Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Taasisi ya Moyo ya Texas (THI) na kampuni ya Vifaa vya Matibabu (BiVACOR) zimefanya upandikizaji wa Moyo wa Bandia (TAH) kwa Binadamu utakaokuwa mbadala wa Moyo unaoshindwa kufanya kazi...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema Treini za kisasa zitakuwa na uwezo wa kubeba tani 10,000 kwa mkupuo jambo amesema kuwa ni sawa na mzigo ambao unabebwa na malori 500. "Treni za...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimekuwa nikijiulza hivi sayansi ya lugha duniani ikoje, mbona duniani lugha ni nyingi ila kuna maneno ambayo kila taifa lazma wawe nayo na maana Ni moja. Utakuta watu wa Asia kama...
4 Reactions
7 Replies
556 Views
USIKUBALI KULIPWA MSHAHARA MAISHA YAKO YOTE… KATAA🧠 “A salary is a drug they give you when they want you to forget about your dreams" ... Kevin O'Leary Vipi unakubali au unakataa? REPOST Wengi...
29 Reactions
62 Replies
4K Views
Dstv wamekanusha taarifa iliyonezwa kuwa vifurushi vimepanda kutokana na tozo za Serikali. =====
12 Reactions
58 Replies
5K Views
Majukumu yameisha Now we are free! Kwanza pongezi Kwa kuendelea kulisukuma gurudumu la habari hapa! Kuna Mikakati Muhimu sasa tutaanza kujua kabla ya wengine, Be the first to know!! Britanicca
13 Reactions
63 Replies
3K Views
Nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza, lakini sijaufaidi vilivyo kwa sababu siyajui maneno yake. Tafadhali anayeyafahamu anisaidie. Asante.
3 Reactions
15 Replies
942 Views
Hakuna ofisi maalum ya madereva wa serikali (wakiwemo wa halmashauri na wizara mbalimbali) kutumia wakati wanasubiri mabosi wao watoke ofisini au kwenye mikutano ya kujenga taifa? Naona kama...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Makao makuu ya nchi ni Dodoma hakuna kurudi nyuma Ni furaha kwamba maadhimisho haya yanafanyika Dodoma makao makuu ya nchi katika uwanja ambapo mwaka 2016 wakati wa maadhimisho haya Hayati...
9 Reactions
50 Replies
6K Views
Wenyeji au yeyote anayefahamu kuhusu hili. Wilaya ya Mbozi iliyopo mkoani Songwe ni vituo vipi vinatumika na serikali kununulia Mahindi ya wakulima bila kusahau malipo yao yanachukuwa muda gani...
1 Reactions
3 Replies
190 Views
Namtafuta ndugu Living Kalist ndege nina mkono wa pongezi kwake. Anawawakilisha watu wa Kilema Pofo vizuri kimataifa. Ikiwezekana DW wamtembelee.
1 Reactions
0 Replies
222 Views
Kuna Video inasambaa kwenye Mitandao ya Kijamii nikaona niwashirikishe kuna la Kujifunza ============= Victor Tesha Nilikutana na mvulana mdogo sana ambaye kila siku alikuwa akisafisha kioo cha...
6 Reactions
17 Replies
749 Views
Kwanza nikupongeze sana OC-CID wilaya ya Bunda kwa ulivyopambana na uhalifu na pongezi zaidi kuuzima uhalifu wa kutumia pikipiki ulioanza kuchukua nafasi hivi karibuni nyakati za usiku. Kiukweli...
0 Reactions
7 Replies
445 Views
Hataa bonus ya Mungu kapitiliza khah! Muwe na kikomo cha miaka jamani. Hivi vyeo hata watoto wetu wanavipenda sana tu.
2 Reactions
0 Replies
205 Views
Ukiangalia sarafu dhaifu za Afrika, inadhihirika kuwa udhaifu wa nchi hizi unachangiwa na sababu nyingi zenye utata. Iwe ni kutokana na kutokuwa na uthabiti kisiasa, changamoto za kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Huwa sipendi kuhoji Imani za watu wengine kwani Kila mtu ana Imani yake nahivyo huwa namheshimu Hata hivyo Leo nimeona nihoji japo kwa uzuri tuu. Kwamba waliagizwa na...
0 Reactions
2 Replies
278 Views
Yaani katika maisha yangu urafiki na masikini hapana aisee yaani Kwa pesa hizi nilizonazo halafu niwe na urafiki na masikini aniambukize njaa aisee hapana. Hivi nyie masikini kwanini msipambane na...
4 Reactions
43 Replies
1K Views
kumekuwa na Kesi nyingi za kaka na dada, mama na mtoto, baba na mama yani ni hatari. Inafikia Hatua hadi wanatamkiana maneno mabaya. Kesi nyingi Mahakamani ni za ndugu aidha wakigombea mirathi...
9 Reactions
29 Replies
856 Views
Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania yaahidi kuunganisha bara la Afrika kwa nishati ya umeme kupitia mradi mkubwa wa usafirishaji umeme unaohusisha ujenzi wa njia za usafirishajiumeme wa...
1 Reactions
0 Replies
206 Views
Back
Top Bottom