Panya kangaroo (Kangaroo rats), ni jamii ndogo za panya wajulikanao kwa jina la kisayansi kama genus Dipodomys, jamii hii ni wakazi katika maeneo ya bara la America ya kaskazini. Jina lao...
Salamu kwenu.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Wote tunafahamu na kuamini kutokana na mafundisho ya vitabu vya dini zetu kuwa binadamu baada ya kifo chake husubiri hukumu siku ya mwisho ambapo...
Team ya Crown Media ni kama wapo serious na kazi kama watakuwa na consistency kwa muda mrefu basi ni wazi kuwa atachange tasnia ya media bongo Tz(game changer).
King Kiba anastahili kupewa...
MAONO YANGU.
Naamini kuwa, Mungu aliziumba mbingu na dunia na kila kiumbe kilichomo kwa hali yake na jinsi yake. Mie binadamu sijatokana na kiumbe kingine chochote kwa aina yake. Niliumbwa na...
TANESCO kwa nini mbona mnakwapua pesa za wanyonge bila huruma. Mwanzo wananchi walipiga kelele kuwa mmepandisha kodi ya jengo kutoka 15,000/= hadi 2,000/=lakini mlikuja kukanusha huku ukweli...
Rejea kichwa Cha thread...... Serikali Iko vizuri ni wabunifu....
Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali
Tumia kanuni ya kuwanyima watu taarifa zako .
Wasijue upo wapi
Wasijue unafanya nini
Wasijue Kazi yako
Wasijue biashara zako wala kazi zako.
Wasijue mipango yako
Hii -ndo njia bora ya kuwa safe...
Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.
Swali la msingi ni kuwa hawa wanaokopesha wanapata wapi namba za ndugu zako, jamaa, na marafiki ambazo wanazitumia ujumbe kuwataarifu kuwa unadaiwa...
NMB imesitisha rasmi huduma ya salary advance kwa mwezi June, 2022.
Hii night kutokana na kukopwa kwa kiasi kikubwa na kusababisha kushindwa kujiendesha.
Mtumishi mmoja wa NMB anadai hali ni...
Takwimu za Benki ya Dunia na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Jamii na Uchumi (REPOA) zinakadiria takriban watu 800,000 hadi 1,000,000 huingia katika Soko la Ajira Tanzania kila Mwaka, ambapo...
Ukienda china, japan, korea, nigeria, ghana na nchi ambazo mtakuwa mashaidi swala la matumizi ya nyanya sio kapumbele sana kama huku kwetu.
Pili wenzetu ni watumiaji wa pilipili ambazo hapa...
Nimetoka zangu kazini nikaona niende kununua mahitaji kadhaa sokoni.
Ghafla nikaona tunaambiwa na vijana jamani mpishe hii njia kidogo iwe wazi kwa muda, nilidhani labda kuna emergency...
Katika miaka niliyo nayo mpaka sasa sijawahi kukubali kuwa eti kuna uchawi sijui mtu anaweza kuloga sijiui mambo yako yasiende.
Kama kweli uchawi upo kwanini hao wachawi wasiende benki wakaloga...
Nimeona watanzania. Wengi wakilaumu kwamba kwanini sisi sio kama wakenya wenye ujadiri wakupinga waziwazi serikali yako barabarani? Na wengine wameenda mbele wanasema kwanini sisi mazuzu kias hiki...
MAADHIMISHO YA SIKU YA HOMA YA INI KITAIFA KUFANYIKA DAR ES SALAAM
-RC Chalamila awataka wakazi wa Mkoa huo na watanzania kujitokeza kwa wingi
-Asema maadhimisho hayo yanaanza Julai 25 hadi...
Taasisi ya Masuala ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU) imekuwa ikiandaa ripoti za uwajibikaji zenye lengo la kuongeza uelewa wa Wananchi kuhusu mambo muhimu yaliyoibuliwa kwenye Ripoti za Mdhibiti na...
Jana mheshimiwa Rais Samia amezindua rasmi Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ambayo Ina majukumu ya Kulinda na kutunza faragha za watu.
Sasa Kuna mtindo umezuka ambapo Online Creditors Wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.