Shule za advance zilifunguliwa July 1 2024 na tukapewa maelekezo ya kutumia mtaala ulioboreshwa.
Tukapeenda na seminar zilizochukua takriban siku 3, kutoka mtaala uliopita kuna masomo yalifutwa...
WAHASIBU wakuu wa Serikali wa nchi za bara la Afrika wapatao 2000 wanatarajiwa kushiriki kwenye Mkutano wa pili wa kimataifa wa siku tatu,u utakaofanyika Desemba 2-hadi 5 mwaka 2024 kwenye kituo...
Ikumbukwe Mei mosi ilivyofanyika siku ya wafanyakazi mkoani Arusha, ambapo ilitangazwa Mgeni rasmi angekuwa Rais Samia, ila haikuwa hivyo na wala haikutangazwa wazi sababu za yeye kutokuhudhuria...
Mshirika akiwa na uhitaji wa pesa anaambiwa inabidi aombwe maombi apate pesa au mafanikio lakini wahubiri wenyewe wa kisasa wakitaka pesa wanasisitiza sana washirika wamtolee mungu matoleo ya...
Huu mwaka nahisi kutakuwa na kujuana sana REJEA kilichotokea mwaka Jana 2023 Pale Iringa walipokua wanataka kuajiri Watendaji Mpaka Serikali ikaingilia Kati kwa sababu ya Mivutano ya Mimi Namtaka...
Maendeleo hayana chama, aliyetoa fedha kwa ajili ya mataa Kilwa Road anastahili pongezi.
Zama za kuviziana zimefika tamati.
Pia soma:
Barabara ya makutano ya VETA na Chang'ombe hakuna mataa...
Kwamba hizo Smart Lock zitajifunga kama hujalipa kodi, maswali ni mengi kuliko majibu.
Hivi likijifunga na watoto wako ndani inakuaje majanga yakitojea mfano ya moto?
Network ikizingua control...
Cabinet- Kwa nini ni Baraza la Mawaziri na sio Baraza la taifa la uongozi wa nchi?
Ministry of Finance- Kwa nini inaitwa Wizara ya Fedha badala ya Wizara ya hazina kuu ya kitaifa?
Secretary of...
UTANGULIZI
"MINING GEOLOGY IT" ni uwanja wa kipekee ambapo jiolojia inakutana na teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) katika tasnia ya uchimbaji madini. Hii inajumuisha matumizi ya teknolojia...
Mjitahidi kuzunguka na mikoa ya wenzenu nchi kubwa hiyi msijifungie kwenye box
Huku niliko unaweza kaa hata mwez usimsikie MTU akitaja Samia suruhu au kiongozi wa nchi
Stories za huku
👉 oya...
"Jiolojia ya Uchimbaji Madini ni eneo maalum la sayansi ya jiolojia ambalo limejitengeneza kihistoria kama msaada kwa migodi inayoendeshwa na kwa tathmini ya miradi ya uchimbaji. lengo kuu la...
Nilidhani ni mimi pekee yangu lakini niliingia kwenye ukurasa wa Tigo Tanzania Facebook nikaona watu wanalalamika.
Mimi nimetuma pesa kutoka Tigo kwenda M Pesa.
Nikarudishiwa ujumbe muamala...
Niaje,
Nilitumiwa ujumbe huu kwenye simu yangu;
ZUIAUHALIFU
Jihadhari na Usafirishaji Haramu wa Binadamu. Watu wanatumikishwa, wanateswa, wanatolewa figo na kuuawa.
Tushirikiane kupiga vita...
Kwanza ni utoto🤼 utafanya kila aina ya vituko ila kama hujakosolewa ☝🏾 au kupigwa kabisa bado hujajua chochote kuhusu ulifanyalo📌 ndiyo maana wakasema utoto raha😄
Wakati wa pili ni ujana ni...
As salaam alaikhum warahmatulah wabarakatul ndugu zangu Wana familia wa JamiiJorums.
Katika maisha ya sasa na hata baadae tunapo endelea kuishi katika huu ulimwengu ikiwa ni pamoja na kusubiri...
Mkurugenzi wa Biashara ya Awali na Kati wa Benki ya CRDB, Bonaventura Paul (kulia) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya CRDB, Toyi Ruvumbagu mara baada ya Benki ya CRDB kutangazwa...
Uwapo kwenye Tovuti (website) Usifungue matangazo ya Zawadi wala kujaza taarifa zako kwenye Tovuti usiyoiamini
watu wengi wamekuwa wakirubuniwa na Matangazo ya Zzawadi yanayo onekana kwenye...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.