Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Salaam! Hebu Wataalam tusaidieni. Kwanini kwenye treni ya SGR mizigo hairuhusiwi? Ukiacha ile mizigo mikubwa hata mabegi ya mgongoni yanapimwa uzito kuona yana ujazo gani ikiwa ni zaidi ya uzito...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mji wa Morogoro mjini haukuwi kwa kasi sababu umebanana, Stendi ya msamvu isogezwe Azimio au mbele huko mitaa ya kwa chambu usawa wa shamba la katani kushoto kama unaenda mkundi...
2 Reactions
6 Replies
425 Views
Kutokana na changamoto zinazojitokeza katika machinjio ya nguruwe katika eneo la Kiborloni, Moshi manispaa ni: 1. Uchinjaji wa Nguruwe Wenye Mimba: - Karibia nguruwe 4 wanachinjwa kila siku...
2 Reactions
12 Replies
663 Views
"Chris Reynolds opened his Paypal account one day in July 2013 to find his account with a quadrillion dollars" Katika andiko Hili nakuletea Chris Roy mwanadamu pekee aliyewahi KUMILIKI kiasi...
1 Reactions
4 Replies
284 Views
Juzi nilimsikia Waziri wa Tamisemi akisisitiza watumishi wapya walipwe stahiki zao ikiwepo pesa ya kujikimu. Mpaka sasa halmashauri kadhaa hazijafanya hivyo, najiuliza sana hayo matamko ya...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
MAGEUZI MAKUBWA KWENYE SGR. Wananchi wamefarijika kwa kiasi kikubwa sana ambapo treni hii ya kisasa inakwenda kurahisisha Usafiri kutoka Dar-Morogoro- Dodoma. Hakika Rais Dkt.Samia Suluhu...
0 Reactions
10 Replies
620 Views
Habari. Mtume mwamposa naomba amtazame kwa upya yule dada anayetafrsi lugha. Ana kiingereza cha ovyo sana. Ameanza nae muda mrefu sana ila haonyeshi kuboresha lugha yake.
2 Reactions
16 Replies
705 Views
Hello! Biblia inasema asiye haki atakopa lakini halipi ila mikopo iliyosemwa na Biblia hapa si hii ya Wachina wa online credits. Ni mikopo ya kuaminiwa. Yaani ninakuazima pesa au Mali...
5 Reactions
14 Replies
363 Views
Nakumbuka Makamba nilikuambia hapa hapa kuwa kitendo tu na kutolewa kwako kule Wizara ya Nishati Mama alikuwa anakutafutia tu Timing ili akumaliza mazima kwa tabia zako za kujifanya uko naye...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
. Kukataa kujilinganisha na watu Wengine hukufanya uwe na nguvu.... 2. Kukubali udhaifu wako, hukufanya uwe na nguvu zaidi .. 3. Kukabiliana na changamoto zako uso kwa uso, hukufanya uwe na...
5 Reactions
8 Replies
443 Views
Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama...
119 Reactions
339 Replies
8K Views
Hizi taarifa zimezagaa huko mtandaoni X na kwa sababu Nape kafunga akaunti yake imeshindikana kumuuliza Inadaiwa mara Baada ya kupata taarifa kuwa Waziri Nape ametumbuliwa Dereva wa Serikali...
43 Reactions
163 Replies
11K Views
Anonymous (34b2)
Serikali ikiwa kwenye jitihada nzito za kuhakikisha NISHATI UMEME inapatikana vijijini kote lakini huku hali ni tofauti. Kata ya Gilya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, taasisi za Serikali kama...
0 Reactions
2 Replies
311 Views
PayPal has accidentally made man a QUADRILLIONAIRE after transferring $92,233,720,368,547,800 into his account! As a regular PayPal customer, Chris Reynolds spends no more than $100 a month. So...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Waungwana mimi ni mmoja kati maelfu ya wateja walionunua na kutumia mitungi ya gas ya Puma. Kwa wiki kadhaa kampuni husika haisambazi tena gesi hiyo na hivyo kutusababishia usumbufu mkubwa. Wakuu...
2 Reactions
8 Replies
465 Views
Wakuu niwasalim kila mmoja kwa imani yake Hili andiko litakua fupi sana Ipo mbinu bado naifanyia utafiti ya watu kutekwa na kupotezwa ,sio mda nitakuja na plan B na ikitekelezwa ktika jamii zetu...
1 Reactions
3 Replies
271 Views
Kuna jambo limenikumbusha vita ya ghuba(Second Persian Gulf war) ile iliyomuondoa madarakani aliekuwa Raisi wa Iraq, Bwana Saddam Hussein. Nikakumbuka huyu bwana alihukumiwa adhabu ya kifo kwa...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Habari wakuu wangu, Naweza kupata wapi matangazo ya mpira wa miguu ya mechi mbalimbali zilizopita yaliyo katika maandishi. Nahitaji mechi zifuatazo: Mechi ziwe nne: 1. Azam FC 0-0 (5-6) Yanga...
1 Reactions
14 Replies
434 Views
Wasichana balehe (wenye umri kati ya miaka 10-19) wakiwa katika mafunzo juu ya madhara ya Ndoa za Utotoni Ndoa za utotoni ni tatizo sugu nchini Tanzania na zinaathiri zaidi wasichana: asilimia...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Back
Top Bottom