Mimi na uislam wangu, na uchaga wangu, na usomi wangu siachi matambiko
Huu ndio ukweli unaotusumbua watu weusi, Wazungu wana dini yao, Waarabu wana dini yao, Wahindi wana dini yao, Wachina wana...
Habari wakuu,
Samahani naomba kuuliza swali. Kwanini ADC (Aide De Camp) wa Rais anapopanda cheo kutoka Kanali kua brigedia ni lazima aondolewe kwenye majukumu hayo ya upambe wa Rais na kupangiwa...
Habari za mda huu wana JF
Natanguliza salamu zangu kwenu, natumaini mko vyema kiafya, na kwa wale ambao hamko vyema Mungu awafanyie wepesi.
Niende moja kwa moja katika dhumuni la kuanzisha uzi...
Tunajua umetumia Nguvu kubwa na Ukaribu wako na Waandamizi wote wa Chama na Serikali katika Kuwashawishi wafanye wawezavyo ili Mpinzani wako Kiboko ya Wachawi apigwe Pingu ya Kihuduma kwani...
Kufuatia hali ya vitendo vya uhalifu miongoni mwa vijana, ni muhimu serikali ichukue hatua madhubuti ili kupunguza na kuzuia uhalifu huo. Tafiti zimeonyesha kuwa uhalifu wa vijana umekuwa ukipanda...
Hapo zamani kisiwa cha Mafia ndiyo kilikuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati, pia kisiwa cha Mafia kilikuwa na sarafu yake.
Naomba kuuliza hivi, kwanini historia ya kweli inafichwa na...
Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha.
Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa...
Wakuu poleni na kazi. Niende kwenye mada, kuna jamii kubwa kwa sasa, wake kwa waume wamekuwa wakibeba mabegi migongoni, siyo shida wala hakuna neno, ni vizuri pia.
Ila, baadhi yao, wanapoingia...
Kumradhi kwa video hizi 2 nitakazopost, huenda zikawa zinavunja T&C za JF lakini naomba mods mziache watu na serikali wazione ili kama walikuwa hawajui basi wajue na wachukue hatua stahiki.
Hizi...
Kuna mambo ya sintofahamu katika wilaya hii ya Mkuranga. Sehemu ya Stendi halmashauri inadai tulipe kodi ya pango kwa zaidi ya asilimia 10 tunayoipata kupita vibanda, pia wametoa mikataba ambayo...
'You have received Tsh 3000 from Nipige Tafu. Total loan is Tsh 3600 inclusive of fees. Dial *149*01*99# now to borrow more!'
Nimekuwa muhanga wa kulazimishwa kukopeshwa salio na Kampuni ya...
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua...
Ni Kama Movie: Hali Sio Nzuri Kabisa Kuanzia GEN EAC
Nimekuwa Nairobi hapa kati, vijana asubuhi mapema wanakunywa vinywaji vikali, mchana unakutana nao njiani wanaongea wenyewe, aisee.
Haitoshi...
Straight to the point.
Nimekuwa nikifikiria Jambo hili na kuona Kama haliko Sawa.
Kwanza ukisajili laini na kutaka kukopa muda wa maongezi papi hapo hawakubali.
Wanachotaka ni uwe umenunua muda...
Hii ni Njia rahisi Sana kwa alie tayari kuacha Kutumia madawa ya kulevya Aina ya Pombe (Alcohol) ni rahisi Sana kama utakuwa umechoshwa na Hali ya unywaji wa Pombe.
Njia hii ni jina la YESU...
Unapita mtaani usiku mida ya saa2au sa4 usiku ghafla kamera inatowa mwanga mkali kumbe kamera inatupiga picha si poa. Yani tunarudi kwetumakamera yenu yanatuphotowa jamani!!!!.
Hivi karibuni Serikali ilitoa mkopo kwa watumishi wake kupitia hazina portal, lengo likiwa kununua vyombo vya usafiri.
Mkopo huu umekuwa kikwazo kwa walengwa waliotumaini kufunga mwaka na usafiri...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4)...
ZANZIBAR.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe. Othman Massoud Othman amevitaka vikundi vya mazoezi nchini kuweka kanuni na miongozo ya maadili ambayo itasaidia kuondoa mitizamo hasi kwa jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.