Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ufafanuzi Kwanza; tunamshukuru mdau kwa kuibua kero yake hii na pengine itasaidia sana kuuhabarisha umma hasa wafanyabiashara wa mifugo na wafugaji kwa ujumla kuepuka kuuza/kununua wanyama wenye...
0 Reactions
4 Replies
674 Views
Broad Question, Bila kuleta ushabiki wa vyama sasa hapo ulipo vaa uzalendo ili tujadili Kwa pamoja. Kwanza utambue Kwa rasilimali zetu kama nchi kimaendeleo hatukupaswa kua hapa tulipo sasa kama...
1 Reactions
6 Replies
284 Views
Jeshi la polisi lina mapungufu mengi ambayo sina haja ya kuyataja. Upelelezi huwa unakwenda taratibu lalakini wahalifu watakamatwa tu. Sasa kwa wewe mpumbavu uliyejihusisha / unayepanga...
0 Reactions
4 Replies
263 Views
Hakuna shaka kuwa janga la uharibifu wa mazingira ni tatizo la Dunia nzima, athari za janga hili ni kubwa sana, Tanzania kama sehemu ya Dunia tumeanza/tunaendelea kupitia maafa ikiwa ni pamoja na...
1 Reactions
15 Replies
467 Views
Nakumbuka niliwai kupanga nyumba ya mpenda dini basi kila nacho fanya ujana wangu yani kila siku kuning'ang'ania ni silimu ikabidi nihame ile nyumba. Nikapata nyumba nyengine ya mlokole yani enzi...
5 Reactions
10 Replies
456 Views
Makosa ya kubaka na kulawiti yameendelea kuongezeka Tanzania, ambapo kwa mwaka 2022 makosa ya kubaka 6,827 yaliripotiwa polisi, hata hivyo kwa mwaka 2023 makosa haya yameongezeka kufikia 8,691...
5 Reactions
27 Replies
827 Views
Hii Nchi Kila mtu akipata angle au gape la kutumia basi anatumia bila kupoteza muda. ========= Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mpanda (MUWASA) imemkamata Yusuph Singu mkazi wa mji wa...
10 Reactions
62 Replies
2K Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
8 Reactions
330 Replies
8K Views
Habari zenu wanajamvi? Hivi ni sahihi kwa baadhi ya taasisi za serikali kuchaji gharama zao kwa kutumia Dola badala ya Shilingi ya Tanzania(Tsh)? Mfano: Air Tanzania kwa safari za ndani...
0 Reactions
5 Replies
430 Views
Wakuu salama? Naombeni mnitoe "matongotongo" Abiria wa daraja la kwanza au VIP kwenye ndege anatofautianaje na wa madaraja ya kawaida? Nawasilisha🙏
11 Reactions
73 Replies
2K Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
61 Reactions
423 Replies
14K Views
Kila siku naona malalamiko kwenye ofisi yangu kutoka kwa wakaaji wa Magomeni kota mara wanalalamika bili ya Maji ni kubwa wameshindwa kulipa wengine wanalalamika kwamba bili ya taka imekuwa kubwa...
11 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
2 Reactions
16 Replies
469 Views
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amelagiza Jeshi la Polisi la Wilaya ya Temeke kukamata Watu wote ndani ya Wilaya hiyo ambao wanapiga picha na kujirekodi video wakiwa na hela kwenye...
17 Reactions
116 Replies
14K Views
Niwakumbushe tu vijana wa kudai haki zenu hakikisha unatimiza wajibu wako. Mfano kama ulisomeshwa vizuri na wazazi wako na wewe ukatimiza ushauri wa wazazi wako na ukakosa ajira ni haki yako...
1 Reactions
2 Replies
214 Views
WATU WATATU UNAOTAKIWA UWAFURAHISHE ILI NAWE UISHI MAISHA YA FURAHA Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Umeshakuwa mkubwa sasa. Hakuna kitu unachohangaikia kila siku kwenye maisha kama kuwa na...
10 Reactions
13 Replies
1K Views
ELIMU ÍLIKUWA MKOMBOZI WA WANAWAKE NA VIJANA MASKINI LAKINI JANGA LA AJIRA LIMEWARUDISHA KULEKULE KWENYE UTUMWA Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Elimu ñdio ilikuwa ukombozi wakutegemewa na...
4 Reactions
11 Replies
615 Views
Katika Mei Mosi ya mwaka huu 2024, Makamu wa Raisi wakati akihutubia akimwakilisha Raisi alisema suala la nyongeza ya mshahara tusubirie Jambo kutoka kwa Raisi mwenyewe. Tunavyofahamu nyongeza...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Hakuna kitu kinakera kama kupakiwa mshikaki,kwanza kuna hali fulani si ya kupendeza unakuta mke wa mtu kakaliwa nyuma na jamaa pale lazima jamaa liskie joto lake au shanga zake na kuvuta hisia...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
TOKEN: 27778552013299055812 UNITS:8.4KWh, MITA: if required, TSh3,000 VAT 18% : 442.62, Umeme huu hauingii TANESCO
1 Reactions
4 Replies
701 Views
Back
Top Bottom