Baraza la Mitume na Manabii Tanzania (Bacct) limesema halimtambui Mchungaji, Dominique Dibwe maarufu Nabii Kiboko ya Wachawi na kueleza kuwa si mwanachama wao.
Pia limesema walipojaribu kumtafuta...
Una namba 60 badala ya 20 za awali na una mafungu matatu ya namba 20 kila fungu, haieleweki unaziwekaje.
Ili kuepuka usumbufu wa kipumbavu kama huu nimeamua kuwasha jenereta, potelea mbali.
Sasa...
Habari wakuu, nimekumbuka wema nikiowahi kufanyiwa hatimaye mpaka sasa tumefanyika kuwa ndugu, kuna watu wana mioyo mizuri na wema ndani yake.
Ipo hivi 2020 kipindi niko chuo, ilikuwa imefika...
Wakati mwingine ukifikiria maamuzi ya watendaji wa nchi hii yatakushangaza.
Kwa mfano: Bunju mwisho stand ya mabasi, walikuja wakasema mabasi yatoke yawe yanapaki barabarani watengeneze barabara...
MAJIBU YA WAUMINI WA MSIKITI WA IJUMAA KWA UPOTOSHAJI WA BIM NA NDUGUYE SHERALY
KUHUSU SHULE THAQAFA NA MSIKITI WA IJUMAA
Assalam alaykumu.
Ndugu waislamu
Wa Mwanza na waTanzania
Waumini wa...
Yaani moja ya mambo nilikuwa naamini naweza kufanikiwa ni kuwa hard worker.
Kumbe kuwa hard worker bila kuwa mtoaji =nothing.
Baada ya kuanza kuwa mtoaji nimeona mtiririko wa riziki hausui sui...
Ninini hasa tofauti ya hizi jamii mbili wahutu na watusi?
Mimi ninavyojua ni haya kama nakosea naomba kuelimishwa!
1. Wahutu ni wafupi watusi ni warefu
2. Kitusi ni lugha na kihutu ni lugha
3...
Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea...
Naombeni msaada wadau nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini, ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousers na 7 Cadets.
Huku insta...
Siku hizi Kuna tool ya kivivu na ya bure inaitwa AI, inakurahisishia vitu vingi ikiwemo kizungu. Umezuka mjadala mkubwa sana msanii au socialist mmoja bongo ambaye alikuwa mke wa Msemaji wa club...
Ndugu zangu natumaini mpo salama lengo la thread hii ni kuhamasishana sisi binadamu kuishi kwa upendo na kutokuwa na chuki baina yetu.
Hamna mtu ambaye amekamilika kwenye hii dunia ila unakuta...
Mtu akikufanyia ubaya Mpe muda.
Ukiwa huna ajira Jipe Muda.
Ukiwa huna amani Jipe muda.
Kila kitu kipe muda ina maana kubwa sana.
Sasa hivi kila kitu kiko wazi kabisa ni suala la muda tu.
Habarini za leo wakuu,
Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum.
Je ni kampuni gani...
Nilibahatika kuhudhuria kwa njia ya video za kupandikiza kijasusi na kwa kificho kama mtafiti wa dini za binadamu na akili za binadamu na utashi wa kibinadamu na hulika za binadamu majadiliano ya...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeeleza kuwa haijatoa tamko au agizo lolote la kufungia au kupiga marufuku mtandao wowote wa kijamii Tanzania.
Mamlaka hiyo imeeleza haya ikijibu barua ya...
Ulimwengu wa dijitali umeleta fursa nyingi kwa vijana, ikiwemo ufikishaji wa elimu, habari, na mawasiliano. Hata hivyo, pia umeleta changamoto zake. Ufikishaji rahisi wa mtandao umeongeza hatari...
Gereji moja hapa nchini baada ya kuchoshwa na kutengeneza magari ya wanajeshi wakaamua kuandika hivi.. HATUTENGENEZI MAGARI YA WANAJESHI.
Ila baada ya muda UKUTA ulikutwaa umefutwa maandishi hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.