Shirika la Afya Ulimwenguni WHO limeonya kuwa zaidi ya watu 3,500 hufariki kutokana na virusi vya homa ya ini kila siku na kuongeza idadi ya wanaoathirika duniani.
Kulingana na ripoti ya WHO...
Itakumbukwa ni mwezi tu umepita bajet ya wizara ya ardhi chini ya Jery Silaa imepitishwa na baada kupitia jamaa a alianza na gia kali ya kuzunguka nch nzima kurudisha ardh iliyo ibiwa na matapeli...
Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk 21.07.2024 alijiuzulu ubunge wa kuteuliwa na Rais, akiwa Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Jumapili, 21.07.2024 usiku, Balozi Mahmoud...
Tanzania Airports Authority
Katika mitandao ya kijamii kunasambaa taarifa katika picha mjongeo kuhusu kukosekana kwa huduma yam aji katika maliwato iliyochapishwa tarehe 24 Julai, 2024 na abiria...
Mfano wa hivi karibuni Tanesco walijiamulia tu kupandisha makato ya kila mwezi kutoka 1500 mpkaka 2000 Bila kushirikisha wananchi.
Leo jambo kama lile lile linarudiwa na Azam tv kwa kutangaza...
Habari yako ndugu msomaji.
Ama baada ya salamu na kumshukuru mungu naomba nianze kwa kusema kwamba MIMI NAAMINI MATATIZO YA KURITHI YANATIBIKA(hii ni imani yangu)
Baada ya kusema hivi naomba...
Serial killers ni watu wanaofanya mauaji ya zaidi ya mtu mmoja kwa minajili ya kujipatia furaha tu, mauaji yao mara nyingi huwa yanalenga kundi fulani la watu mfano wanawake, watoto, watu wa rangi...
Anasema:
1. Vyoo vya mwendokasi vimejengwa mbali sana kutoka kituo kimoja hadi kingine
2. Uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam usitegemee maji ya Dawasa pekee
Unauonaje ushauri wake?
Naomba utusaidie nikiwakilisha watanzania wengi wanaopata changamoto kama mimi juu ya huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Usajili wa Vizazi na Vifo (RITA).
Mimi nimeomba uhakiki wa cheti cha mtoto...
Katika wiki za hivi karibuni China imefanya jambo kubwa la kidiplomasia kwa kuyawezesha makundi 14 ya kisiasa ya Palestina, kukaa kwenye meza ya duara na kujadili mustakbali wa uwakilishi wa watu...
Epuka kubonyeza 'link' za matangazo ya Zawadi uwapokuwa unapokuwa kwenye tovuti mbalimbali kwani ni njia inayotumika na Wadukuaji kupata taarifa zako binafsi kwa ajili ya utapeli.
Ikiwa umegusa...
Nina rafiki yangu flani ivi ni mwanang kinoma, yaan ni wale marafiki since day one.
Mwezi wa tano May, kuna jambo alinifanyia nilichukia sana na sikutegemea kutoka kwake kwasababu ni mwanang sana...
1)Nigeria watu wa Nigeria ni wapambanaji saana
2)Warundi na RCA ( republic centre african) hawa watu hawajiamini kabisa
Cameroon most of people's kutoka Cameroon ni watu wenye kiburi saana watu...
Wadau hamjamboni nyote?
Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja
"Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe...
Habari humu!
Nimeambiwa miongozo ya kupata UTAJIRI wa giza ni hii ifuatayo
1.Si kila mganga ana uwezo wa kutoa utajiri
2. Kuna mitihani na masharti kabla ya kupewa utajiri. Kila mtu ana...
Kipindi fulani, nilifuatwa na kijana mmoja aliyekuwa akiishi jirani na nilikokuwa nikifanyia kazi, na kuniomba nimsadie kumtafutia nafasi ya kujifunza masuala ya ufundi kwenye kampuni fulani...
Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi.
Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
Huu mkoa haukui upo, upo tu!!! Vyuo vinasaidia sana mji kukua, Wilaya ya Songea imepoa mji uko vilevile miaka nenda rudi!
Of course kuna vyuo,lakini kwa upande wangu naona havisikiki kabisa kuna...
Hakuna binadamu atakayeweza kusikiliza makelele ya mwalimu kwa zaidi ya masaa 8 ..
Huku ni kuchosha akili za watoto na kuwafanya waone shule ni utumwa..
Kwasasa wanafunzi hawapati hata muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.