Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
TANESCO wilaya ya Arumeru mkoani Arusha kuna tatizo gani tangia jana. Jana umeme ulikatika zaidi ya mara 10, usiku ukakatika tena mara kadhaa, asubuhi hii umekatika tena, mbona hamna taarifa kuna...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Na Ferdinand Shayo, Manyara Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi iliyopo mjini Babati Mkoani Manyara imedhamini timu ya mpira wa miguu inayoshiriki ligi kuu ya...
2 Reactions
2 Replies
358 Views
"NullYou have insufficient balance to subscribe the service. But you can dial *137*09*02 to subscribe the service via M-Pesa". Hawa nao ni wale wa " ile hela tuma kwa namba hii", nao wanastahili...
5 Reactions
11 Replies
733 Views
Habari zenu wakuu, ni siku nyingine ya kumshukuru Mungu kwakua tumeamka salama na tunaendelea na mapambano ya maisha. Niende moja kwa moja kwenye mada yangu, asee wakuu tokea juzi nilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Wasalaam, Habari ya majukumu naomba muongozo wa kupata mkopo wa fedha kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii (PSSSF) kwaajili ya kukamilisha ujenzi. Hii ni mujibu wa mkataba wa mfuko huo na mteja...
1 Reactions
0 Replies
523 Views
Leo mzee wa kulalamika Daily, Nimechoka na makato ya NMB Nikaona nihamishe mshahara kwenye bank nyingine yenye makato nafuu kidogo, Nikapata bank moja hivi wenyewe hawana makato ya uendeshaji...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Kuhusu suala la kulea, watanzania wengi hawalei watoto bali wanafuga mifugo kama mifugo mingine kama kuku. Mtu ana mtoto lakini hajui mtoto anacheza wapi, mtoto anacheza na nani wala mtoto...
34 Reactions
36 Replies
1K Views
Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
0 Reactions
6 Replies
477 Views
Moja ya zawadi bora baba unayoweza kutoa kwa watoto au mtoto wako ni uwepo wako, ndio uwepo wako kwa hao watoto ni zawadi, utawapa kujiona kuwa unawathamini na kuwajali kwa kuwa karibu nao...
2 Reactions
4 Replies
844 Views
Je, walifungia ndoa kanisani au msikitini?
9 Reactions
429 Replies
28K Views
Mimi ni miongoni mwa watumiaji wa gesi ya Taifa Gas kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Wiki 4 zilizopita nilienda dukani kununua gesi [kubadilisha mtungi]. Wakati nauinua nikasikia kimiminika...
37 Reactions
97 Replies
7K Views
Taarifa za hivi punde zinaeleza kuwa kituo cha mabasi Morogoro kinaungua moto ====== Zaidi ya vibanda tisa vya Wafanyabiashara vilivyopo pembezoni mwa stendi ya Msamvu Manispaa ya Morogoro...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Anonymous (cad0)
WIZARA YA UTUMISHI WA UMMA INVYOWADHARAU WATUMISHI WA UMMA 1. Wizara ya Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa UMMA nna Utawala Bora ilitoa waraka au tuseme kibali cha upandishaji madaraja kwa...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Naweza kuthibitisha Hilo kwamba ahadi ya serikali kupandisha watumishi wa umma Madaraja kawaida na kwa mserereko kwa MWAKA WA FEDHA 2023/2024 ni porojo tu kwani hakuna dalili yeyote inayoonyesha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais alikuwa na lengo zuri tu kwa watumishi la kuwapandisha Madaraja lakini kazi hiyo haijakamilika kwa baadhi ya wilaya hadi July hii. Taarifa za uhakika zinasema wilaya za mkoa wa Shinyanga...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka. Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021. Kongole Mama yetu, tunakupenda sana...
13 Reactions
82 Replies
19K Views
Kama Mama hakuoni pamoja na Kelele zote juu yako na bado uko tu naamini hata Simba SC yangu hii ambayo kwa sasa ikiwa kwa Farao Misri huku ikiogopa Kuthubutu kucheza Mechi ya Kirafiki ya maana...
9 Reactions
16 Replies
795 Views
Ni muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu. Je, umepata kitambulisho cha Taifa?
6 Reactions
18 Replies
629 Views
Hello! Mauti iko mlangoni inasubiri mtu atoke imbebe. Jitahidi kuomba rehema kwa Mungu mara kwa mara. Epuka dhambi ya ufiraji , epuka uzinzi, epuka dhuluma, epuka ushirikina, epuka kumwaga damu...
21 Reactions
36 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa(Mb) amewataka Wapangaji wanaokaa kwenye nyumba na majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi ya pango ili fedha hiyo...
0 Reactions
2 Replies
840 Views
Back
Top Bottom