Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana...
Halooooo
Nawasalimu watafutaji wenzangu wa Tanzania na pande zote za dunia.Kama ilivyo ada lengo ni kupeana mbinu za kivita na za kimapambano ambazo zitatusaidia kupata noti za Matajiri wengi wa...
Nimegundua nina Hili tatizo la kugairisha mipango yangu ninayopanga baada ya mda flani.
Yaani naweza nikawa na mipango thabiti kabisa juu ya jambo flani ambalo ukiangalia Kwa mda huo nikilifanya...
Akiwa ni miongoni mwá marubani wachache wanawake, bi Neema Swai
Ndiye rubani wa ndege ya mizigo ya ATCL (Air Tanzania cargo) inayotua nchini leo rubani aliyeleta ndege hiyo Léo, akiwa na uzoefu...
Zanzibar ni nchi ya kiislamu?
===
Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa...
Na; Ahmed Omar
UTANGULIZI
Kwa takriban miaka kumi hivi tokea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964 palikuwa pakifanywa uhalifu mkubwa hapa Zanzibar kwa jina la Mapinduzi hayo. Moja ya eneo maarufu...
Huyu jamaa professionally ni mwongoza watalii (Tour Guide) ambapo hadi leo ndo kazi yake kuu inayomtambulisha. Jina lake halisi ni Kazen, kabila mpare ila kisanii anajulikana zaidi kwa jina la...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikiskia uwekezaji through UTT ila nikawa mzito sana wa kutaka kufahamu ni nini, inafanyaje kazi na faida zake ni zipi.
Mwishoni mwa mwezi April mmojawapo wa mtu...
Na Mwandishi Wetu
TUME ya Ushindani (FCC) imewahakikishia wawekezaji kutoka nje ya nchi wanaokuja nchini Tanzania kuwekeza kwani kuna mazingira salama ya uwekezaji pamoja na kufanyabiashara...
Imeripotiwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuhusu Mtoto aliyechinjwa na Dada wa kazi. Watu wanaishia kulalamika tu bila kutoa suluhisho ya kitu gani kifanyike kupunguza huu ukatili Mkubwa kwa...
Habari wadau
Nilikuwa nauliza nimepanga kutembelea Morogoro na familia ya watu watano, ningependa kufika choma waterfalls. Nakumbuka miaka kadhaa nishawahi kufika kwa pikipiki kutoka pale ofisi ya...
Leo hii watu wa dini wakizisoma habari za Suleiman kwenye vitabu wanadhani labda alikuwa Ni mfalme kweli kweli Tena tajiri lakini ukweli ni kwamba zamani Ni tofauti na sasa hivi.
Nyakati zile mtu...
Habari za jioni wakuu,
Straight to the point, mimi ni mmoja ya watu wanaopenda kutunza vitu kama coins, picha, etc. as souvenirs. Sasa mwaka 2016, BoT ilipotimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake...
Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza...
Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata...
Soka la Tanzania kwa sasa limekuwa sana na ushindani ni mkubwa mnoo ila nashangaa kwanini serekali haioni umuhimu mkubwa wa kuboresha hata vile viwanja ambavyo tunavyo tayari viendane na hadhi ya...
RECHO TEMU AKALIA KUTI KAVU KENYA
Wakati Nchini Kenya Jana ikiwa busy na Vuguvugu la Vijana wa Kisasa maarufu kama Gen Z wakiendelea kupambana na Serikali ya Ruto, huko katika Viunga vya Mahakama...
Siasa sio uadui ni ushindani na hamasa ya kuchochea maendeleo, inashangaza kuona mwanasiasa anazungumza jukwaani mpaka mishipa inataka kupasuka. Siasa ni ushindani wa hoja . Kutumia lugha ya...
Kwa yanayoendelea ni dharau na kejeli kwa mkuu wa nchi hawa wateule wanamdharau sana wanakula hadi wanavimbiwa sasa wanalopokaa vile wanavyojisikia usalama msaidieni mhe. Rais jamani haiwezekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.