Wakuu mm huwa ni mdau ya maswala ya ujenzi na pia ni mshauri wa Mambo ya umeme wa majumbani na mabomba pia.
Sasa ktk mwezi huu wa tatu Toka uanze bei ya vifaa muhimu vya ujenzi inaporomoka Bei...
Habari wana JF nimekutana na andiko hili la Adeladius Makwega wa DODOMA. Nafikiri kuna jambo la kujifunza hapa.
Warangi ni kabila la kibantu linalopatikana katika mikoa ya katikati ya Tanzania...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
Kinachowafanya msilipe pesa kwa watu kwa wakati ni nini? Pesa unakuta zipo lakini mtu hatoi makusudu.
Ofisi muda wote imefungwa basi mnakaa nje ya ofisi yake muda wote kumsubiri yeye tu.
Anakuja...
Mtoto wa miaka minne jinsi ya kiume amekutwa ametekelezwa nyuma ya nyumba kwenye makazi ya watu Kisasa majumba 300 baada ya kukatwa mkono wa kulia na sehemu za siri na watu wasiojulikana na...
Wabongo wengi wanaamini katika kurogwa na majini. Wameaminishwa chooni Kuna majini, bafuni kuwa Kuna uwezekano wa kurogwa na kuteleza wakafa au kupooza.
Kwa sababu hiyo wengi wametekwa na majini...
Naona kuna utitiri wa Viwanda vipya vinajegwa sana eneo la Mlandizi -Kibaha, maeneo mengi yamenunuliwa kiasi kwamba ukitaka kununua wewe mtu wa kawaida utaambiwa pale pashachukuliwa na fulani...
Habarini ndugu wadau wa Jamii Forums,
Najitokeza kwenu ili niweze kupata msaada wa kupata bank statement kwa ajili ya kuombea visa ili niende shule USA.
Binafsi nina kiasi cha milioni 40 ambacho...
Kama kuna mwiko (miko) ya kusongea ugali ambayo ni imported au ya chuma au madini yoyote aniambie. Mi sijawahi iona. Kwa hili tunaweza sana.
Miko yote ni miti na inatengenezwa hapahapa. From the...
Anaandika Mwamba wa Kaskazini
Nimemsikia Lau Masha anayejitambulisha kama mmiliki wa Fastjet akilalama kuhusu shirika lake na baadhi ya wapokea mambo bila kutafakari wakiungana naye tena kwa...
📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣
HASARA ZA KUPIGA PUNYETO KIROHO
🗣️Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo...
Ikunda Erick 29/10/2019
Ile adha ya mafuriko katika mto Msimbazi jijini Dar es Salaam, inayosababisha Daraja la Jangwani kufunikwa na maji, imepatiwa ufumbuzi. Wakati wowote kuanzia sasa, daraja...
Nafahamu alizaliwa Macca akakuzwa na wazazi wake akasoma na kuishi kama wanadamu wengine mpaka umauti ulipomfika akazikwa kama nabii na mtume.
Amekuwa mtu maarufu sana tangu mtoto kwa nini...
Is China in the midst of a sperm crisis? New statistics strengthen a growing belief that Chinese men are joining the developed world in producing less sperm in their semen, a trend that raises...
Mfano wewe unauza nyumba yako kwa milioni 10 umezunguka kutafta wateja mwaka mzima umekosa
Ukaamua kutafta dalali ukampa Kazi ya kuuza
Jioni ya siku hiyo anakuja na mteja na anainunua hiyo...
Wakuu,
Tunategemea mambe mengi toka kwa Wazungu, leo mifumo ya Microsoft imesumbua mambo mengi yamesimama, wote wanaotumia products za Microsoft wametikiswa na suala hili, swali ni je, sisi...
Wakuu,
Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani
We mpe...
Wanabodi naomba tujiulize na kujadili bila ushabiki wa kivyama. Hivi ni nini hasa kinachofanyika Kenya ambacho hakifanyiki Tanzania kiasi cha kuwafanya vijana wetu kuona tuko sawa wala hatuhitaji...
Baada ya Wapangaji wa Shirika la Nyumba zilizopo karibu na Manispaa ya Morogoro tunalalamika baa maarufu ya Ellis iliyopo karibu na Ofisi za Manispaa ya Morogoro, kuwa inapiga kupiga mziki mkubwa...
Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 wa Goba Kulangwa amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.