Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Baada ya mafanikio makubwa ya Tanzania the royal tour kuwamimina Watalii Tanznaia Sasa Rais Samia akishirikiana na Rais wa Zanzibar Mwinyi wanatarajia Kuzindua Filamu Mpya ya Amazing Tanzania...
1 Reactions
15 Replies
765 Views
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema Mamlaka hiyo itawachukulia hatua bila kumpendelea wala kumuonea yeyote atakayehusika kukwepa kodi au kwa Afisa...
1 Reactions
9 Replies
962 Views
Kumekuwa na Mwingiliano Mkubwa kiasi kwamba hatuelewi kinachoendelea. Nani ni kiongozi wao? Ofisi za Bongo movie ziko wapi? Nani anahusika kuchagua waigizaji kunapotokea fursa na wanaangalia...
1 Reactions
1 Replies
190 Views
Wasalaam waungwana, Naomba niwajuze kama ulikua hujui, zifatazo ni nchi zilizobadili majina. 1. Burma kuwa Myanmar Nchi ilibadilisha rasmi jina lake kutoka Burma hadi Myanmar mwaka 1989. 2...
7 Reactions
61 Replies
2K Views
1. Epuka Mke au Mume wa mtu 2. Epuka Dhuruma 3. Epuka Wanafunzi Je, una lipi la kutukumbusha? Muwe na weekend njema
2 Reactions
23 Replies
571 Views
Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Habar , naomba mshana jr uonapo uzi huu ni dm plz plz
3 Reactions
8 Replies
561 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kwanza mimi sio muandishi mzuri, mtanisamehe kwa uandishi wangu. Tatizo lipo mwezi uliopita nilichukua mkopo kwenye Benki ya NMB kutokana na...
3 Reactions
19 Replies
946 Views
Serikali imejiandaa vipi dhidi ya wahujumu uchumi na mali za shirika la reli Tanzania? Kama tunavyojua treni zinaweza kuwa mbadala mkubwa wa mabasi ya mikoani DAR TO MORO na wamiliki wa mabasi...
1 Reactions
5 Replies
211 Views
MAELEZO YA FUMBAKASA NA MWASI KWA NCHI YA ROBASASTA AU KONGO KWA LEO FUMBAKASA alitambulika kua mtu wa kwanza hapa duniani akiwa na urefu wa km4 na upana wa kifua chake ni mita mia3, akiwa na...
10 Reactions
71 Replies
2K Views
Miaka zaidi ya 10 huko nilipohitimu chuo, nilikuwa nafahamiana na jamaa fulani muwest ambaye nilikuwa namuuziaga computer maana wakati nasoma chuo nilikuwa nanunua computer huko Kkoo na kuuza chuo...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau ni mara kadhaa napita hapo daraja jipya la Kurasini ambalo chini inapita treni. Sasa mara kwa mara wakati wa foleni tunaposimama nikiwa ndani gari juu ya daraja hilo nahisi kama linacheza...
10 Reactions
22 Replies
1K Views
Hapo vip! Kuna jamaa mmoja alikuwa ameajiriwa na serikali kitengo fulani. Ila wakamfukuza kazi kwa tatizo la utoro ila hapa anasema wahuni wamemtengenezea sengwe kisa katoka masomoni akiwa na...
5 Reactions
10 Replies
589 Views
Habari za asubuhi Waheshimiwa viongozi wangu. Nimefarijika kuona taarifa mpya kutoka serikalini kuhusiana na "digital marketing". Ushauri wangu kwenu na kwa walengwa wengine katika sekta ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari. Mimi ni mtumiaji mzuri wa mabus ya masafa marefu kuelekea Mbeya. Hapo awali nilikuwa naishi Moshi na Arusha . Kwa kweli usafir wa kutoka Kaskazin kwenda Mbeya ulikuwa wa tabu tupu...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Tangu jana mfumo haurudishi CONTROL NAMBER na hivyo Applicant hawezi kuendelea na Application Process. Wahusika hawajali.
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Haiingii akilini kuwa serikali impe mtu kibali cha kukopesha wananchi wake ambapo malipo yanapaswa kufanyika ndani ya siku 5, 6 au 7 tu yakiwa na riba ya 35%. Kama serikali imekubali kazi za...
2 Reactions
20 Replies
891 Views
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Water.Org, Eng. Francis Musinguzi kwa pamoja wakionesha mikataba ya ushirikiano mara baada...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo ilipelekea tatizo la internet ================= Umekuwa ukipata shida ya mtandao kwenye hizi siku mbili-tatu ndani ya hii weekend...
44 Reactions
66 Replies
6K Views
Kwa watazamaji wa upendo tv naomba kumfahamu huyu kijana anaetangazaga kipindi kinaitwa edeni
1 Reactions
4 Replies
415 Views
Back
Top Bottom