Habari wakuu,
Siku ya leo 24/07/2024 majira ya asubuhi nimeumia sana kwa tukio ambalo limenitokea.
Hii ni baada ya kumaliza kujiandaa na kutoka nyumbani nikielekea kwenye harakati za mtu mweusi...
Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua...
Jaribu kufikiria unafanya malipo kwa hela nzuri na safi afu unaturudishiwa chenji kama hii.
Kwa Mgeni kutoka mataifa mengine anaweza kuona umemdharau kwa kumpa uchafu yaani Takataka 🚮
Watanzania tusipumbazwe na utetezi wa polisi kuhusu utekaji, upo!
Ni hivi wizi wa watoto umekuwepo kutoka zama za kale. Wizi wa watoto hufanywa na wanawake ambao hawajabahatika kupata watoto kwa...
MAREKANI - Mkurugenzi wa Huduma ya Usalama wa Taifa nchini Marekani, Kimberly Cheatle ameomba kujiuzulu huku kukiwa na utata wa hitilafu za kiusalama kuhusiana na jaribio la hivi karibuni la...
Imekua ni kawaida kwa baadhi ya watu kufurahi pindi wanapoona mtu flani kaanguka iwe ni mtu mashuhuri au mtu wa kawaida ambae hana ushawishi wowote katika jamii, lakini pia kuna watu huwa...
Salaam!
Ndugu zangu wanajeiefu poleni na majukumu mbalimbali ya kiuzalishaji Mali.
Kuna matukio yanaendelea kwa kasi sana yanayoonesha utekaji wa watoto tena yakifanywa na watoto wadogo mno...
Habari,
Ndugu zangu TAMISEMI habari zenu!
Tunapenda kujua kwanini mfumo wa usajili wa leseni za biashara (TAUSI) haufanyi kazi tangu wiki iliyopita kwanini? Lini mfumo huu utarudi na kuanza...
Kwa mujibu wa takwimu za usafiri zilizotolewa na mamlaka ya anga ya Nchi zote inaonesha wakenya wakitumia usafiri wa ndege mara 3 zaidi ya Watanzania ambapo takribani watu Milioni 12.3 walisafiri...
ANDINIKA USHINDE
Nina wazo na nikaona ni vyema niliwakilishe kwenu, hata kama sio mahali sahihi mtanisaidia lifike penyewe. Nimekuwa nikiona majanga mengi yatokanayo na mvua kama mafuriko na...
Si kweli Siku aliyofariki mtume HAIPO. Sisi mashia tunaamini siku aliyofariki mtume IPO. Narudia tena ipo na mashia wanaikumbuka, wanavaa nyeusi na Tunalia.
Siku aliyofariki mtume apate Tawfiq...
Aliyekuwa Waziri Wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK, Lawrence Kingo Masha anazunguka Makanisani walau aweze kupata msaada wa kimawazo, nini kimetokea ? Hana watu sahihi wa kumsaidia kati ya...
Chuo cha Mitambo mizito (IHET) kimeendelea kutoa mafunzo kwa askari wa Jeshi la Polisi ambapo awamu hii kimeweza kutoa mafunzo na kuwataini askari ambao wamejengewa uwezo wa ukaguzi wa mitambo...
Moja kati ya hoja zilizomfanya Mke wa Marehemu bilionea Msuya ashinde kesi ya mauaji ya wifi yake ni upande wa mashtaka kuwa na pungufu ya kushindwa kufuata kanuni za kumhoji mshtakiwa pia na...
Taa za boda zinazo badilikabadilika rangi zimekuwa kero na usumbufu kwa watembea kwa miguu na watumiaji wengine wa vyombo vya moto.
Likini pia taa hizo ni hatari sana kwa watu wenye tatizo la...
Uzoefu unaonesha kuwa viongozi wengi husikiliza zaidi maneno ya kuambiwa bila wao wenyewe kufanya tafiti.
Unakuta kiongozi imehamishiwa mahali akiwa tu mgeni anaambiwa maneno nae anajiunga na...
Baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa wamelalamika kuhusu Single Mother kuwa Mwiba kwenye familia zao na kuhatarisha malezi ya watoto.
Wameongeza kuwa watu hawa wamekusa huruma hadi kufikia...
Yaani badala ya kununua milingoti ya chuma na wire kwa ajili ya kufunga zile taa za mwanga barabarani, napendekeza taa ziwe zinafungwa kwenye mistimu ya umeme iliyopo kando kando ya barabara na...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka wasoma mita kuacha mara moja kuwakatia maji wananchi siku ya sikukuu ama jumamosi na jumapili kwa kuwa ni haki yao.Aidha amesisitiza wananchi waombapo...
Wadau hamjamboni nyote?
Kwa mujibu wa maandiko na Imani ya wenzetu wanaamini kwamba
Isaka hakuwa mwana wa Ibrahimu aliyetoka kiunoni mwake huku Ishmael akiwa ndiye mtoto aliyetoka kiunoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.