Habari wakuu , watumishi tulioajiriwa huwa tunatamani sana kujishughulisha ili mradi kipato kiongezeke lakini kwa ujumla huwa tunaface Changamoto zifuatazo zinazopelekea kushindwa :-
1. Tuna...
Hawa watu huwa wa kusukumwa sana ili wakupe huduma ambazo ni wajibu wao kuzitoa, ni nadra sana kupata Hotel, mgahawa au Bar bongo ambapo wahudumu wake sio wa kususuasua na wako on point muda...
Leo asubuhi nikiwa njiani nimeona ajali Moja eneo la ilula na nikiwa nimetulia napitia mitandao nimekutana na picha za ajali Ile. Ukiangalia Ile ajali Ile fuso ilikuwa imeharibika , na jamaa wa...
Nawasalimia wapendwa kwa salamu ya kikombati.
Moja kwa moja kwenye mada kama ilivyo kwenye kichwa cha habari
Juzi nilipita Mbagala na usafiri wangu wa asili (sina gari,boda wala baiskeli)...
Inaelezwa kuwa mahali pa kazi Chuki imechukua nafasi kubwa kuliko uwajibikaji wenyewe.
Hali hiyo imeleta msongo wa mawazo kwa baadhi ya watumishi.
Pili inadunisha ufanisi wa kazi.
Tatu watu...
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kurekodi na kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu gari aina ya Toyota Noah inayotumika kuwateka watoto...
ukweli ni kwamba watu wengi ukosefu wa ajira unaokumba vijana wengi unasababisha maovu kuongezeka ikiwamo,Wizi na mauaji.
Vijana wengi wamechomwa moto, wengine wako Mahabusu, wengine Gerezani kisa...
Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta...
Siku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15.
Baada ya kuona hivyo Kampuni ya Mabasi ya Abood wameamua kujiongeza na...
Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo
1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho...
Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza
Imenibidi kuandika...
Habari wana jukwaa.Leo nimeamua kulipanda jukwaa kwa kueleza na kukumbusha mengi wakati radio zikiwa zinavuma sana na nafahamu wengi tulikuwa wasikilizaji wazuri sana wa vipindi mbalimbali vya...
Habari wanaJF, naamini ni wazima
Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza...
Kuna tatizo la ubonge linainyemelea nchi. Hasa kwa watu wa kipato cha kati. Kiufupi ubonge unatokea pale ambapo unakula chakula chenye nguvu nyingi kuliko unazohitaji. Matokeo yake chakula hicho...
Kimsingi sikuona sababu za hifadhi ile kuitwa CHATO, Ukiangalia kwa umakini vitu vilivyosababisha ile hifadhi kupandishwa hadhi havipatikani Chato
Tunaijua Chato kama sehem ya kagera kabla ya...
Nijibuni haraka kwani kwa jinsi ilivyo, ilivyojengwa kwa haraka kuanzia tarehe 21 Machi, 2021 na inavyojaza Watu sasa na Huduma zake na Mimi GENTAMYCINE natamani kwenda, ila ili niende nikiwa na...
Trump akimaliza hivi licha ya Wapinzani wake kumwandama anaweza kuwa Rais bora wa hivi karibuni akifuatiwa na Bill Clinton,
Ndani ya uongozi wa Trump
1.Wamarekani wamepata ajira zilizokuwa...
Watoto wawili wa familia moja wamepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Arusha, baada ya kuaga wanakwenda shule jana Julai 24, 2024, lakini hawakurudi nyumbani na mpaka leo hawajaonekana...
Kwa msaada wa wawatumiaji wa App ya Jamii forum isiyo support picha kama mimi, hiyo hapo chini ni picha ya mti wa karanga zinamea juu ya matawi ya mti Juu kama Maembe, au korosho.
Je, ni kwel hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.