Wengi hapa jukwaani natumaini tunafahamu chombo cha habari Mtandaoni cha Jambo TV, ni kati ya vyombo ambavyo vimekuwa vikifanya vyema kwa siku za hivi karibuni.
Pamoja na hivyo, lakini msimamizi...
Maoni yangu binafsi kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Hapa Nina orodha ya Watanzania wenzetu,wanasiasa ambao Kwa namna moja au nyingine huenda miongoni mwao watakuwepo wenye tamaa ya kutaka kuwania...
Najiuliza tu, kama kweli kuna umakini katika hili, mbali na katibu mkuu wa wizara kukesha gym na mitandaoni, sioni alichokifanya katika Wizara, ni mambo ya status quo ante.
Arusha na Dodoma...
Ni mwezi wa pili sasa tangu mabasi ya Katarama yenye brand ya Scania Irizar i6 kuonekana South Africa yakija Tanzania.
Kwa muda mrefu mpaka sasa bado hayajafika Tanzania licha ya mapichapicha...
Hongera sana serikali kuanzisha pepmis ambayo imekuwa chachu kwa huduma za utumishi kupatikana kidigitali. Pepmis imerahisisha sana kwa serikali kuona watumishi wao wanayofanya kila siku.
Lakini...
Dunia ya Leo inakabiliwa na watu wa hovyo katika nyanja zote .watu wamekuwa wababaushaji kuliko ubabaushaji wenyewe. Watu wamekuwa wakitafuta gap kidogo tu ili akuibie. Mentality za watu wengi...
Jana tarehe 27 Julai 2024 MTEJA WANGU alifungua KESI YA WIZI WA TZS 10 BILIONI katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar Es Salaam. Polisi walifanikiwa KUMKAMATA MTUHUMIWA 1 (Mke wa Mteja wangu)...
Nimehamishiwa Chalinze kutoka Bagamoyo, lakini tayari nmejenga ila Bado sijamaliza finishing lkn familia yangu mke na mtoto mmoja wanaishi hapo na Mimi nachoka kurudi Bagamoyo kwenda na kurudi...
Serikali na viongozi wake ni muda sasa wa kuwambia ukweli wahitimu wetu katika nyanja tofauti ukiangalia idadi ya vijana waliomaliza vyuo inatisha, wanaojitolea kwa posho kidogo ndio usiseme...
Pamoja na Kanisa lao kufungiwa na serikali ya Tanzania, lakini Waumini wake wamemiminika kwa wingi leo kanisani hapo wakiamini Ibada ipo
Je yawezekana hawakusikia Tangazo la Serikali...
Baada ya kuishi hizi nchi za wenzetu
Nimeona mambo mengi pia nimejifunza mambo mengi
Hasa hasa mambo ya uongozi japo sina elimu kubwa zaidi ya kujua how hawa wenzetu wanaongoza nchi zao ila...
Kama ilvyoripotiwa na TRC kwamba hitilafu ya umeme iliyotokea tarehe 30/07/2024 majira ya saa 4:20 usiku kwenye kituo cha kupoozea umeme namba 7 (Godegode) husababishwa na wanyama (ngedere) au...
Habari wakuu naomba msaada,
Nataka kuanza safari ya kwenda Namibia kwa njia ya basi.
Je inawezekana kwanza? Pili niwe na document zipi ili nisisumbuliwe njiani na niandae kiasi gani njiani na...
Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni.
Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku...
Hakika vita ni inatisha sana na ugomvi sio kitu kizuri maana mwisho wa siku wanao umia ni watoto. Pichani ni picha za watoto wa kiongozi wa hamas Ismail hanneiya hapo jana watoto wake watatu na...
Hii ni kwa watumiaji wa Mabasi ya Mwendokasi tuu jijini DSM.
Kwa kuwa Serikali haina mpango wa kupunguza adha inayotukabili abiria wa mabasi haya.
Na kwakua sisi abiria hatuna mpango...
Mvutano wa kisheria unaoendelea Kuibuka katika shauri lililofunguliwa na Wakili Steven kitale katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya mjibu maombi wa nne, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.