Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wenzetu Malawi wameshaanza kutumia huduma ya starlink toka mwezi July sisi Tanzania tunasubiri nini au waziri wa mawasiliano anakazia ni nini hasa?
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Hili Swali langu hapa nawauliza hawa Marafiki zangu akina Arovera, Bila bila, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume Oky?
5 Reactions
14 Replies
698 Views
Habarini wanajamvi. Leo nakuja na kisa hiki cha ukweli ambacho mdau anakipitia anaomba ushauri. Nina jamaa yangu ni mtu fresh sana hanaga makuu kabisa na mtu kwa navyomfahamu mimi. Sasa juzi...
9 Reactions
79 Replies
4K Views
Baada ya kwenda South kwa nyakati mbili tofauti na kutembea maeneo mbalimbali tofaut, kwa ufupi nimezurura na maeneo mengi nayajua vizuri. Kuna vitu vingi sana sisi Watanzania tuna tofautiana na...
38 Reactions
99 Replies
9K Views
Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo; 1. Ada za maegesho zingeboreshwa mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1. 2...
6 Reactions
72 Replies
22K Views
Karibuni wale waliosoma miaka hii Kilimanjaro 1.Kilimanjaro boys 2.umbwe 3.kibohee 4.Weruweru 5.Ashira Girls 6.Mau semiray. 7.Uru seminary 8.Sant James Seminary 10.old moshi 11.Kibosho...
13 Reactions
360 Replies
43K Views
Mwaka 1985 hapa wilayani Kahama kulikuwa na Ukumbi maarufu wa Serikali ulikuwa Nyihogo ulikuwa unaitwa "WELFAIR" (OLOFEA) kwasasa ndio ilipo Halmashauri ya mji wa Kahama. Mwaka 1985 nikiwa na...
8 Reactions
101 Replies
9K Views
Kwa sehemu kubwa hisia tunaweza kuzielezea kama kiashiria kinachokutahadharisha au kutupa msukumo juu ya jambo fulani. Hisia zinaweza kukuepusha na majanga lakini pia zinaweza kukupeleka katika...
2 Reactions
4 Replies
403 Views
Habari Wadau, Dar es salaam ni jiji linalopanuka kwa kasi sana. Wakazi wengi wanakaa pembezoni lakini kila siku wanaelekea katikati jijini kwa shughuli mbalimbali. Nimekuwa nikipendekeza route...
5 Reactions
12 Replies
926 Views
Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, na Senior MCC Members in AZT nao wataweza Kumkataa Mtu 2025? Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa...
2 Reactions
4 Replies
346 Views
Habarini ndugu zangu, Kwa masikitiko makubwa naomba kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa huduma za afya nchini kwetu hasa kwa wagonjwa waliolazwa ambao hali zao sio nzuri. Ni wiki sasa nimempoteza...
9 Reactions
13 Replies
578 Views
Rais Kikwete amemteua Dr Grace Pujah na Bw Innocent Seba kuwa wabunge wapya katika bunge la Muungano kuanzia tar 20 Machi. Kufuatia uteuzi huo, sasa JK amemaliza orodha wa wabunge wote kumi wa...
12 Reactions
306 Replies
58K Views
Wakuu, Kuna kautafiti kadogo nafanya kuhusiana na matumizi ya maji ya kisima yenye chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani. Ningependa kujua madhara, kama yapo ya maji hayo katika vipengele...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Naomba ufafanuzi kwa anayejua masuala haya,jana kulitokea msuguano kati yangu na WIFE ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi na mimi ni mfanya biashara,anadai kuwa mpaka kustaafu kwake atalipwa...
2 Reactions
49 Replies
11K Views
Hayaa sasa anaye bisha aje na yake anayoona inaizidi bodaboda tumuone.Na ukiwekeza kwenye boda boda ujue unakula faida nyingi sanaa . Shtuka
2 Reactions
7 Replies
400 Views
Habari wanajamvi. Nina ndugu yangu ni Mkenya. Kutokana na biashara zake alipenda kua na uraia wa Tanzania pia (bila kuukana uraia wake wa Kenya), yaani dual-citzenship. Kaniuliza mimi...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Baada ya malalamiko ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai Wananchi wa Mtaa wa Muheza na Tankini, Kibaha-Maili Moja Mkoani Pwani hawana huduma ya maji kwa muda wa wiki moja, Mamlaka imeto...
0 Reactions
1 Replies
445 Views
Niliandika barua nikiwa Mahabusu 2018 Butimba gerezani ya kumuomba Rais wa Tanzania wakati huo John Magufuli ambaye sasa Yuko Motoni mwa milele (Fact spiritually). Nikimuelezea chanzo Cha Serikali...
19 Reactions
77 Replies
6K Views
Habari ya wakati huu. Wakuu mimi sio muandoshi mzuri ila kuna jambo nimeliona kule mtandao wa X kutoka kwenye akaunti fulani akizungumzia habari za matrix na mambo kadhaa ya ulimwengu kwa mifano...
3 Reactions
46 Replies
1K Views
Ulipoongea suala la nchi kupigwa mnada, kuuzwa vipande yawezekana nilikudharau, nilikukejeli, nilikutukana, nilikuona huyu ni masalia ya Jeshi la mtu mmoja JJPM. Siku unadharaulika mbele ya...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom