Mwili Ni zawadi ambayo tunayo katika kuhakikisha zile nishati zetu zinatekeleza kazi au majukumu yake katika Hali ya ufizikia.
Lakini pia huu mwili ukiangalia kwa jicho lingine unaweza kuona Kama...
Watoto wa Kitanzania wanafundishwa na walimu wenye msongo mwingi wa mawazo kwa kufanya kazi huku wakiwaza future ya maisha yao.
Watoto hawawezi kuja kuwa wazalendo nchi hii kwa sababu, walimu...
Habari wakuu,
Naomba ushauri mimi ni mwalimu idara ya elimu msingi nimekuwa kazini kwa kipindi cha miaka 10 sasa. Nataka kutafuta Channel zingine za maisha nikiwa na maana ya kuresign mwenyewe...
Naomba kufahamu kuhusu mshahara wa mtu aliyeajiriwa kama Polisi ila mwenye taaluma ya fani ya uhandisi( engineer). Je watu hawa wanalipwa shilingi ngapi?
Na mpangilio wa posho umekaaje?
Anayejua...
Wadau hamjamboni nyote?
Naomba kuuliza kwanini Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani Lina Makamu wa Rais 7 badala ya 1 kama taasisi nyingine za kidini Duniani?
Yaaniii kwa mfumo wao wanaye Rais...
KUWASHWA KWA KIGANJA CHA MKONO NA KUCHEZA KWA JICHO KUNAKUPA TAARIFA ITAKAYOTOKEA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nafsi yako inañamna mbalimbali za kuwasiliana na wewe(mwili wa nje) Kwa namna...
Naomba kujuzwa!
Japo sivutiwi na mwonekano wa nje wa gari tajwa, linaonekana lina upekee usio wa kawaida. Bei yake ipo juu sana.
Ningekuwa na ndugu au rafiki mwenye nalo, ningeomba alau lifti...
Shirika la reli nchini, Tanzania Railways Corp limefanya kweli kwa kutoa ratiba ya safari za treni Dar-Dom zitakazoanza Julai 25 na sasa kwa treni ya mwendokasi utaweza kusafiri kwa masaa 3.25...
Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark.
Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana...
Wasalaam wana JF
Katika pitapita zangu za kimaisha jambo kubwa ambalo nimelishuhudia, nimesimuliwa na kupata uzoefu kutoka kwenye forum mbali mbali pamoja na JF, ni kwamba wanawake wengi ni...
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), leo Julai 20, 2024 kimeendesha mdahalo wa wagombea urais wa chama hicho pamoja na wagombea wa Chama cha Mawakili Vijana (TYL).
Katika mdahalo huo ambao...
HONGERA WILAYA YA LUDEWA- KINARA AJENDA YA LISHE MKOANI NJOMBE
Ajenda ya Lishe imetekelezwa vema kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 na Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa kwa kutenga 40,280,000.00 kwa...
Wakuu, leo nilikua nimelala chini ndan chumbani. Kushtuka naona nyoka mdogo karibu na kichwa changu ikabidi nimuue.
Lakin pia kijana ashawai ua nyoka kama wawili mlangoni mwingine upenuni...
Asalaam aleykum jamiyah,
Nalazimika kuuliza na kuhoji inakuwaje mkandarasi anashindwa kutoa ushauri makini, juu ya ujenzi wa bara bara, unaorudiwa mara kwa mara na kupoteza fedha za umma kila...
Jana usiku wakati naongea na moja ya ndugu zangu anaishi kisemvule kwa pembe au wanaita kisemvule mpera.
Tumeongea mengi pamoja na salamu za hapa na pale akanisimulia kuwa huku baba hali...
Programu kama Nero Burner na Ashampoo Burning zilitumiwa sana nyakati za zamani kwa kuchoma CD na DVD, kujenga na kuhariri video na muziki. Windows Media Player na JetAudio pia zilikuwa maarufu...
Jamani sisi watu wa Mwanza wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa na vitongoji vyake vya Sahwa, Bulale nk. maji ni pasua kichwa. Hakuna Maji na hata yakitoka ni mara moja kwa week ama mara tano kwa...
75% ya graduate wote wa tangu 2015+ wapo mtaani no ajira vijana wanamachungu sana
Tatantarira za CCM zinakua nyingi huku wakirundika vijana mtaani bila kazi. Zaidi watu milion moja wanaingia...
Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri.
Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi...
Toa mifano kutoka katika moja ya nchi zifuatazo:
1. Iran
2. Vatican
3. Saudi Arabia
4. Marekani
5. Oman
6. Uingereza
7. Zanzibar
8. Tanganyika
9. Misri
10. Nigeria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.