Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Akizungumza leo Julai 31, 2024 katika semina iliyowakutanisha watetezi wa Watoto kutoka Mikoa mbalimbali nchini, Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC),Wakili Onesmo...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Vitendo vya utapeli vinavyofanywa na kampuni ya KMM LAND USE CONSULTING CO.LTD, yenye namba ya usajili 0359-T0218, iliyo na ofisi Sinza - Dar es Salaam. Kampuni hii ilipewa kibali cha upimaji...
1 Reactions
1 Replies
244 Views
Niwapongeze watanzania (hususani watanganyika) kipekee zaidi watumishi wa umma kwa kufanikisha nchi yetu kuwa na moja ya miundombinu na usafiri wa kisasa nchini hakika pongezi ziende kwenu na...
15 Reactions
101 Replies
3K Views
Embu tujadili na kuangalia umuhimu/ulazima wa hii michango ya harusi .Tunaishi kijamaa ndani ya mifumo ya kipepari,tuna vipato vya kawaida sana hasa kwa ndugu zangu wafanyakazi. Wafanyakazi...
4 Reactions
29 Replies
938 Views
Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana weengi humu...
11 Reactions
88 Replies
2K Views
Hivi tukiweza kuondokana na mabati yenye kutu, yaliyochoka tutakuwa tumeondokana na alama kubwa ya miji yetu? Tunaweza kufanya nini kuhamasisha watu kuezeka kisasa? Inawezekana kuondoa bati hizi...
2 Reactions
11 Replies
430 Views
1. Akili na Uwezo wa Kutatua Matatizo: Kunguru wana uwezo mkubwa wa kutatua matatizo na kutumia zana. Kwa mfano, kunguru wa New Caledonia (Corvus moneduloides) wameonekana wakitengeneza na kutumia...
4 Reactions
11 Replies
548 Views
Wasalaam. Nimekaa chini na kutafakari ili kujua upi ni mchezo sahihi kwa wanaume wa kweli kati ya michezo yote iliyopatwa kubuniwa, wanaume wa kweli nikimaanisha wale marijali, wale wenye roho...
4 Reactions
5 Replies
297 Views
Baba wengi wakati mwingine wanachelewa kurudi nyumbani kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo za kikazi. Lakini Baba wengine akishahakikisha kila kitu ndani kipo basi ndo kamaliza hivo. Atakuwa...
15 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari za asubuhi familia. Naandika nikiwa na uchungu sana moyoni lengo ni kuwaasa vijana wenzangu hii kitu Watanionaje ni roho ya shetani yenye lengo la kuzuia maendeleo hasa kwa vijana kuchukua...
19 Reactions
39 Replies
1K Views
Wanafunzi wawili wa chuo cha Must Mbeya wamefariki katika machimbo ya Mererani walikokuwa wameenda kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo Chanzo cha vifo vyao imedaiwa kuwa ni kukosa hewa ndani ya...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Ushawahi kuona mtu Ana skendo chafu chafu haswa za umalaya uliopitiliza au ulevi na ukorofi lakini ukashangaa anaitwa kuketi katika karamu ya wakubwa na anashirikishwa michongo.? Kuna watu...
1 Reactions
2 Replies
286 Views
SERIKALI YAAHIDI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA JESHI LA MAGEREZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepokea malalamiko ya mgogoro wa Ardhi kati ya...
0 Reactions
0 Replies
188 Views
Jamani wanaJF nawaombeni mnisaidie kidogo mawazo yenu. Hivi rais aliye madarakani, na ambaye mshahara wake pamoja na marupurupu ni makubwa, ambaye hatumii hata senti moja kununulia ama sukari...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hali hiyo, wanaielezea ilisababisha kuanguka chini na wakazidi kumshambulia hadi wakahakikisha amekufa huku vijana wake wa kazi wakiingia mitini. Ofisa wa Polisi ambaye hakutaka jina lake litajwe...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
Kuna mambo madogo madogo na yamezoeleka lakini ni ishara mbaya. Taa nyekundu imewaka mbele yako, jitafakari. Naandika haya kwa experience ya mambo niliyoyaona na kuyasikia katika jamii. Sometimes...
49 Reactions
89 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Nchi haina dini na katiba ya Tanzania inatangaza uhuru wa dini kwa wote.Mara nyingi idadi ya wafuasi inatajwa kuwa theluthi moja waislamu,theluthi moja wakristo na theluthi moja wafuasi wa dini za...
0 Reactions
2 Replies
234 Views
Mkuu Mtani wangu Mwerevu Arovera nitafurahi sana kama ukija na kuanza kutoa Muongozo wako wa Kimaoni hapa.
2 Reactions
5 Replies
239 Views
Nadhani muda umefika siyo mbali CCM inakwenda kulala upande mmoja. Mwl. Nyerere aliposema CCM si mama yake wala baba yake alikuwa na maana hasa. Mwl. Nyerere aliposema mpinzani wa kweli atatokea...
6 Reactions
12 Replies
708 Views
Back
Top Bottom