Kuna hatari kubwa ya maandamano ya vijana kwa sababu ajira ni chache na mikakati ya serikali kupambana na tatizo hili ni ndogo ukilinganisha na ukubwa wa tatizo.
Sioni mikakati madhubuti ya...
1- Nikawaida kabisa kukutana na mmachinga bonge la mtu kama goliati alafu anauza kata kucha na sio nyingi kama tano tu,nikajiuliza huu mwili unalelewa na biashara hii ndogo hivi au kuna lingine...
Halmashauri ya Kibaha Mjini imeanzisha oparesheni kamata kamata na kufunga biashara tangu wiki iliyopita.
Wanafika kwenye sehemu za biashara wakikuta unadaiwa kiasi chochote kile wanakutoa kwenye...
Salam JF,
Leo kwa mara ya kwanza naomba nimtetee Rais wangu baada ya Tafakari kubwa kiasi. Huyu Mama ana maono mazuri ila shida iko kwa wateuzi wake na Machawa.
Kwa siku za hivi karibuni...
Kange ni mtaa unaokua kwa kasi sana mkoani Tanga, wilaya ya Tanga mjini. Miaka michache mbeleni, vitega uchumi vingi vitahamia Kange kutokana na idadi ya watu wanaohamia kuongezeka kwa haraka...
Wapendwa wana JamiiForums,
Tunafurahia kuwa sehemu ya jamii yetu inayoheshimu faragha yenu kwa kuwaruhusu kutumia majina bandia ili kuwa huru kutoa maoni yenu na kushiriki mijadala kwa namna...
Hawa watu wanakusanya kila nyumba Elfu 2000/= kwa taka na Ulinzi lakini cha ajabu wakifika nyumba yenye wapangaji wanakusanya kila chumba 2,000/= swali langu kwa mamlaka husika je inakuwa ni haki...
Wakati Jeshi la Polisi likisema linafuatilia mawasiliano ya mwisho na watu aliokuwa akiwasiliana nao Muuguzi wa KCMC, Lenga Masunga (38) aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha hivi karibuni...
Utaratibu wa uchinjaji wa Wanyama katika machinjio na maeneo mbalimbali yanayotambuliwa
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inalinda afya ya jamii kitaifa na kimataifa kwa kusimamia...
Wakuu, Mbeya sijui kuna shida gani thamani ya majengo na viwanja havipandi thamani kabisa!!
Mwaka 2017 nilinunua kiwanja chenye pagala (jengo ambalo halijaisha). Nikalimalizia nikaezeka na kupiga...
Nimelipia gharama za kuunganishwa na umeme toka mwezi February mwaka huu.
Nimejisomba sana kwenda Tanesco kila leo mpaka sasa nimechoka.
Nilipohamia kwenye nyumba nimepata tabu sana mwanzoni...
ETARO SEKONDARI: MATAYARISHO YA KUANZISHA "HIGH SCHOOL" YENYE SOMO LA SAYANSI YA KOMPYUTA (COMPUTER SCIENCE)
Idadi ya shule ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini:
(i) Shule za Msingi: 120
116 za...
Viongozi wa Tanzania wana kalba ya kutamka maneno ya kuudhi na kutweza wananchi,
Huyo alietamka hivyo sijui alikua kalewa au kavimbiwa, yaani eti kiongozi unajisifu Kwa kuiba kura dunia ya leo...
Na Comrade Ally Maftah
Nimefarijika sana kumsikiliza rafiki yangu sana Dr Gervas Kasiga ( Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dodoma ) kwamba mwelekeo mwingine wa ajira ni katika sana, ni hakika kwamba Dr...
Salaaam kwenu Wanajukwaa,
Hivi kijana unayetafuta mafanikio (utajiri) ambaye bado hujafikia mda wa kuoa au kuwa na mwenza na una kiu kubwa ya kusaka mafanikio. Unakuaje na Mademu?? Upo serious...
Katika halmashauri ya jiji la Mwanza wilaya ya Nyamagana, kata ya Luchelele mtaa wa Silivini mji mdogo wa( Nyamalango) kumekuwa na tabia ya viongozi wa mazingira kutoshughulika na majukumu yao...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu wa kigoma ni watani zetu sisi kanda ya ziwa hususani Mkoa wa Mara.
Hivyo nahoji na kushauri watani zangu huku nikijiuliza kwa tabia zao watamudu masharti ya...
Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.
Huu...
Hii ni Changamoto Kubwa Jamani na usiombe kulazwa ukayaona.
Lakini ukiachilia uchafu pia neti hizo ni ndogo.
Mfano kwa mama na mtoto wake mchanga neti mmeichomeka inawagusa Gusa na hiki kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.