Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Manispaa ya Ubungo wameng'oa mabango mbalimbali barabarani huku wakiacha mengine yakiwepo. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa ya kuondolewa kwa mabango hayo lakini ghafla tunakuta yameondolewa...
3 Reactions
9 Replies
394 Views
Nilikaa hapa nikafikiria, nikatamani wazo la kujenga bandari ya bagamoyo kama lingekuwepo, ikaunganishwa reli ya SGR toka dsm,bagamoyo, tanga, moshi, arusha, musoma to kenya, na bagamoyo...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Kanisa Katoliki jimbo la Ifakara limemsamehe Enock Masala mwenye umri wa miaka 19 aliyetaka kutoroka na Ekaristi Takatifu kanisani. kijana huyu alikamatwa julai 28, 2024 wakati wa misa ya kwanza...
1 Reactions
17 Replies
778 Views
Mfanyabiashara na mwanasiasa Boniface Jacob maarufu Boni Yai na mwanaharakati Godlisten Malisa na baadhi ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wakiwa katika viwanja vya mahakama ya...
1 Reactions
0 Replies
411 Views
Baada ya kujitathimini nimegundua sina msimamo katika maisha yangu. Naomba ushauri nifanye nini? Niwe na msimamo thabiti?
8 Reactions
38 Replies
865 Views
Julai 26, 2024, JamiiForums ikishirikiana na The Collaboration on International ICT Policy for East and Southern Africa (CIPESA) iliendesha Mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya...
4 Reactions
2 Replies
533 Views
Mke wangu alipata ujauzito na akajifungua mtoto wa pili akasema nisimwite jina la mama yake kwani mama yake ni mshika madawa Sana. Nilimwita jina lingine mama mkwe akamwambia aje amzalie mtoto wa...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Ofisi ya Taifa ya Takwimu Imetoa data zinazoonyesha Ukubwa wa Uchumi Kwa Kila mkoa Kwa Tanzania Bara Kwa mwaka 2022. NBS imechapisha kitabu Cha Hali ya Uchumi wa Taifa mwaka yaani Tanzania in...
11 Reactions
229 Replies
26K Views
Wadau hamjamboni nyote? Toka wiki iliyopita tumekuwa na mjadala mzito usioisha unaohusu Ushahidi wa Kibiblia uliotabiri ujio wa Mtume Mohamed Hapa tulipo hakuna anayebisha kuhusu uhalali wa yeye...
1 Reactions
12 Replies
519 Views
KENYA - Mahakama ya Rufaa imeagiza mwili wa Silas Igweta uhifadhiwe katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Umash jijini Nairobi kusubiri kesi iliyowasilishwa na mke wa pili wa marehemu, Sarah...
5 Reactions
11 Replies
761 Views
Zanzibar kwa miaka ya hivi karibuni hakuna taarifa za watu kutekwa wala mauaji wala kubambikiwa kesi. Ikiwa ili eneo lipo ndani ya JMT tunaweza kujifunza ni mbinu gani wametumia kutuliza upepo wa...
1 Reactions
3 Replies
162 Views
Wakati viongozi wa soko la Kurasini, lililopo Mtaa wa Shimo la Udongo, barabara ya GSM jijini hapa, wakieleza wapo hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuuza soko hilo, uongozi wa Halmashauri...
1 Reactions
5 Replies
262 Views
The Fisherman's Fortune: A Tale of Serenity Cove https://youtu.be/NxQy8RmBpgE In a world where fortunes are as fickle as the sea, Marco, a humble fisherman, faced the ultimate choice: risk it all...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa rai kwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)–Hospitali ya Dar Group kutotoza gharama zisizo himilivu kwa wananchi...
0 Reactions
1 Replies
299 Views
Kuna wanaume wengine wapumbavu, mwanaume unakimbiaje nyumba kumkimbia mwanamke? Kabisa mwanaume unasimulia watu umemkimbia mwanamke kisa timbwili lake. Kuna mtu alikuwa ananisimulia ameachana na...
20 Reactions
128 Replies
3K Views
Kiuhalisia tu iwe Kazini, kwenye Biashara, Shuleni, Nyumba za kupanga kuna vijimaneno vya hapa na pale. Fulani kasema wewe hivi na vile na wewe bila kumuuliza unaweka chuki. Hali hii imegombanisha...
3 Reactions
2 Replies
168 Views
Ukisikiliza wanavyochambua Magazeti na kuwaponda Watumbuliwa wa hivi karibuni huwezi amini kama Nape alikuwa Boss Wao juzikati tu na walimtukuza sana Ni vema hawa Watangazaji wa Kuigiza wakaweka...
3 Reactions
8 Replies
309 Views
1. Tambua thamani yako: Fikiria juu ya kile unachothamini zaidi maishani na kile kinachokuchochea. Hii inaweza kukusaidia kutambua unachotaka ili ukifuate na ukifikie. 2. Gundua uwezo wako...
5 Reactions
9 Replies
508 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Magereza. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom