Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki...
Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na...
Wakuu
Kama kichwa cha uzi kinavyojileza hapo juu. Kama mjuavyo wakuu, akiba ni kitu muhimu sana katika maisha,"akiba haiozi".
Lengo la huu uzi ni kupeana hamasa ya kuzichanga mdogo mdogo, uzi huu...
Wasalam ndugu zangu wana JamiiForums, ni mara nyingine naleta kwenu mada nyingine.
Vitabu vya dini vimekuwa vikituhusia sana tusivunje undugu kwa matatizo au changamoto za hapa na pale...
Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick walioshiriki mbio za riadha za NBC DodomaMarathon 2024 wakifurahi baada ya kumaliza na kukabidhiwa medali za ushiriki
Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick...
Share hili na wengine wajifunze kupitia wewe na wasiwe waoga wa kuanza kutafuta maisha. Pia itawasaidia Waliomaliza vyuo vikuu kujifunza na kusubutu kuanza kutafuta Maisha bila kutegemea mzazi...
Siku kadhaa zilizopita tutakumbuka hapa jukwaani lililetwa dokezo na mdau kuhusiana na hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufunga CCTV-camera kwenye vyoo kiume, suala ambalo pia lilichapishwa hadi...
Wakuu Habari zenu?
Kwa maisha ya kawaida hapa duniani kukosana kupo kwenye haya maisha.
Lakini ni kwa kiasi gani unaweza kubeba maumivu ya kile ulichokosewa na ukaamua Kusamehe.
Kisasi kinaweza...
Limemkuta Madam mmoja ambae amesaini Mkataba bila kuelewa hadi pale alipoambiwa usiondoke hadi udeki madarasa Jioni muda wa masomo unapokuwa umeisha.
Ndipo alipogundua kuwa alisaini bila kuelewa...
Mwamba Britanicca JF person at the moment anaendelea kuwa maarufu kila kukicha jamvin baada ya kutabiri vema Nape na January kutumbuliwa nyadhifa zao za waziri na Rais Samia baada ya ziara ya...
JINA LA YESU Kama vile chemicals weapon inavyopiga na kuangusha bila kuonekana basi ndivyo lilivyo yani one attack thousand people die na litatumika na WATAKATIFU tu kuangusha hizi tawala za...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha hatua za utekelezaji wa miradi ya Sekta ya Ujenzi inayoendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Mheshimiwa Dkt. Samia...
Mchungaji Richard Hananja ametoa wito kwa walimu, wazazi na walezi na jamii kuwalea watoto katika malezi ya kuwaeleza ukweli ambao unaweza kuwaepusha na vitendo mbalimbali ambavyo havifai katika...
Salaam WanaJf,
Hivi Hawa madereva wa serikali na mashirika ya umma hizi sheria za barabarani haziwahusu? Au ni kwa sababu leseni zao hazupigwi faini! Hii ni shida kubwa mno kama Kuna watu tu eti...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekemea na kuwaonya viongozi wa Hospitali nchini ambazo zina magari ya kubebea wagonjwa (ambulance) wenye tabia ya kutoza wagonjwa au ndugu zao malipo ya posho ya...
Inachukua mpaka masaa mawili pindi unapohitaji kuongea na watoa huduma kwa wateja, je shida ipo wapi?
Uchache wa watoa huduma au ni uzembe wa watoa huduma?
Au kuna tatizo kwenye kituo cha huduma...
Baada ya mahakama kuita watu wenye ushahidi kuhusu tuhuma mbalimbali anazotuhumiwa nazo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya.
Bado mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza...
Meli ya MV Mwanza hapa kazi tu, licha ya kuchukiwa na Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla imegeuka kuwa gumzo kwenye ukanda wote wa Afrika mashariki na kati, kutokana na maajabu yake ya ukubwa na...
Amani iwe nanyi wadau
Pamoja na kwamba Jakaya Kikwete amekuwa kiongozi kwa muda mrefu hadi kuwa rais wa Tanzania kwa miaka kumi ,nakiri wazi sikuwahi kuujua uzalendo wake kwa nchi ya Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.