Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu. Nimekuwa...
33 Reactions
241 Replies
5K Views
Hivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu...
26 Reactions
344 Replies
14K Views
Wajinga bado wapo. Hii ni story ya kweli kabisa nimesimuliwa na mtu maskani. Ipo hivi kuna boda boda alipigiwa simu na namba ngeni. Namba ngeni: Xx aloo Boda boda: Haloo niaje Namba ngeni: Eh...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Sina uzoefu mwingi wa matumizi ya mitandao ya kijamii, bado mshamba kiasi, na neno KARMA nimelipata humuhumu jamii forums. Katika kutafutatafuta maana ya KARMA kwa kutumia kamusi za humuhumu...
3 Reactions
3 Replies
370 Views
Wakati wakipita juu ya mto wakiwa kwenye boti kila mmoja alijiuliza mbona wengi sana baadaye inatoka taarifa kuwa wanamichezo ni 9 na ma-afsa wa serikali kutoka wizara mbalimbali ni 67 na watakaa...
15 Reactions
114 Replies
4K Views
Kumekuwepo na changamoto kubwa ya uchomaji wa taka kwenye soko la sabasaba jiji Dodoma, nyakati za usiku. Taka hizo ambazo ni mabaki ya majani ya migomba na mabaki ya matunda kutoka soko la...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Nazani elimu ya degree kwa Tanzania inatosha sana , kukufanya uishi vizuri na ufanye mambo Yako kwa amani, kusoma zaidi ya degree ni matokeo ya hofu ya maisha, na hofu ikipitiliza humfanya mtu awe...
27 Reactions
115 Replies
2K Views
Habar wanajf Napenda kufahamishwa mazingira ya hii kata ya dakawa morogoro kiutafutaji. Napanga kuhamia hapo ila si mbaya nikapata machache km vile huduma za kijamii upatikanaji wake, Binafsi...
0 Reactions
2 Replies
326 Views
Hii hospitali ipo Iringa-Karibu na Shule Ya TOSAMAGANGA kata ya Kalenga imekua na matukio mengi kama hujashuhudia basi kusimuliwa na yaliowahi wakuta. Usiku Anakuja Muhudumu anakuita mtoke nje au...
11 Reactions
83 Replies
6K Views
Salaam, shalom!! Leo natoa ushauri huu ambapo ndio kwanza mkurugenzi mkuu mpya ameteuliwa hivi karibuni. Wataalamu wa KILIMO Huwa wanalima kitu kinaitwa SHAMBA DARASA. Huwa wanafanya hivi Ili...
7 Reactions
33 Replies
872 Views
Habari JF!!! Nimekuwa nikitumia Bank X kwa muda wa miaka kadhaa kuweka savings zangu na kupitishia miamala mbali mbali. ila nikiacha tu hata week. hayo makato yake sio mchezo, makato inaeza...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Ningekuwa mimi leo viss wa NIDA Kawe asingerudi ofisini tena kesho Leo nimesikitika sana nikamkumbuka Magufuli mno Ajabu sana kuona ofisi kubwa kama Kawe NIDA haina genereta Huko huko ndani...
0 Reactions
3 Replies
302 Views
Hatua zilizochukuliwa na Serikali katika kukabiliana na ongezeko la gharama ya kusafirisha makontena zimezaa matunda baada ya gharama hizo kushuka na kurudi katika bei ya awali ambayo ni Dola 3...
2 Reactions
7 Replies
524 Views
Habari? Mimi ni mtumishi nataka nivute kimkopo changu na hii ni baada ya kupandishwa daraja, sasa nikiingia kwenye mfumo wa ESS nakuta kuna bank tofauti tofauti na asilimia zao. Kila nikiangalia...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
Kuna kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 huko Jkt kambi ya Itaka Songwe(zamani Mbeya). Watoto wamepelekwa kwenye kubangua mahindi kwenye mashine mbovu,na mbaya zaidi operator...
30 Reactions
107 Replies
6K Views
TANZIA: MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 /01/2020. Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga...
73 Reactions
759 Replies
75K Views
Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani. Kwa ufupi Wakristo na Waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri...
46 Reactions
252 Replies
13K Views
Kuna hili Eneo hapa Kanisa la st. Peters karibu na gate la "Security officers" Barabara imewekwa viraka juu ya viraka. kila inaponyesha mvua lazima iharibike hivi kweli mpaka mtu apate ushauri...
2 Reactions
21 Replies
825 Views
Naanza kutanguliza salamu na shukurani hapa JF. Pili nawasilisha hii mada kwenu wajuzi tusaidiane ni mbinu zipi mtu anaweza kuzitumia kupunguza na kuacha kabisa kuvuta sigara Baadhi ya mbinu...
4 Reactions
24 Replies
828 Views
Wadau, Naomba kupata taarifa za ujenzi wa viwanja vipya vya michezo hapa Tanzania. Kwa yeyote anayefahamu naomba anijulishe hasa kile cha Arusha......kuna fursa ninaisubiria Kwenye picha, ni...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Back
Top Bottom