Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid Mwanga (watatu kulia) akipokea sehemu ya msaada wa magodoro, viti na meza kutoka kwa Meneja wa Benki Uhusiano wa Benki ya CRDB Kanda ya Nyada za Juu Kusini, Pascalia...
Wakuu, nawezaje kuangalia Balance yangu ya NMB bank kupitia Internet ambapo siwezi kukatwa kiasi chochote cha hela?
NOTE: Sihitaji NMB App maana naona inasumbua sana.
Habari ndugu zangu,
Natafuta soko la mbegu za ubuyu, kila baada ya cku 3 nakusanya gunia, hivyo wote wenye kazi nazo km kuchanganyia kwnye chakula cha kuku,nguruwe n.k.
Naomba ni pm tuyajenge...
Habari Wakuu, kwa wenye uzoefu au wanaojua chochote kuhusu hii mikopo inayotolewa na Ofsi ya waziri mkuu, kazi, vijana Ajira na watu wenye ulemavu. Atutoe kimasomaso hapa kuwa je ilistishwa au...
Wasalaam wana-JF,
Kama kichwa cha uzi hapo ''kuna uwezekano mkubwa sana jamii zilizopata elimu ya mzungu huku Africa haswa Tanzania hazina maarifa ya asili''.
Nimejaribu kusoma maendeleo ya...
Hawa mawakala wanaoingia mkataba na Halmashauri za Wilaya kukusanya mapato wanawapunja sana hizi Halmashauri na Halmashauri zinatakiwa zijitathmini sana.
Nitoe mfano ulio hai hapa Mwanza...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amekwepa kujibu swali kuhusu nani aliyehusika katika madai ya utekaji wa Edgar Mwakabela, maarufu Sativa.
Bomboka alikwepa swali hilo akiwa katika...
Moja ya mambo mabaya unaweza kuchukiwa na waswahili sio Mali wala pesa Ila AKILI.
Bora MTU ajue umemzidi mambo mengine Ila sio AKILI
Maana MTU akijua umemzidi AKILI iwe kazini katika familia...
Malaika aitwaye Makerubi alikuwa na kazi ya kumsifu Mungu Mbinguni, sifa kubwa ya malaika hawa huwa na mbawa sita ambazo mbili zina uwezo wa kumfunika mwili mzima.
Kwa nini Mungu aliwaumba? Mungu...
1.ARUSHA
Hili ni jiji kubwa la kitalii hapa nchini na ndiyo makao makuu ya jumuiya ya afrika mashariki....pia mashindano ya AFCON yatafanyika huku.
2.KAHAMA
Mji mkubwa kwa biashara za madini hapa...
Dunia hii imeumbwa Na kufumbwa kwa siri mbalimbali. Kamwe huwezi kufanikiwa kama bado hujajitafuta na kujipata. Kujipata ndio kugundua siri za kukwama kwako na kuweza kujinasua na kusonga mbele...
KITUO CHA MABASI MWENGE
Kipo chini ya manispaa ya Kinondoni
Ujenzi ulianza 1/7/2019 mpaka 30/11/2023
Ufadhili:fedha za ndani
Kitahudumuia : Daladala 100 na Bajaji 60 kwa wakati mmoja.
Gharama ya...
Katika kutekeleza adhima ya Mhe Rais Samia Suluh Hassan ambaye ni kiongozi wa machifu nchini Chifu 'Hangaya' ya kuuhuisha kuendeleza tamaduni za kichifu nchini, Hatimaye Chifu wa kabila la...
Amani iwe juu yenu nyote.
Mwalimu wa Nchi hii nadhani ametengenezewa UMASKINI kuanzia anaajiliwa mpaka anastafu. Kwanza ni watu wanaotoka kaya Maskini bado akiajiliwa anaishi kwenye umaskini...
Tunawaomba sana Viongozi wetu wa dini kwa imani zote wakemee vitendo vya kishirikina na ramli chonganishi vinavyo chagizwa zaidi na Wanasiasa wenye uchu wa kutafuta nafasi za teuzi, wasaka...
Kila wakati huwa ninajiaminisha kuwa umma mkubwa wa watanzania hawako informed kabisa, yaani wako kwenye gizo totor kuhusu mambo ya nchi yanayogusa maisha yao. Hii inakuwa reflected na idadi ya...
Masaa machache yaliyopita, nimeona baadhi ya mawaziri waandamizi na wakurugenzi wakitenguliwa nafasi zao.
Swali langu: Je, viongozi wa umma nao huwa wanalipwa fao la kukosa ajira kwa kipindi cha...
Baada ya SGR ya Tanzania kuanza safari zake kuanzia Dar mpaka Morogoro, licha ya ubora wa treni zetu, reli na vituo.
Wadau kadhaa wamelalamikia mapungufu kadhaa, wengi wakilalamikia mfumo mbaya...
Huyo mtoto ameokotwa Mozambique (Msumbiji) akiwa na Mmalawi anapiga kelele kwamba huyo mtu aliyemchukua hamfahamu. Mtoto anaongea kiswahili pure na anasema kwao Mbeya but haijulikani ni Mbeya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.