Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
kuna mabasi kutoka DAR kwenda NAMPULA?
0 Reactions
4 Replies
269 Views
Ndugu zangu mimi sina elimu sana ila nije kwenye swali, Kwanini mtume wa Waislamu kajificha wakati huyoo Muhammad alizaliwa juzi amewakuta akina Pilato, Julias Caesar, Cleopra, Firauni, Musa...
12 Reactions
85 Replies
2K Views
Mungu mwenye nguvu zote unaeona yote ukatende jambo juu ya ukatili huu watoto wanauwawa na kunyofolewa viungo lakini vyombo vya usalama vinashindwa kubaini watuhumiwa isipokuwa tu Kwa mtoto asimwe...
2 Reactions
0 Replies
207 Views
Wazungu pamoja na kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwasababu ya rangi ya ngozi yao! Sasa hivi waangalie walivyojichora "tattoo" na miili yao kuwa myeusi kama mkaa! Ebu tupia hapa picha...
1 Reactions
43 Replies
1K Views
Asalam alyekum wakuu. Eti Kwa mfano umeachana na mchumba wako (kwa sababu yoyote ile) uliyekuwa unaishi naye na akaondoka akaenda mbali huko je kama utaendelea kuishi nyumba ile ile na ukapata...
6 Reactions
56 Replies
1K Views
Binafsi sioni kama Dar es Salaam ni jiji la kitalii! Nilijaribu ku- search kupitia Google " Je, Dar es Salaam ni salama kwa watalii?" Majibu yakaja " Kuwa mwangalifu kwa mazingira yako na...
4 Reactions
12 Replies
933 Views
Wadau huko njema hapa?? Hivi Moshi wapi kuna chimbo naweza pata pisi za viwango? Kama wanachuo .
9 Reactions
55 Replies
7K Views
Kuna habari nimeiona Mwananchi inasema kuwa Stendi ya mbeya mjini ina vyoo vichafu pro max na kutokana na wingi wa watu na vyoo vibovu inabidi wengine wajisaidie kwenye ndoo ili kuepuka kuachwa na...
3 Reactions
18 Replies
474 Views
Ukifanya utafiti mdogo kwenye maeneo ya miradi ya ujenzi wa barabara nchini utabaini kuwa, katika kipindi hiki wakandarasi wengi wamepunguza kasi ya ujenzi, wanasubiria mvua za vuli na mvua za...
3 Reactions
13 Replies
501 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ujenzi wa Kampasi za Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya katika Mkoa wa Rukwa ni moja ya mradi unaojengwa chini ya Mradi wa...
0 Reactions
7 Replies
520 Views
Makosa Unayofanya Unapotengeneza Neno la siri: Kutumia Jina lako au Tarehe yako ya kuzaliwa Kutumia Neno la Siri moja kwa akaunti zako zote Kutumia herufi peke yake KUMBUKA Unapounda neno la...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Leonor, Princess of Asturias ni binti wa kwanza wa Mfalme wa Hispania, Felipe VI na Malkia Letizia. Alizaliwa Oktoba 31 mwaka 2005 kwa sasa ana umri wa miaka 18. Amehitimu chuo na mafunzo...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi wenzangu mabibi na mabwana natumai mu wazima. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kufahamu Kuna siri gani imejificha kwenye mwenge. Wiki iliyopita kulikuwa na shamra...
0 Reactions
8 Replies
657 Views
Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope iliyopo Wilayani Ludewa mkoani Njombe, imefikia makubaliano na Serikali ya kukabidhi miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme kwa Shirika la Umeme...
1 Reactions
0 Replies
274 Views
Kumekuwa na kawaida ya Taasisi mbalimbali za umma na Binafsi wakati wa maadhimisho fulani ndio huchakarika kwelikweli lakini yakiisha ndio basi. Tunawakumbusha kuendelea kuwa wakarimu na kutoa...
0 Reactions
3 Replies
140 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania inawakumbusha walipakodi kuwasilisha ritani za VAT na malipo za mwezi Juni,2024 kabla au mnamo tarehe 22 Julai,2024.
1 Reactions
0 Replies
200 Views
Ofisi za walimu wakuu shule za Msingi za Umma ni Changamoto kubwa. Tunaomba serikali iwafikirie hata kidogo ofisi zao ziwe na hadhi basi. Ili mtu afurahie kazi yake basi mazingira yanapaswa...
3 Reactions
12 Replies
518 Views
Mkuu wa dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Hadja Mfinaga amewaomba wazazi wilayani humo kutowaficha watoto wenye mahitaji maalum na badala...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Muhimu naomba jina liwe fupi, lisizidi herufi nane (8) kuna simulizi naiandika nimekwama kwenye majina ya koo maarufu za wasukuma na wahaya, nimekutana na majina mengi sana, natafuta jina za koo...
2 Reactions
21 Replies
927 Views
Back
Top Bottom