Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Niko ziara ya kikaz mkoa wa arusha na nikatembele arusha Dc ndipo nikabaini upigaji wa kutisha kwenye mradi mmoja wa ufwetuaji wa tofauli za bloku Kwanz nimebaini kuwa waliuziwa mtambo kwa bei ya...
2 Reactions
2 Replies
267 Views
Wakuu maisha ni kushare love. Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo. Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta...
17 Reactions
118 Replies
11K Views
Soma Sehemu ya Kwanza hapa: Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Kwanza) Nini kifanyike: Umeme wa upepo ni moja kati ya vyanzo anuwai vya nishati mbadala vilivyopo, na ambavyo...
4 Reactions
7 Replies
640 Views
Nilifika nchi ya uturuki kimatembezi mwaka 2009 ndio nikajiuliza kwa nini hawa masheik kwa jina wanazuoni ni matajiri sana ukilinganisha na afrika wengi ni njaa, husda na malalamiko. Kwanza mtu...
3 Reactions
11 Replies
387 Views
Mr. Abass katoka America karudi Burundi Nyumbani Kuoa ila arejee USA na Mke wake Kafunga Ndoa Salama Siku ya Ijumaa, Jana jumamosi wakiwa safarini na Mke wake wakielekea Bujumbura ili Leo...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Habari zenu wadau Naomba Msaada wa ushauri au maoni kuhusu jambo hili. Ikiwa umenunua kiwanja maeneo ya kando ya mji, ukajenga nyumba na eneo lingine likabaki, majirani walipoanza kuongezeka...
2 Reactions
28 Replies
541 Views
LILE sakata la msichana Morine Amatus (22), anayetajwa kuwa ni mtoto wa Amatus Liyumba, aliyekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Lindi, akiwa na wenzake watatu, wakidaiwa kukutwa na madawa ya...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
👉ALLAH Akujalie Kheri Katika Dunia na Akhera 👉ALLAH Akuifadhi Katika Kila Hatua 👉 ALLAH Akusitiri Katika Aibu Zako 👉 ALLÀH Akupe Wepesi Katika Maisha Ya Dunia 👉 ALLAH Akurudhuku Moyo wa Ukarimu...
5 Reactions
7 Replies
279 Views
Habari zenu ndugu zangu, Lengo la kuleta malalamiko yangu ni kuonya wapangaji vilaza. Kuhusu wapangaji wanao shindana kufua sijui mnavaa Nini maana daily kufua afu bill tunalipa wote sawa.
11 Reactions
65 Replies
2K Views
Hivi kuna ushahidi wa kisayansi unao fanya watu masikini kua na uzalendo na mapenzi ya nchi yao kuliko matajiri wenye uwezo wa pesa? ni kawaida kuona masikini hapa jf wakiwa wakereketwa wa mali...
3 Reactions
14 Replies
283 Views
Nimekaa sana Kigamboni na nimetembea sehem nyingi, sehemu kubwa ya Kigamboni ni mapori tuu, miundombinu mibovu sana, barabara za lami ni chache mno, hakujajengeka sijui kwanini watu hawajengi Kwa...
23 Reactions
219 Replies
10K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kisa hiki nimekisia nikiwa sehemu fulani watu wakijadii habari ya Nabii Musa alipokaribia kufa. Kwamba Nabii Mussa alimgomea katakata malaika aliyetumwa kuchukua roho...
3 Reactions
6 Replies
395 Views
Jana jioni kabla ya usingizi nilikuwa natafari kwa kujilaumu na kulalama... Nakuona kuwa maisha ni magumu sana, niliumia zaidi kuona watoto na mke wananitegemea, wazazi pia tena zaidi wanaamini...
11 Reactions
31 Replies
1K Views
Tumefika SHINYANGA, nilichokiona ndio hiki, je ujinyeee au ujikojolee maana wengine tuna nauli tu. Sera za Tanzania zifanyiwe maboresho kwa upuuzi huu. Don Nalimison.
2 Reactions
26 Replies
3K Views
*LETS NOMINATE, THE YEAR IS ABOUT TO END [emoji310][emoji310][emoji310]* 1.Best Member 2.Most Active 3.Funniest Member 4.Best Admin 5.Laziest Member 6.Sweetest Member 7.Best Advisor 8.Most...
46 Reactions
463 Replies
29K Views
Mtu mmoja ameuawa huku wengine zaidi ya 10 wakijeruhiwa baada ya mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel kushindwa kutungua shambulio la ndege isiyo na rubani (droni) lililofanywa na jeshi la Yemen...
1 Reactions
11 Replies
696 Views
Wengi wao wanaotamani utawala kama wa mwendazake urudi tena kwa mara nyingine ni wale waliokuwa wamebatizwa jina la "wanyonge"😀😀😀 Na hawa wengi wao wanawachukia sana matajiri, hutamani kuona...
7 Reactions
10 Replies
244 Views
Kuna huu Ufukwe mkubwa zaidi barani Afrika wa 'Man-made unaitwa Munyaka Estate crystal lagoon umefunguliwa Johannesburg, ni mkubwa mara 7 ya uwanja wa mpira na ni ufukwe wa 3 wa Afrika Kusini...
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Unakuta mtu ni mwanaume kabisa lakini ni muoga balaa..jirani yangu kaingia nyoka ndani kwake kagoma kuingia kaniiita,mke wake kajisikia aibu sana. Unakuta mtu anaogopa kuangalia graphic videos...
12 Reactions
92 Replies
3K Views
Kwenye mada moja kwa moja. Nikiwa form 4 nilikuwa na target zangu za kufaulu ili tu nikasome azania. Katika masomo yangu nilikuwa nasoma masomo matano tu yale ambayo ni bookkeeping,commerce...
2 Reactions
6 Replies
321 Views
Back
Top Bottom