Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kuna wakati ilikuwa ukienda hospitali ikakutwa na maambukizi walikuwa wanakwambia uwape majina ya ulioshirikiana nao tendo hlf wao kwa muda wao wanawatafuta kwa ajili ya upimaji na tiba. Sina...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza...
4 Reactions
22 Replies
799 Views
Naomba niulize swali kwa watu wazima hasa wanawake. Hivi huwa mnafikilia nini unaposalimiwa na mtu unayemzidi umri mpaka mnashindwa kuitikia? Unakuta mama mzima analingana na mama yako au...
19 Reactions
71 Replies
2K Views
Anonymous (d1ec)
Wakati ongezeko la nyumba za ibada maarufu 'Makanisa ya Kisasa' likizidi kushika kasi Nchini Tanzania, kuna baadhi ya makanisa hayo yanatumia shuhuda za uongo (feki/za mchongo), kujizolea maelfu...
14 Reactions
91 Replies
6K Views
Jamii Ina stress kubwa za kiuchumi, kimalezi, kimahusiano na za hisia za kurogwa. Wafanyamazingaombwe, waganga na matapeli jasiri wameiona hii fursa na kujitengenezea vilinge vya kujitajirisha...
3 Reactions
10 Replies
351 Views
Kitendo cha kuomba na kuniambia nina mkopo bado sikielewi kabisa. Sidaiwi na nmb kwanini napata ujumbe huu? Mjuzi anayejua tafadhari Naju.
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Kampuni ya Meta imefuta akaunti 2,500 zilizokuwa zinaendeshwa na kikundi cha watu 20 ambao walikuwa wakifanya utapeli kwa wanaume na watoto chini ya miaka 18 nchini Marekani kwa kuwatishia...
0 Reactions
15 Replies
946 Views
Watoto 2,382 wamefanyiwa ukatili wa kulawitiwa mwaka 2023 Matukio ya watoto kufanyiwa ukatili wa kulawitiwa yameongezeka kwa kasi, ambapo watoto 2,382 walifanyiwa ukatili huo kwa mwaka 2023...
1 Reactions
4 Replies
279 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2024, Saa 3:20 asubuhi ilipata taarifa kuwa eno la Goba Matosa, Kinondoni kulikuwa na tukio la mauaji yaliyotokana na ugomvi kati ya...
1 Reactions
3 Replies
417 Views
Kwema Wakulungwa. Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani? Mimi Miaka 87.
7 Reactions
89 Replies
1K Views
Suala la watu kujikuta kwenye madeni sio geni toka miaka maelfu iliyopita. Binafsi nimeshawahi kujikuta kwenye hiyo hali mara nyingi.. unakuta kuna watu binafsi wanakudai, benki rejesho huku TRA...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Three stories to boot: 1. Nokia refused Android 2. yahoo rejected google 3. Kodak refused digital cameras Lessons: 1. Take chances 2. Embrace the Change 3. If you refuse to change with time...
2 Reactions
3 Replies
206 Views
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF...
14 Reactions
191 Replies
13K Views
Soma vzr halafu useme UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE? (Siyo really story) Una rafiki Yako Ambae tangu uoe hajawahi kumuona mke wako na mnaishi vijiji tofauti tofauti (vya mbali Habari za smart phone...
2 Reactions
0 Replies
208 Views
Katika ibada ya uaguzi nabii anakazana kukuambia nani kakuroga, ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa.
1 Reactions
4 Replies
226 Views
Hatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar. Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya...
16 Reactions
79 Replies
4K Views
Hongera Watanzania na serikali kwa kutumia kodi na kuwezesha mradi kuanza kufanya kazi kwa kipande cha Dar-Moro, Dar-Dodoma safari iliyoanza leo. Napenda kuwashauri watanzania wenzangu huu mradi...
1 Reactions
5 Replies
290 Views
NHC K'NJARO YAIPIGA JEKI JK.NYERERE SEC MIFUKO 50 UKARABATI WA SHULE 25 Julai 2024 Na Mwandishi Wetu,Moshi Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)mkoani Kilimanjaro limetoa msaada wa mifuko 50 ya...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Hebu tujadili haya mambo ma3. Vipi kama tukiondoa 1. Dini (sio IMANI) 2. Siasa (SIO UONGOZI) 3. Media - vyombo vya habari (SIO NJIA ZA KUTUMA NA KUFIKISHA TAARIFA) JE jamii ya watu wa kubet...
3 Reactions
0 Replies
101 Views
Anonymous (cb82)
Kumekuwa na zoezi la kuzuia wanafunzi kufanya mitihani ilhali wamemaliza ada huku wakidai yakuwa mitihani hiyo inabidi ilipiwe fedha ambayo haijaorodheshwa kwenye fomu na si halali kwani, matumizi...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Back
Top Bottom