Kiukweli kabisa kuna watu hawajui kusema Asante Jamani! Sijui ni kutokuridhika na hata kitu kidogo.
Usiposema asante huwezi pata zaidi hata siku moja zaidi ya kupoteza.
Mimi binafsi kuna...
JF wasaalam 🙏
Siku zote msemo huu utabaki kuwa sahihi KIZURI CHA JIUZA KIBAYA CHA JITEMBEZA. Huu msemo utaishi siku zote maana ndo ukweli ulivyo.
Kwa muda sasa huyu JAMKAYA ameishikiria vilivyo...
Mkaguzi kata ya Ngara Mjini Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Olipa Chitongo amewaomba wananchi kutambua kuwa Jukum la ulinzi wa Watoto ni la watu wote huku akiwataka wananchi wa kata hiyo...
Wakili Paul Kaunda amesema ameamua kugombea nafasi ya Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa Mwaka 2024, sababu anataka kuwalinda na kuwatetea Mawakili wachanga ili aongeze thamani na...
Naandika Uzi huu moyo wangu ukibubujikwa na machozi.
Kuna vitu vinafanyika kwenye madhabahu mpaka mtu unaogopa, na huhitaji PhD Ili kujua wengi wa hawa leo waliojipa unabii ambao sina hakika...
Siku zote najuaga wayao ni wenyeji wa wilayani Tunduru mkoani Ruvuma ila leo kupitia member wa Jf nimegundua kuwa kumbe wayao ni wenyeji wa Mtwara.
Asante sana Jf. Leo nimejifunza kitu.
"Mawakili wenzangu habarini za asubuhi, kama tulivyoahidi mwanzo wa kampeni kuwa tumejipanga vizuri kuhakikisha tunashinda uchaguzi wa Urais wa TLS ili kuijenga TLS moja, imara na huru kwa...
Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana.
Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea.
Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha
Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha...
Habari Wanajf!
Leo Nikasema nijitoe out nikaenda Zangu Msasani kwenye hotel ya Golden. Nilipofika kama kawaida akaja Muhudumu akanipa Menu ya vinywaji nikachagua, Nikapewa menu ya chakula nikawa...
Wadau nawasabahi Nimekuwa nasikia Waendesha Pikipiki za biashara wanaitwa BODABODA binafsi sijui kwanini wanaitwa jina hiyo .Ombi kwenu nini Asili ya jina hilo mpaka Wakaitwa hivyo?
moja ya hadithi ya kusisimua kwa biblia ni hii ya sodoma na gomora
Raia /wakazi wa hii mitaa walikua watenda dhambi wa kutupwa.
mapenz ya jinsia moja /ushoga kwao ilikua sio story manake...
Mimi binafsi nikitazama Televisheni huwa napenda kubadilisha badilisha ili nipate hata kipindi chochote nitakachojifunza kitu kipya kitakachonipa faida.
Mara nyingi mambo ni yaleyale huku kule ni...
Sloths ni wanyama wapanda miti wanaoishi katika misitu ya ukanda wa kitropic ya kati hasa America ya kusini.
Wanyama hawa ni waenda polepole sana kiasi cha kwenda kwa wastani wa mita 0.91 kwa...
Ukiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea...
Basi la kwanza la mradi wa mabasi yaendayo haraka limewasili nchini na kuanza kufanya majaribio katika barabara zilizokwisha kamilika huku mengine yakitarajiwa kuwasili mapema mwaka kesho...
Awamu ya tano inavyomtesa Rais wa zamani
Na Ahmed Rajab
KUNA vimurimuri vingi na viini macho visivyosemeka katika siasa za nchi nyingi za Kiafrika. Tunayaona katika nchi hizo aghalabu huwa si...
Wakuu habari zenu.
Nahitaji ramani Kwa ajili ya Apartment za kupangisha.
But kabla ya kupewa ramani nahitaji mhusika afike site ili aone namna ya eneo lilivo.
Site ipo Kiabakari - Musoma, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.