Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mimi nj mdau wa muda mrefu wa unga wa ngano wa Azam. Lakini kwa sasa unga wenu umepungua sana ubora. Hauna ubora wa mwanzo umekua hauna quality umekua kama umechanganywa Na unga wa mahindi...
3 Reactions
3 Replies
357 Views
Kuna meseji zinatumwa kuhusu Zuia Uhalifu. Ni wazo zuri lakini sasa wahusika wanazituma mfululizo kwa sisi watumiaji wa simu na kutujazia inbox zetu sisi watumiaji wa mtandao wa tigo. Hii ni...
4 Reactions
9 Replies
375 Views
Wanafunzi wa chuo Kikuu Dar Es Salaam wanaoishi COICT hostel wamekuwa wakilalamika juu ya msimamizi wao wa hostel kuwa amekuwa akitumia madaraka yake vibaya kwa kutoa kauli chafu na kutishia kuwa...
1 Reactions
11 Replies
574 Views
Wadau naomba mnifahamishe, baada ya matumizi yoyote yale ya KIWEMBE na ukijiridhisha kuwa kimeisha matumizi yake unakihifadhi wapi?
2 Reactions
14 Replies
423 Views
Kwa nchi zilizoendelea, mtu kukaa gerezani humaanisha kukosa uhuru tu, lakini mahitaji mengine karibia yote ya muhimu huyapata. Watanzania waliowahi kufungwa gerezani nchini walishasimulia mikasa...
1 Reactions
18 Replies
663 Views
Mida ya kuanzia saa nane hadi muda huu kuna foleni kubwa sana kutoka kibaha hadi Ruvu. Kama unanjia mdadala tafadhali pita hiyo,au subiri kama si lazima kuondoka muda huu. Njia imefunga panda zote
1 Reactions
5 Replies
299 Views
Huyu ni jamaa nilikuwa nimesoma naye shule ya msingi na sekondari, huyu jamaa kweli alikuwa ana akili sana, sasa nimekutana naye juzi kati duh! maisha yake tuliotegemea ayaishi sio yale...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
KAZI NI ILE INAYOKUINGIZIA KIPATO. MAMA AU BABA WA NYUMBANI SIÔ KAZI KWANI HAKUNA KIPATO KINACHOZALISHWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Amri ya Mungu ya kufanya Kazi. Inahusu kufanya Kazi...
3 Reactions
58 Replies
1K Views
Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri...
2 Reactions
1 Replies
794 Views
Moja ya darasa la Shule ya Msingi Tella iliyopo katika Wilaya ya Hai hapa Mkoani kwetu Kilimanjaro limeporomoka kutokana na uchakavu wa majengo hayo ya shule lakini hakuna msaada tunaoupata kutoka...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Team Jf, Salaàm! Ukiwa boda ya Rusumo kwenye mipaka ya TANZANIA na Rwanda wkt mwingine ni shida kupata mawasiliano kwa kutumia mitandao yetu i.e Vodacom, Airtel, Halotel, Tigo, TTCL nk Mtandao...
1 Reactions
1 Replies
261 Views
Naomba mtu anisaidie kukagua deni la gar namba ya gar ni T698 CUY Naona mtandao umegoma na kifurushi kinabeti leo.... natanguliza shukrani
2 Reactions
9 Replies
280 Views
Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee…. Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya...
1 Reactions
0 Replies
179 Views
Sina uhakika kama Kikwete alikuwa na ndoto ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Mwinyi alipomteua kuwa Mbunge na Waziri, alimfuata na kumwomba amwondolee uwaziri amwachie ubunge. Badala ya Mwinyi...
4 Reactions
7 Replies
379 Views
Tukio hilo limetokea Magomeni Kagera mtaa wa Ludewa karibu na msikiti wa Istikama ambapo binti wa kazi anayefahamika kama Anna alibakwa na kutumbukizwa kwenye shimo la choo na kijana anayefahamika...
12 Reactions
100 Replies
9K Views
Chama Cha Wanasheria Tanzania Bara - Tanganyika Law Society(TLS) iliandaa Warsha kwa Wanahabari Jijini Dodoma Tarehe 4 Juni 2024 kuhusu Uhuru wa kujieleza. Hapa chini ni andiko la Mwanahabari...
2 Reactions
5 Replies
982 Views
Mwili huzalisha sumu kutoka kwenye chakula unachokula , kugawanyika kwa chembe hai au chembe hai zinapokufa kutokana na umri. Sumu hii huitwa Free radicals ( reactive oxygen species). Unapoamka...
13 Reactions
31 Replies
2K Views
Wasalaaam Ndugu wengi wamekuwa na tabia ya kushindwa kukutembelea hususan kipindi ambacho hauna hali nzuri ya maisha kwa kisingizio kwamba unaishi mbali.... hivi ni kweli unakuwa unakaa mbali? au...
9 Reactions
45 Replies
726 Views
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuongeza uadilifu na kutenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao sambamba na...
0 Reactions
3 Replies
276 Views
Jf wasaalam 🙏 Nina hoja kadhaa wa kadhaa naomba nisikilizwe na kupewa majawabu. Kwa Sasa tumeshuhudia wimbi kubwa la ma doctor hasa kwenye mitandao ya kijamii wakitumia Account zao kutupa elimu...
0 Reactions
3 Replies
262 Views
Back
Top Bottom