoka. Mtu mzima na mvi zake mambo anayofanya tofauti na umri wake. Halafu hata aibu wamekosa kabisa Jamani. Nini...
5 Reactions
15 Replies
544 Views
Niliwahi kuambiwa hospitali na zahanati huwa zinabanwa kufanya matangazo ya kibiashara kuvutia wateja kwenye vyombo vya habari kwa sababu za kimaadili ya afya, sina uhakika kama kuna sheria au...
3 Reactions
32 Replies
574 Views
Julai 26, 2024, JamiiForums iliendesha Mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya Habari kama sehemu ya kuwajengea uwezo katika kutekeleza majukumu yao. Washiriki walifundishwa athari...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Russia imedai inatengeneza drone 4000 kwa siku. Hii ni kutokana na silaha nyingi kutumika kwene vita ya Ukraine. Ushauri kwa serikali. Hii nchi mbaka sasa sijui inatengeneza nini. Pamoja na...
5 Reactions
48 Replies
1K Views
Habari za saa hizi wakuu, poleni kwa mihangaiko ya siku ya Leo. Kwanini kwasasa kumekua na machawa wengi sana?? Na ni kivipi mtu una akili zako timamu ukubali kua chawa?? Kama tunavyojua chawa...
2 Reactions
10 Replies
214 Views
Wakuu, hivi Mamlaka zetu lini zitakuwa macho kukemea na kujali Afya za watu wake? Kuna mambo ya ajabu sana yanafanyika waziwazi mitaani lakini Mamlaka ziko kimya, hivi inakuwaje Watu wanauziwa...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Nimefanya mahojiano na watu wa fani hii,kuanzia watu wa kawaida mpaka viongozi wa...
53 Reactions
1K Replies
90K Views
Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 3 kwa ajili ya kushughulikia Barabara zilizoathiriwa na mafuriko/Mvua...
1 Reactions
4 Replies
191 Views
kwa waliotembelea Kigali (though not the whole Rwanda), kuna kitu kikubwa sana nimejifunza toka kwao, ambacho muda unavyoendelea wanaweza kufikia level zile za nchi za ulaya kabisa kwenye suala la...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Maduka yote ya Stendi Kuu ya Moshi mkoani Kilimanjaro yamefungwa leo kutokana na mgomo wa wafanyabiashara hao ambao wanadai Kodi inayotozwa stendi hapo ni kubwa isiyo rafiki. EATV imeshuhudia...
2 Reactions
5 Replies
438 Views
Back
Top Bottom