Habari wakuu?
Natumai mu wazima wa afya.
Nataraji kufanya safari ya kwenda Ruangwa. Lindi.
Je kutokea Dar es salaam kuna basi la moja kwa moja?
Ahsante sana
Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi.
Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia...
Kama kuna ruti ina mabasi mapya na kila siku ni Arusha - Dar
Makampuni ya usafirishaji ni mengi mpaka yale makongwe yanapitwa sasa. Kuanzia Tilisho, Esther Luxury, Extra Luxury, Jader Luxury...
Miaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano...
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara
Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Manispaa ya Mtwara-Mikindani, wameshiriki katika mafunzo ya utunzaji fedha...
Jf salaam🙏
Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili.
Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee...
Umepanga kutembelea nchi ngapi katika kipindi cha miaka 5 ijayo?
Binafsi, ninapenda sana kusafiri, lakini kwa sababu ya kiwango cha kipato, bado sijazimaliza hata nchi za Afrika Mashariki.
Mpaka...
Wakuu,
Bila shaka humu Jukwaani wengi wetu tumewahi kuishi nchi mbalimbali barani Afrika na nje ya Afrika pia. Binafsi Sijawahi kutoka nje ya Afrika na nimekuwa na shahuku kubwa ya kujua kuhusu...
NANYAMBA YA FIKIWA NA ELIMU YA FEDHA
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara
Katika mji wa Mtwara, ambao unajulikana kwa shughuli za uvuvi na rasilimali za gesi asilia, serikali iliamua kutoa mafunzo ya...
Gaweni kikanda Tanzania bara ni pakubwa sana, mnategemea mtu kutoka Kagera aje Dar kwenye usaili? Mtu kutoka Mbeya huko aje Dar kwenye usaili? Tumieni hekima na busara gaweni kikanda wekeni usawa...
Kuna story zinazagaa zagaa juu ya watu kukamatwa wakiwa kwenye harakati za kutekwa watoto, kuna video moja hapa nimeoiona jamaa wamempiga motocwa petroli, ila nasikia wengine walipelekwa polisi...
Hukumu iliyotakiwa kusomwa leo Julai 26, 2024 katika kesi ya jaribio la kuchoma soko la wafanyabiashara la Karume, Kesi Namba 313 ya Mwaka 2023 inayomkabili Christina Elisha na mwenzake Mashauri...
Hakika tumeweza kushuhudia kazi za wauguzi kwa mgonjwa ni za kipekee sana nikafikiria mfano wauguzi wakaaamua kugoma nn kinaweza kikatokea kwa wagonjwa?
Je maisha ya wagonjwa yatakuwa hatarini...
Hivi siku hizi ni kwamba utaratibu wa masomo ya wanafunzi wa primary hasa wa la 7?
Kwa sababu asubuhi mida ya saa kumi na moja unawakuta wako barabarani wanasubiri usafiri na jioni hadi mida ya...
Wazazi, mnashirikiana na shule kuwatesa watoto.
Vitoto vyenyewe bado vidogo, miaka 11-13, vinaamshwa saa 10 au 11 alfajiri kuwahi shule. Wanawahi nini exactly?
Na bado watakaa shule mpaka saa 12...
It's fine tumeamua kuachana na mijadala inayohusu mstakabali wa maisha yetu tumajikiti kwenye starehe. Vyombo vya habari vimeacha kufanya utafiti na kuja na mada zakuisaidia serikali kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.