Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Watu wenye akili hufa lakini mawazo yao hayafi hata uhujumi vipi. Ng'we ng'we ng'we nyingi kuhusu bwawa, mara environment impacts, kiko wapi? Waliopinga ndiyo wanaolijaza kama miti iliyokatwa ni...
4 Reactions
15 Replies
943 Views
Gazeti la Raia mwema la leo limekuja na habari kwamba kampuni iliyopewa kibali na mahakama kuuza mali za mwanaharakati huru mzalendo wa kweli asiyependa ufisadi bwana Cyprian Musiba ili kumlipa...
15 Reactions
181 Replies
19K Views
Mradi huu (Bwawa la Nyerere) unalelewa na nchi zetu mbili (Tanzania na Misri), hauwezi kufeli. Na katika kushughulikia mradi huu lazima tuzingatie hilo. Ndio maana hakuna mambo ya mahakamani...
1 Reactions
15 Replies
822 Views
Hii barabara inafanyiwa utani sana naambiwa kwasasa wameleta shindilia na boza huu ni utani sana kwa wananchi wa Jimbo hili. Pia soma > Barabara ya Bigwa - Kisaki Serikali mnawachukuliaje hawa...
2 Reactions
7 Replies
319 Views
Rais Samia amemteua Dkt. Moses Mpogole Kusiluka kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Kabla ya Uteuzi huo Dkt. Kusiluka alikuwa Katibu Mkuu Ikulu.
5 Reactions
27 Replies
11K Views
Jf wasaalam 🙏 Sina hakika Wala kumbukumbu kama huyu msanii mzungu anayeimba nyimbo za kisukuma Kwa ufasaha alishawahi ongelewa humu. Kama Bado soma hapa. Anaitwa Manongu mzaliwa wa Sweden...
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Kichwa cha mada kimejitosheleza, yaani kwa utafiti hawa watu machoni petu huonekana wema na wenye msaada mkubwa sana kwetu. Ila ukianza kuwa karibu nae ndio utagundua ni watu hatari sana kwenye...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
1. Wanawake wanavutiwa na wanaume walio na aina mbalimbali za tabia za kiume, si tu mwonekano wa kimwili, na kuelewa na kuonyesha sifa hizi kunaweza kuchochea mvuto wa wanawake kwako mara moja...
0 Reactions
2 Replies
263 Views
Miaka ya hivi karibuni elimu imekuwa ngumu sana kwa watoto sikuwahi shuhudia. Haya mabadiliko ya watoto kwenda shule mpaka Jumapili wanasoma hadi usiku huu utaratibu ni nani aliyependekeza na...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Siku hizi kila media ukisikiliza lazima ukutane na hawa wanaojiita wanasaikolojia wakijigamba sana as if wao tayari wameyakamatia maisha. Kuna wimbi kubwa sana la kuibuka kwa wanasaikologia siku...
3 Reactions
9 Replies
393 Views
Salam! Nimekuwa najiuliza maswali kuhusu wanachofanya viongozi wa Dini wanapoalikwa kwenye matukio makubwa ya kitaifa hasa yanayomuhusisha Mhe. Rais. Moja ya swali ninalojiuliza ni namna...
2 Reactions
7 Replies
308 Views
Wiki iliyopita, kundi la wanamichezo vijana watano pamoja na kocha wao walisafiri kwenda Marekani kwa ajili ya Programu ya Mabadilishano katika Michezo, ambayo ni programu ya wiki mbili iliyojaa...
2 Reactions
0 Replies
144 Views
Ni ushauri mzuri Lakini. Library za kuazima vitabu ziko wapi? Au ile moja pale posta? Ihudumie Tanzania nzima? Wilaya Mamlaka za elimu ndizo zimetufikia hapa. Tu asoma vitabu vya fiction kwenye...
2 Reactions
9 Replies
380 Views
Abby ni kiongozi mwenye akili sana!! Kwanza kaunganisha nchi yote na kutoa serikali za majimbo ambazo ziliongozwa na ukabila . Wanaojua mfumo wa ethiopia watakua wanafahamu Alianzisha chama cha...
5 Reactions
71 Replies
6K Views
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona...
23 Reactions
83 Replies
3K Views
Nimemsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Yussuf Masauni akizungumzia masuala ya utekaji. Ameeleza kuwa nchi ipo salama na hakuna mambo ya utekaji. Ameeleza zaidi kuwa masuala ya utekaji ni...
4 Reactions
20 Replies
616 Views
Kuna migogoro mingine hata sio ya kupelekana Mahakamani na kuipatia mahakama mzigo. Unakuta ni suala la kutatua tu kwa mazungumzo basi Kesi inaisha. Lakini sasa kwa kuwa watu wengine wana pesa...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Aisee katika kitu ambacho nakichukia hapa mtaani yaani watu kuhoji kazi ninayoyofanya unakuta jitu linamuuliza mtu eti jamaa anafanya kazi gani mbona anaishi vizuri. Hawajui Mimi kazi yangu ni...
2 Reactions
3 Replies
287 Views
UCHUMI: Mwakilishi wa Sekta Binafsi, Ali Amour amesema baadhi ya changamoto walizokutana nazo Wafanyabiashara kwa mwaka 2022/2023 ni pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufungia Akaunti za...
1 Reactions
2 Replies
680 Views
Back
Top Bottom