Tupeane uzoefu , ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza, inasemekana mazingira unayokutana na mtu huwa yanatoa mustakabali wa penzi lenu na yanaeleza tabia ya mtu, kama ni mtaani...
Habari,
Leo hii nimeshindwa kuvumilia nikaona niandike humu kuhusu gharama kubwa ambazo serikali imeruhusu wananchi tuzilipe kama sehemu ya kukamilisha miamala mbali mbali ya kulipia huduma au...
Sina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.
Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee.
watu wa jamii fulani...
Waungwana nawasalimu,
Sina muda mrefu tangu nianze utamaduni wa kusoma vitabu, inshort mi ni mchanga kabisa ktk ulimwengu wa usomaji vitabu.
Mwanzo nilikua nasoma tu ilimradi nikiona kitabu kina...
"Tunaomba mtusaidie kunusuru maisha ya watoto wetu hii shule ni kama imegeuzwa Kambi ya mateso kwa watoto wetu".
Hii ni kauli ya mmoja wa wazazi wenye watoto katika shule ya sekondari Wali...
katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 1977 yenye marekebisho madogo,nimeona katika kifungu namba 34 ibara ndogo ya sheria 4 na 5 yenye kipengele a na b,nimepata ugumu kufahamu naomba...
Sijui kama leo unaweza kuwa na wazo kama la Masoud kutaka kuzalisha kitu chochote cha kiubunifu na serikali yetu pendwa ikakuunga mkono kwa support kama wanayopewa wawekezaji wengine, sijui...
Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika wenye dalili zote za ugonjwa wa Kipindupindu, ambapo usiku wa kuamkia Julai 16, ITV imekuta...
Inakuwaje zaidi ya mara tatu naota napigana na mshua😂, yaani tunapigana sana na mawe wakati mwingine namhurumia lakini na yaye ananitupia mawe inabidi na mimi nimrushie.
Yaani tunapigana sana 😭...
Naomba msaada Huyu mtu kaiba mali ya kutosha Plant.
Carbon zenye Dhahabu atakayemuona naomba tuwasiliane 0744419100 Kuna zawadi nono itatolewa.
Sehem Carbon zimeibiwa na Majengo, sangambi chunya...
Daniel alifanikiwa kuuona mwaka mpya lakini hakumaliza hata robo ya siku katika mwaka huo.
Ikiwa ni alfajiri ya saa kumi na moja, siku ya Ijumaa ya tarehe 1 January 2021, Dan alikuwa njiani...
Wazazi tuache kuwadekeza watoto wetu ndo Mana matukio ya ubakaji na ulawiti yanaongezeka.
Leo nimeenda kumtembelea jirani yangu ni family friend nimemkuta yupo sebuleni na mtoto wake wa kiume wa...
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:-
Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo?
Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
Hapa nitaongea kwa ufupi sana na hii mada inawahusu mafundi wa aina zote hasa wale wanaokuja majumbani au maofisini kufanya matengenezo fulani kuanzia mafundi ujenzi, wapakaji rangi, fundi umeme...
Wanawake ambao ni wafanyabiashara wa nguo za mitumba wamegundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu kwa watu wa kupato cha chini.
Wanawake hao wamekuwa wakienda Dampo/jalalani...
Huwa nasema kila siku humu, CCM mtaji wao mkuu namba moja ni Ujinga wa hili taifa na pili na umasikini.
Bodaboda ni watu wanatumika kisiasa sana na kwa sababu ya kiwango chao cha juu cha ujinga...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya inamshikilia SHABAN MUSA ADAM (54) mkazi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kutengeneza dawa za kulevya.
Akiongea na Wanahabari Mkoani Dar...
Naanza kuamini kwamba mwendokasi ulikuwa uongo mwingine wa wanasiasa, kwamba wanataka kuondoa kero za usafiri jijini kwa ajili ya wananchi. Hizi barabara zilitengenezwa kwa ajili yao kukwepa...
Jana nimegundua quality ya tv imekuwa chini sana nikiwa nachek tbc na itv ,startv,sio kawaida nikajua labda ni tv yangu inashida,nikaona ngoja niende Kwa jiran kuangalia Ili nipate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.