Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria. Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.
Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi...
Ukiona pesa zimekutembelea fasta waombee ndugu zako wa karibu waishi naisha marefu.
Kwa mfano Chief Goodlove leo hii afiwe na mzazi imekula kwake,au yule msanii wenu wa tandale akafiwana mama...
Habari za mchana wakuu Kuna kitu Kwa upande wangu nashindwa kukielewa.
Kuna tatizo kubwa la ajira nchini nimejaribu kufatilia hatua mbali mbali ambozo Taifa linachukua Bado sioni kama...
Dar es salaam, leo 26 July kuna kijana anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 16 hadi 17 (jina linahifadhiwa) maeneo ya Ubungo Msewe amepatikana nje ya nyumba akiwa amejilaza huku akivuja...
Yah: KUAHIRISHA UTEKELEZAJI WA MTAALA ULIOBORESHWA WA KIDATO CHA TANO MWAKA WA MASOMO 2024/2025
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST)...
Mimi ni mwalimu nimeajiriwa mwaka 2014.
Pamoja na kuwa ni mujibu wa sheria mtumishi kupanda daraja Kila baada ya miaka mitatu, sisi hatukupanda hata baada ya miaka 7, tulidhulumiwa madaraja...
Wakuu wasalaam..
Niko vijiji vya ndani ndani huku Ndiwili wilaya ya kilolo nimekuja kwa shughuli zangu..baridi ni kali .
Katika matembezi yangu nikakutana na watoto wadogo chini ya miaka 10...
MUUZA MAYAI, INAFUNDISHA SANA
Alimuuliza, "Je! Unauza mayai shilingi ngapi?" Muuzaji mzee akajibu, nauza 500 kwa yai moja, Madam. '
Akamwambia, 'Nitachukua mayai 6 kwa kwa mia tatu tatu au...
Asanteeee serikali
KAULI NZITO YA ASKOFU BAADA YA SERIKALI KUFUNGA 'KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI!
Ndugu Watanzania!
Leo ni Siku ya Dominika. Lakini ninapojiandaa na mimi kwenda 'kukomunika' pamoja...
Ndio hivyo buana!
Nilipopata fursa ya kufika Mataifa ya wenzetu ambako huko kuna mchanganyiko wa watu kutoka katika Mataifa yote uyajuayo hapa Duniani, niligundua kuna mambo ambayo yanaweza kuwa...
Ebu fikiria unaishi maisha ambayo hakuna anayekujaji kwa matendo yako,wala huofii watu watasemaje kuhusu mambo yako,bilashaka ungekuwa ulimwengu mmoja amazing sana.
Lakini bahati mbaya sana...
Recorded video🎥👇🏼
https://www.youtube.com/live/Ykazv1aguT4?si=slkP5hyLZuX3MQsS
MASUALA MUHIMU YALIYO ZUNGUMZWA
Jambo kubwa zaidi lililozungumzwa na wagombea wote ni suala la mamlaka na wajibu wa...
https://www.youtube.com/watch?v=_u-grci0Q9Q
Akizungumza na viongozi mbalimbali wa Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila amesema ucheleshwaji wa maboresho ya Barabara unaoendelea hauna...
Miaka ya hivi karibuni kulizuka tetesi kwenye mitandao ya kijamii zq kubadilisha wosia au ndugu wa karibu kushindwa kuamini wosia kama mtu aliandika kwa akili zake ama kwa kulazimishwa.
Kitu hiki...
Tasnia ya habari hasa upande wa Ma-presenter wa kike naona bado hakuna wale wa kukiwasha sana atleast hawa wawili wamejitahidi sana pia wana-knowlegde ya mambo mengi tofauti na wengi
Mwana...
Ndugu zangu TRA, Kuna kampuni inaitwa DMA ipo dodoma na makao makuu yapo Dar es salaam. Hawa kwanza ni matapeli kutoka Zimbabwe, wametufanyisha kazi na hawajatulipa toka mwezi wa tatu na mikataba...
"Naomba Taifa langu liondoe mitaala la Kiswahili katika shule zetu za Serikali kuanzia chekechea mpaka lile darasa mtihani kwa sababu watoto wetu wanaosoma shule za kata za Serikali wanafaulu...
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya katika mtaa ninaoishi na hata maeneo mengine wanandoa wengi wanaishi bila kujua taratibu za kisheria.
Mfano unakuta Mwanaume huyu awali alikuwa na mke wake...
...ukiangalia namna vyuo vya afya vinavyoongezeka kama njugu si muda mrefu mitaa itajaa wahudumu wa afya bila mahali pa kuwapeleka.
Kwa sasa karibu kila mtoto anatamani kusoma afya akiamini...
IKUNGI-SINGIDA
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameipongeza Kampuni ya AL FRADAWS investment Company Limited kutoka Jordan ambayo ni wawekezaji katika uzalishaji wa Mbegu mbalimbali Mkoani Singida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.