Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Meneja wa Tarura mkoa wa Mwanza na mhasibu wake wamekuwa watu wa ovyo kwenye majukumu yao. Hawa watu wawili wanaifanya Tarura Mwanza iwe sehemu ya hovyo sana kwa sababu wana madudu mengi...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Enzi za Anko Magu TRC walikuwa na online system ya kukata tickets, ile system ilikuwa rahisi sana, simple yani unaenda station kupanda train tu. Ukienda kukatia ticket station basi umependa...
2 Reactions
1 Replies
207 Views
Anonymous (50b6)
Sio tu serikali inaweza kujua matatizo yote kupitia kwenye mitandao ya jamii ila nimekutana na huyu anajiita sheik zaid makubul kuhusu maada za kibaguzi na makabari. Kwako waziri Doroth gwajima...
-1 Reactions
11 Replies
1K Views
BEAVERS ni jamii ya panya na niya pili kwa ukubwa kati ya jamii za panya wote waishio kwa sasa. Wanapatikana sana Katika ukanda wa kaskazini kama Amerika ya kaskazini na ulaya ya magharibi...
0 Reactions
5 Replies
290 Views
Kwa nini CCM iliupendelea huo utaratibu? Labda una manufaa kwa nchi? Naamini kungeitishwa kura ya maoni, wananchi wengi, mimi nikiwemo, wangependelea utaratibu wa mawaziri kutokuwa wabunge...
2 Reactions
1 Replies
434 Views
Ukiwa umewa-follow hakikisha hau-comment chochote kilicho kinyume na mawazo yao. Inatakiwa usapoti au upige kimya. Kwenye platforms zao mawazo mbadala hayatakiwi. Followers wao wapo kusifu na...
2 Reactions
5 Replies
379 Views
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Huwezi mfanya Mwanamke...
24 Reactions
281 Replies
12K Views
Wakuu, hivi Viongozi wa Kawe wanatuchukuliaje tunaotumia Kituo cha Daladala Kawe? Kituo halifanyiwi matengenezo yoyote wakati kila siku watoza ushuru wanachukua Tsh. 1,000 kwa kila Daladala...
0 Reactions
2 Replies
479 Views
Ripoti ya takwimu za uhalifu na usalama barabarani ya mwaka 2023 kutoka jeshi la polisi Tanzania kupitia ofisi ya takwimu {NBS}, inasema kuwa mikoa takriban 40 ya kipolisi nchini imesajili jumla...
0 Reactions
2 Replies
263 Views
Rafiki yangu mpendwa, Kwenye safari ya kujenga utajiri, uwekezaji ni kiungo muhimu sana. Watu wengi wamekuwa wanachanganya kipato kikubwa (rich) na utajiri (wealth). Wengi huwa na maisha mazuri...
10 Reactions
17 Replies
991 Views
"Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
kutokana na ukosefu wa daladala zinafanya safari za moja kwa moja vituo hivyo hadi kawe abiria wanalazimika kupanda daladala mara mbili ili kufika kawe hali hii imekuwa ikiwaongezea mzigo wa nauli...
0 Reactions
2 Replies
228 Views
Kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto ana uwezekano mkubwa wa kuwa intelligent Mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zimebebwa...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa. Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
21 Reactions
94 Replies
6K Views
Nawasalimu nyote. Umasikini ni laana, tafiti tofauti zinaonyesha umasikini unarithishwa kwa hiyo unatakiwa kukaa ki machale kijana mwenzangu uliezaliwa kwenye familia masikini ili uondokane na...
7 Reactions
25 Replies
801 Views
Kuna mambo mengi sana ambayo Taifa inafanya na inaendelea kufanya ikiwamo uchaguzi ujao. Lakini sasa ukisikiliza au kutazama vyombo vingi vya habari vingi vinachochea ugomvi na kufanya vitu vya...
0 Reactions
5 Replies
242 Views
Sioni kama kuna mabadiliko yanaweza fanyika mda mfupi baada ya kupigiwa kelele mda mrefu. Hakuta kuwa na nguvu ya watu kujituma sana kwa mda huu uliobaki ambao 2025 ni uchaguzi. Hakuna mwenye...
0 Reactions
1 Replies
162 Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri wanafunga maduka ya Wafanyabishara kutokana na kuwadai malipo ya Halmashauri hiyo, ufafanuzi umetolewa na...
0 Reactions
4 Replies
686 Views
Jengo gani la uma au private wanaoruhusu u access Free WiFi Nina kazi zinazohitaj internet na ni nyingi kwa kweli
2 Reactions
15 Replies
428 Views
Kuna lorry limeharibika nje tu ya kituo cha polisi Mlandizi na kusababisha foleni hadi Visiga, mnaoelekea usawa huo jiandaeni kisaikolojia
2 Reactions
0 Replies
160 Views
Back
Top Bottom