Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mjadala unaofanyika kwenye Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024: https://www.youtube.com/watch?v=flJ-sm9Ke0A MDAU: KUNA UTAMADUNI WA TRA KUTOA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna matatizo ya kimtandao yametokea benki karibu zote duniani. Nimeenda benki tangia asubuhi huduma hakuna Vip na wewe umekutana na tatizo hili?
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Inaelezwa kuwa zamani baadhi ya Viongozi walikua wazalendo kiasi kwamba walijitahidi kwa uwezo wao wote kuhakikisha Kuwa Tanzania inakuwa imara. Sasa hivi wengi wao wana sura mbili akiwa mbele za...
1 Reactions
0 Replies
140 Views
Kuna dogo kapata gar la kufanyia bolt , IST , lakini mwenyewe amekataa kubadilisha plate number Msaada Mawasiliano 0762565051
0 Reactions
0 Replies
330 Views
GENTAMYCINE nahitaji zaidi Critical Analysis zenu juu ya hili kwani nijuavyo Rais wa Marekani pia ni Rais wa Dunia yote.
0 Reactions
2 Replies
211 Views
Lema yuko sahihi 100%. Suala la wadudu ni kama laana kwa Arusha na nchi nzima. Wale wadudu wana future yenye giza tupu. Wengi wao walitakiwa wawe masomoni ila ndo hivyo hakuna mwelekeo wowote...
2 Reactions
0 Replies
311 Views
Nimuombe rais Samia kabla hajatoka mkoa wa Songwe, aitangaze mbozi kuwa kanda maalum. Ndiyo najua mtashangaa, ila kwa matukio ya Mbozi inahitaji jicho la karibu la kiusalama. Vinginevyo mauaji...
1 Reactions
7 Replies
407 Views
Hasa kwa wale wanaonunua magari kwa mara ya kwanza, na hawana uzoefu wa kuendesha gari, na pia wale wote ambao wanaweza wakawa wana uzoefu wa kuendesha gari mijini, lakini hawana uzoefu wa...
428 Reactions
549 Replies
215K Views
Guys, Goodmorning. Naitwa bwana Mbahili , ni mfanyabiashara mkoa mpya kabisa nchini Tanzania. Ninasikitika kutangaza kwamba hakuna mfanyabiashara asiependa kulipa kodi.. Ila kinachotufanya...
4 Reactions
7 Replies
367 Views
Nimekuwa naona kampeni mbalimbali zinazofanywa na taasisi na mashirika binafsi wakitumia mbio za marathon ,mabonanza nk kwa lengo la kuchangisha pesa kusaidia watu wenye shida kubwa hasa Watoto...
0 Reactions
1 Replies
193 Views
Kesho nilikuwa na safari ya moro nikaona niwachek niulize Ratiba zao nikauliza Treni ya kwanza inatoka saa ngapi nikaambiwa ni saa 12 kamili asubuhi, muda wa kuripoti ni saa 11 na kama huna tiketi...
20 Reactions
49 Replies
4K Views
Mheshimiwa Hussein Bashe, natumai na Rais wetu mama Samia Suluhu Hasan na washauri wake wengine utawafikia ujumbe huu. Zao la bangi za aina tofauti tofauti (different varieties of hemp) linastawi...
34 Reactions
119 Replies
3K Views
Baada ya Ethiopia kuonesha nia ya kujiunga na jumuiya hii inayokua kwa wanachana na kupoteza nguvu ya malengo na pamoja ya utulivu wa kisiasa. Viongozi wa jumuiya wamesema watazishawishi nchi...
2 Reactions
50 Replies
2K Views
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
2 Reactions
3 Replies
443 Views
Hello Jf. Je, kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi) Je, lengo lenu la kufunga lilitimia? Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Bahati mimi huwa siamini katika uwepo wa nadharia ya uchawi ila tu Nina nguvu fulani ya maono kujua tafsiri ya kisaikolojia anayopitia mwotaji na maana ya ndoto yake.. Sasa ukiota unajaribu...
3 Reactions
3 Replies
486 Views
mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena...
7 Reactions
32 Replies
956 Views
Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo...
1 Reactions
2 Replies
263 Views
Umeshawahi kujiuliza nini kitatokea ikiwa mtu atakufa au kikundi cha watu watakufa wakiwa angani labda wako mwezini, mars nk? Ikiwa imebaki mwaka mmoja shirika la Anga za juu nchini marekani NASA...
0 Reactions
2 Replies
569 Views
Habari Baada ya kimya cha muda mrefu leo nimeona si vibaya kuja na uzi unaoeleza kuhusu shughuli ninazo zifanya huku ughaibuni. Nimekuwa muajiriwa wa NASA kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa katika...
24 Reactions
115 Replies
12K Views
Back
Top Bottom