Vodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli.
Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena...
Watumiaji wengi wa TikTok hawana maadili. Badala ya kumfungia mtu mmoja mmoja, ni afadhali wakafungia mtandao, hadi pale elimu itakapotolewa kuhusu matumizi ya mtandao huo.
Binafsi sina account...
Hakuna wakala yoyote anayetoa huduma za pesa kuweza kukubalia kulipa huduma yoyote mfano vocha, umeme, mfumo wa serikali na huduma ambazo sio miamala.
Ni kwamba huduma hizi kwa mawakala hakuna...
Habari.
Barabara ya mwendokasi Mbagala awamu ya pili zimefungwa taa za kuongoza magari nyingi sana.
Wingi wa taa zile inaweza kusababisha folen kubwa ya magari yanayopita njia yakawaida.
Taa...
Kwenu Tan Gen Zee
Wakati tukitafakari yanayojiri kwa wenzetu Kenya, ni vyema kutafakari mambo mengine ya msingi haswa kwenu nyinyi Tan Gen Zee
Nikisoma nyuzi nyingi humu naona kuna shida mahala...
NGUVU ILIYO NDANI YA WANAWAKE WAOMBAJI/WAOMBOLEZAJI
1. Wanawake Waombaji ni WABADILISHA MATOKEO...Machozi ya Mwanamke YANA NGUVU KUBWA sana ambayo inaweza kubadili CHOCHOTE lakini Sisi Wenyewe...
Miujiza ni matukio ambayo hayaelezeki kwa sheria za asili na huchukuliwa kuwa ni dalili ya nguvu ya juu au uwepo wa Mungu. Watu wengi wamekuwa wakishuhudia miujiza katika maisha yao, lakini mara...
Usifate maelekezo Kutoka kwa Watoa huduma 'FAKE'
Njia kubwa wanayoitumia Kwa sasa ni hii Mdukuzi hukutafuta kama Mtoa Huduma kutoka katika Kitengo cha huduma kama instagram, facebook na mitandao...
Usipakue 'APP' Isiyokuwa Rasmi, katika Vifaa vyako kama Compyuta na Simu
Wapo wanaopakuwa App kutoka katika Tovuti zikisema zitawasaidia Kusafisha simu, kuweka muonekano mzuri wa Simu, App hizo...
Habari wanajukwaa na wadau! Nitoe pole kwa wagonjwa na wanaowauguza wapendwa wao! Mungu awapatie afya njema na muendelee na shughuli za kijamii. kwa wale wenye afya na uzima! As-salamu alaykum...
Ni ukweli mtupu kuwa Sisi Waafrika tunawahitaji watu wengine wa mabara ya Asia, Ulaya na Amerika kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.
Wataalamu wa viwanda ni wao.
Wenye mitaji ni wao
Wenye ubunifu ni...
Leo tar. 05 July 2024
Katika hali isiyo ya kawaida nikiwa eneo la tukio (nilimsindikiza ndugu yangu ambae nae ni muhanga wa hii habari) abiria waliotakiwa kusafiri na gari kampuni ya ALLY'S STAR...
Wanachama wenzangu habari yenu, niko jambo linanitatiza hivyo nikapendelea nililete kwenu kwasababu hii ni kawaida na ndio dhumuni ya mtandao huu (JF), kushauriana pamoja kupeana hamasa katika...
Bodi ya Wakurugenzi ya Soko la Hisa la Dar es Salaam limepitisha uteuzi wa Peter Situmbeko Nalitolela kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam.
Uteuzi wa Bw. Peter Situmbeko...
Kumbe Bwana DC Bomboko una kazi nyeti ya kuwasaidia wafanyabiashara wa hapo Simu 2000 badala yake unakimbilia kuwaandama mabinti wanaotoa burudani mjini!
Ona sasa ulivyozomewa na kudhalilishwa...
Habari wanaJF wote, natumai hamjambo!
Fridge hapa nyumbani linapiga shock ukiligusa, shida yaweza kuwa nini?
Ndio nitaita fundi , lakini ningependa kupata maoni kutoka kwenu!
Natanguliza...
1. Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri la Rais William Ruto
Katika hatua za hivi karibuni, Rais William Ruto amefanya mabadiliko muhimu katika baraza lake la mawaziri. Soipan Tuya, ambaye awali...
Ilisemwa semwa kuwa mmefilisika , mfuko una hali mbaya. Muda wote pensheni za wastaafu zinalipwa 23/ ya kila mwezi ithout miss. sasa mwezi jana na huu, mambo hayako sawa.
Samia, hawa ndio wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.