Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Business is not for everyone. Wafanyabiashara machinga wa makoroboi na langolango mmepoa sana, soko zima husikii kelele za kuita wateja wala zile spika za amsha amsha. Utadhani uko supermarket...
5 Reactions
4 Replies
258 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemruhusu wakili Boniface Mwabukusi kufungua shauri la marejeo ya uamuzi uliomwengua kwenye orodha ya wagombea urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndani ya nchi yetu kumekuwepo na ubaguzi wa wazi dhidi ya watu wa kabila la wamasai. Imekuwa ni kawaida kuwaona na kuwatambua watu wote Kama Watanzania isipokuwa maasai ndio hutambulika Kama...
5 Reactions
28 Replies
753 Views
Kadi ya kupigia kura inafanywa kidigitali sana na mpaka inajulikana zipo kadi ngapi za wapiga kura. Ila ikifika swala upigaji kura tunaanza kuangaika na makaratasi ambayo mifumo yake inaonesha si...
2 Reactions
3 Replies
282 Views
Nabii na Mtume Mwamposa anesema hajaingia kwenye huduma ya kuhubiri injili ili kutafuta Fedha bali kuutangaza Ufalme wa Mbinguni Mwamposa akizungumzia picha yake ya zamani inayozunguka kwenye...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Me nilikuwa na wazo kuhusu pass mark kwa vyuo vikuu Kwa mfano pass mark ya SUA ni 50+ambayo ni 40-49D 50-59 ni C 60-64 B 65-69B+ 70-100A Hii inawapa wakati mgumu vijana kwenye ajira Kwa mfano...
15 Reactions
77 Replies
3K Views
Daaah, Inakata stimu kwa kweli. Yaani hata mama sijamrushia muamala. Yaani hata kuhemea bado napotezea ili mshahara upoe kwanza. Yaani hata hela haijampumzika kwenye akaunti. Yaani hata mwenyewe...
33 Reactions
65 Replies
5K Views
Habari zenu,ningependa kuuliza je, admission capacity za vyuo zinakuwa ni zilezile ambazo wana andika TCU guidelinebook au zina weza kuzidi au kupungua,naombeni afafanuzi🙏🙏
2 Reactions
2 Replies
397 Views
Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'. Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe. #selfie_Idumu#
13 Reactions
43 Replies
2K Views
Moshi. Wakati Shwaibu Jumanne akitafakari jinsi ya kuanza tena maisha uraiani, mambo mawili bado yanamtesa baada ya kukaa mahabusu kwa miaka mitano. Jumanne, maarufu kwa jina la Mredii, ndiye...
28 Reactions
310 Replies
45K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza amefanya Ziara ya Kata kwa Kata huku akipokelewa kwa shangwe na wananchi wa Kata ya Shiwinga iliyopo Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe...
1 Reactions
3 Replies
231 Views
Kwenye maisha ya duniani kuna watu wamesoma sana hadi kuwa maprofesa ,Cha ajabu katika maisha ya uraiani au kwenye jamii huwezi kuamini kwamba mtu huyu kasoma kweli?!Kwa maneno yake,vitendo vyake...
2 Reactions
3 Replies
218 Views
Wakuu amani ya Mungu iwe nanyi. Kumekua na taharuki kwa wakazi wa Temeke, Tandika, Mbagala na Vikindu kwa ujumla wake. Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku...
12 Reactions
113 Replies
5K Views
Niende kwenye hoja. Nimekuwa busy kusubiri daraja jipya wiki 2 saaa. Kila saa naangalia Mfumo. Nilipanda mwaka 2021, Juni tarehe 1, kutoka E kwenda F. Sasa nasubiri kwa hamu...sasa zaidi...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Sasa hizi ni kawaida kwa matukio kuchukuliwa na vifaa mbalimbali ikiwamo Simu. Kibaya zaidi hata uongee mazuri kiasi gani watu watatoka na baya moja tu. Umakini unahitajika katika kipindi hiki...
1 Reactions
0 Replies
140 Views
Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Viongozi hawa ni vikwazo kwa maendeleo ya nchi kutokana na kutowajibika inavyotakiwa. Kwanza hawana ubunifu wakisubiri kila kitu wapewe msaada. Hawajiamini wao wenyewe kila kitu wanasubiri...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Basi jitahidini mkijua kuwa fulani mnaenda kuwala Vichwa ( Kuwatumbua ) muwe mnawaambia kabla ili wawe wanajiandaa Kisaikolojia pamoja na Familia zao halafu na hata wasiwe wanapoteza muda Wao...
4 Reactions
3 Replies
329 Views
Kwa wale ambao Dar ni kwao nadhani watakuwa wanapajua migomigo me napasikiaga tu katika nyimbo za wasanii ila sijawahi kupajua naishia kuhisi labda ni maeneo ya Magomeni. Na sehemu nyingine...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Mwaka 2018 hadi 2019 tulikuwa na kampuni, by share mimi nikiwa na share ya 40% wengine wawili 30% Picha linaanzia Bukoba mwaka 2019 mwezi February nilimfungulia wife biashara sokoni ya kuuza...
4 Reactions
3 Replies
847 Views
Back
Top Bottom