Wanajukwaa ni mimi tu au wote! Jana nilimtuma mtoto akaninulie Azam Ukwaju zile za Jero Jero na kumwmabia aniwekee kwenye fridge! Cha ajabu naona kama ujazo umepungua! Ice Lolly za Ukwaju za Azam...
Chuo cha kampala kinadahili wanafunzi wengi kuliko capacity yake. Kwa mfano sisi mwaka wa kwanza ilitakiwa wachukue wanafunzi 150 tu lakini walichukua watu Mia tatu na kitu
Pili hakina walimu wa...
Hello JamiiForums,
Leo ni jumapili ya mwisho ya mwezi wa saba kwa mwaka 2024 siku muhimu na siku pekee kuhudhuria kanisani baada ya kuasi kwa takribani miaka sita.
Mungu ni mwema Mungu ni...
Nadhani mungu ni mwanaume,
Ktk uumbaji tunaambiwa Mungu alimuumba mwana adamu kwa mfano wqke, mtu wa kwanza kuumbwa ni adamu (mwanaume) kisha mbeleni huko akaumbwa hawa baada ya adam kuwa mpweke...
Morning members.
Nasema hivi kama mwanaume utakuwa na mwanamke mmoja utateseka mpaka ukome hap a duniani ni hilo tu.
Wenye wake wawili wanaenjoy sio kitoto.How fanya hivyo na mke mmoja au wawili...
Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Deogratius Ndejembi amewataka Menejimenti na watumishi wa Wizara ya Ardhi kuondoa urasimu na kutoa hati milki za ardhi kwa wakati.
“Tuondoe urasimu...
Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini.
Watu wanalala na kuamka...
Naomba nifikishe changamoto ya wanafunzi wanaorudi masomoni baada ya kurejea chuoni.
Tunapitia magumu sana wakati wa kufanya usajili, kwani viongozi wengi hawawajibiki kabisa kutokana na kukosa...
Habari wadau.
Wazazi wengi tunasomesha watoto kwa kujibana, Tena shule za gharama. Tunakopa huku na huku tuwalipie ada. Nawakumbusha tu tukumbuke na kuwaandalia mitaji ya biashara wakimaliza...
Wadau hamjamboni nyote?
Sina maneno mengi hebu wewe mwenyewe tazama kisha hizo jezi kisha baadaye ufanye tathmini
Hakika utapiga saluti hata kama siyo askari
Utapiga mluzi hata kama siyo...
Nataka niende hukohuko labda tutaelewana vizuri, tokea jumatatu nilituma milioni 3 na laki 2 kwenda account ya bank mpaka Leo haijafika, niliwapigia jumanne wakaniambia kuna shida ya mtandao...
Naamini kuna Watanzania wengi mliofika China inasemakana kipindi cha miaka ya 1960 tulikuwa sawa kimaendeleo.
Hatua waliyofikia hawa watu hususani katika nyaja ya miundo mbinu, viwanda na...
Thadei Mbawala (48) mkazi wa mtaa wa Mji Mwema halmashauri ya mji wa Njombe ambaye ni dereva wa gari ya kampuni ya maji anadaiwa kufariki dunia ndani ya gari aliyokuwa amepaki nyumbani kwake...
Moja ya faragha kubwa y mtu ni simu, inavitu vingi ambavyo ni personal zaidi
lakini kwa namna flani unaweza kuta ume access simu ya mtu anaweza kuwa mke jirani,rafiki, je uliwahi kuona nni cha...
Wasaalam.
MTAKUWWA kirefu chake ni Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (wa kike na kiume).
Awamu ya kwanza ulikuwa 2017/18-2021/22.
Awamu ya 2 ni...
Barabara za jijini Dodoma inaonekana hazifanyiwi ushafi wowote maana hata ukipita barabara ya lami vumbi lake ni sawa na alitepita barabara ya vumbi tu.
Najiuliza hizi uongozi wa jiji unashindwa...
Mwanaviwanda mwenye uthubutu mkubwa ktk uwekezaji mkubwa ktk viwanda Afrika na Tanzania tukiwa wafaidika.
✅Amejenga Afrika Kiwanda kikubwa cha Cement duniani..Akiwekeza mabilioni ya dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.