Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya...
2 Reactions
97 Replies
3K Views
Polisi kutoka Afrika Mashariki wanaolinda Amani nchini Haiti wamesifiwa kwa kazi nzuri wanayofanya Wananchi wa Haiti wamesema Amani imerejea na wameishukuru Marekani kwa kuwaletea Ulinzi huo...
3 Reactions
12 Replies
470 Views
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
10 Reactions
86 Replies
5K Views
Leo tuachane na mambo ya kubeti na kamala nyinginezo za mtandaoni zinavyopoteza nguvu kazi kubwa ya taifa na kuifanya iwe tegemezi. Tuuangalie mtandao wa tiktok nao pia unachangia pakubwa...
4 Reactions
8 Replies
293 Views
Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu. Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo...
20 Reactions
164 Replies
13K Views
Hawa UVCCM huyu kijana sijui Abdul ni sample ya takataka tokea kuumbwa vyoo vya kuflash. kuna kitu kimoja anashindwa kujua siasa anayotumia ili mtandao wa twitter ufunge sababu kuminya demokrasia...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Niseme tu kwanza mimi sio mchaga na wala sina unasaba wowote na kabila hilo ila kiukweli nahusudu sana mafanikio ya wanaotoka kabila hili na kuwaomba watuanikie siri ya mafanikio yao. Maana kama...
25 Reactions
149 Replies
5K Views
Hili sio suala la kulipuuzia kabisa kwa sababu asilimia kubwa sana linawahusu hata kama sio leo ni kesho.
1 Reactions
55 Replies
1K Views
TCRA CCC MKISHAURI VIZURI MTAISAIDIA SERIKALI- MHANDISI MAHUNDI Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Dar es Salaam. Serikali imelitaka Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC)...
1 Reactions
1 Replies
207 Views
Hivi ndivyo tunavyoweza kusema kwani serikali imerudia kusema mara kwa mara kupitia waziri wa OR Tamisemi menejimenti ya utumishi wa umma kwamba serikali itawapandisha Madaraja watumishi 81000...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Raia wengi wa Kenya katika mitandao ya kijamii hasa ule wa X wameonekana 'kumgeuka' mgombea wao wa nyumbani Raila Odinga na badala yake sasa wanamuunga mkono January Makamba kuwa Mwenyekiti wa...
1 Reactions
4 Replies
614 Views
Nimeangalia mustakabali wa Taifa letu na tulipo sasa na tunapoelekea nikajikuta nakumbuka mistari ya Coolio.., watu imekuwa ni msemo wa tafuta pesa..., yaani sio toa huduma wala fanya jambo ili...
2 Reactions
4 Replies
293 Views
Salaam,Shalom. Wakati Dunia na mifumo yake ikijitengeneza kuhakikisha Dunia nzima unaungana kupata sarafu Moja, utawala mmoja na siku moja ya Ibada Dunia nzima ( JUMAPILI). Nyikani, Taifa la...
2 Reactions
4 Replies
420 Views
Kuna picha moja inasambaa mitandaoni mtoto anasadikika kutekwa, kukatwa mkonona sehemu za siri huko Dodoma, na picha nyingine ya polisi Mkoa anasema mbwa wamekutwa na mkono wa mtoto. ninyi...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Wanafunzi wa shule ya sekondari mkoani Lindi na Mtwara wakisoma katika miundo mbinu iliyojengwa kupitia programu hii. Awamu ya kwanza imefanikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa vya kisasa 374...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Maswali yamekuwa mengi kuhusu jambo hili, Je, Kanisa liitii serikari au serikari itii kanisa? Je, Kanisa linaweza kuwa upande wa chama fulani? Je, serikali inatakiwa kuwaongoza waumini hata katika...
2 Reactions
23 Replies
622 Views
Jamani habari zenu? Hivi hawa ndugu zetu wanaotoka nje na kuja kwetu wanabaniwa kama wanavyotufanyia sie? Kuna mama ameshasafiri sana kwenda huko, sasa kazini wamempa likizo yeye anataka kwenda...
3 Reactions
93 Replies
22K Views
Anonymous (f7d4)
Wilaya ya Songwe(Mkwajuni) mkoa wa Songwe kuna tatizo la umeme kukatika mara kwa mara bila taarifa kutolewa na wahusika. Je, mgao wa umeme umerudi?
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Sisi Wakazi wa Banana, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam tunakumbana na kero kubwa kwenye andaki (kalavati) ambalo tunalitumia kukatiza kwa chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwenye eneo...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Hii sijui niite ujinga ama ubinasfi au kukosa kabisa maarifa juu ya upendo wa nchi yako au kwa jamii yako kabisa? Kuna hili sakata kwa sasa kwa wageni haswa wachina wamekuwa wengi sana hapa...
3 Reactions
20 Replies
820 Views
Back
Top Bottom