Sms zinazotumwa kutoka kwa watu wasiojulikana zimekuwa ni kero kubwa sana na wakati mwingine zinawapa wananchi wasiwasi kuwa huenda taarifa zao binafsi zinazohifadhiwa kwenye simu ya mkononi...
Habari Wana jamvi hivi ni kwanini tukitaka kuomba Ajira za Serikalini tunahitajika ku-certify vyeti vyetu vya elimu kwa wanasheria au mahakamani?
Je, mamlaka za Ajira hazitambui vyuo tulivyosoma...
Umefika wakati sasa, shughuli zote za uagizaji wa vifurushi na mizigo zikafanywa na shirika letu la Posta, pekee, pamoja na makampuni ambayo yatakuwa yamesajiliwa rasmi nchini Tanzania katika...
Hatimaye Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imetoa kibali kwa radio pendwa hivi sasa kwa Dar Es Salaam 93.7 Efm kuanza kurusha matangazo yake kwenye mikoa Tisa ya Tanzania Bara.Mikoa hiyo ni...
Shalom,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo.
Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio...
Je vijana wa kitanzania tunajifunza nini kwa kile kinachoendelea kwa majirani zetu Kenya.
Vijana wa Tanzania Tunapitia changamoto zisizotatuliwa kwa wakati.
~ AJIRA
~ MAZINGIRA MABAYA YA...
Tumekuwa tunahimizwa kutumia Gas badala ya mkaa ili kulinda mazingira. Lakini nashindwa neno sahihi la kukiita sijui ni wizi au ni Utapeli Kwa kujaziwa sijui ni mchanganyiko wa Maji na gas katika...
Wanajamvi wenzangu.
Nilikuwa naangalia Tiktok kuna waafrika weusi kabisa kutoka Igbo Nigeria na South Africa wamepima DNA wakapatikana ni wayahudi 97% wengine 85%.
Huko Ethiopia ndo usiseme...
Hii ni maajab
Mshahara bado haujatoka kwa watumishi wa umma lakini ukiingia kwenye mfumo wa ESS unakuta washaweka salary slip ya mwezi huu
Hii kitaalam inaitwaje? Au watumishi wamekopwa🤣
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni ushuhuda wangu nikiwa safarini na abiria wenzangu
Hakuna abiria anayeongea na mwenzake, wanaobishana kuhusu mpira au siasa au wanaoulizana majina au makabila...
Hatuwezi kwenda moja kwa moja kwenye lengo , utazunguka zunguka mara mtoto kameza wembe sijakula toka asubuhi ..n.k mambo mengine ni kujichoresha tu. ilimradi tu mtu akuhurumie...
Nyosha maelezo...
Moja ya changamoto kubwa ktk afya ya taasisi za fedha na uchumi kwa ujumla ni wizi kupitia mitandao (Cyber Crimes, Frauds, etc)..Utakatishaji fedha..
Wageni wengi toka ktk nchi za Afrika...
Nimepoteza mtu naye mfahamu leo huko Mwanza na mtumishi ambaye bado tunamuhitaji.
Yote haya kila siku tukizidi kupoteza ndugu zetu na wengine kuwa walemavu wa maisha sababu ya hizi pikipiki...
Hizi tunaziita Pikipiki za laana kwa sababu:-
1. Zimepatikana kwa wizi wa mali za umma.
2. Haziwasaidii Watanzania kutatua changamoto zao.
3. Kuna ndugu zetu wengi wanakufa mahospitalini kwa...
Ugumu wa maisha na jinsi tunavyo ishi nahisi tujapigwa matukio ya kutosha ukilinganisha na nchi zengine zenye human traffic.
Mfano Mexico, USA, india Russian nchi zenye magaidi au vita watoto...
Barikiwa sana mwananchi wa Tanzania
Tanzania Tanzania nchi yangu, nakupenda kwa moyo wote
Kwa kifupi sana, ni hakika viongozi wetu hawafanyi vizuri sana, pengine demokrasia haijafikia kiwango...
Habari wakuu natumaini mko poa. Sasa nilikuwa naomba uchanganuzi/ushauri kuhusu kujiwekeza kufungua labda stationary, mgahawa wa chakula, nguo.
Mimi naishi Kibaigwa, sasa hapa jirani Mtanana...
Ikiwa nauli ya SGR Treni ya mwendokasi ya Kenya inayotumia diesel mwa umbali wa Nairobi-Mombasa ni Tsh. 400,000 wakati Kwa umbali huo huo wa Dar-Makutopora Kwa SGR ya umeme ya Tanzania ni Tsh...
Wakuu hongereni kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri.
Sasa huyu dogo he is almost 4 now.
Ila tatizo Lake hali chakula chochote nje ya nyumbani.
Mfano hata mkienda mahali ukimuagizia chochote...
Yani hii Tanzania ukienda mikoa nje ya Mbeya, ukiuliza jiji la Mbeya linakaliwa na kabila gani, fasta mtu anakujibu wanyakyusa lakini ukweli ni kwamba wasafwa ndio wenyeji wa kihistoria na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.