Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu!
Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
“Nimetamani kwa miaka mingi kucheza Real Madrid na leo ndoto yangu imetimia"
"Nina furaha sana. Nataka kumshukuru Rais Florentino Perez...
Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo
Habari wakuu,
Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia...
Just imagine hii ni karatasi ya mtihani wa "MOCK" uliofanyika mwaka huu mwezi May tu hapo, ila hata kabla ya wanafunzi hawajapewa "Marking Scheme" tayari answer sheet yake imeshafika Dar kutoka...
Ni kweli kuwa simu ni yako, ila unapokuwa kazini na umeandikisha namba yako kuwa ndio itumike kwa mawasilaino si busara kutopokea simu na huna sababu ya msingi ya kutopokea.
Hata mimi huwa...
Habari wakuu,
Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe...
Hakuna haja ya salamu.
Katika maisha unatakiwa kukimbilia ndoto zako na sio kufuata mkumbo kwamba kila mtu lazima asome sana ndio afanikiwe, wafuatao ni watu walioacha shule leo hii ni mabilionea...
Ntajaribu kueleza kwa lugha nyepesi ili kila mtu afahamu kuhusu voltage optimization.
VOLTAGE OPTIMIZER NI NINI?
Ni kifaa ambacho kinasaidia vifaa vyako vya umeme kutumia nguvu sahihi bila...
Kwanini panakuwa na Usiri katika ajira ndani ya Usalama wa Taifa?
Mbona CIA hutangaza nafasi na watu huomba
Kwanini wasianzishe mchakato wa watu kuomba?
VPN au VIRTUAL PRIVATE NETWORK ni teknolojia ambayo inakupa ulinzi na usalama wakati unatumia Internet hususani Public networks au mitandao ya Umma .
Kwa kifupi inazuia kuonekana utambulisho wa...
Wizara ya Ardhi inakushauri usijaribu kufanyia lamination hati yako ya umiliki wa ardhi kwa sababu inaweza kukwamisha wakati wakuuza ardhi husika, kukopa au kufanya transfer yoyote.
Ndugu...
Naandika hii kwa masikitiko sana kwani tangu tumekuwa tukiripoti yanayojiri shule ya msingi Mugundu ilioko wilaya ya Iramba kata ya Kyengege mkoani Singida hakuna hatua yoyote inayochukuliwa...
Habari za jioni waumini....
Zifuatazo ni nukuu au maandishi yaliyomo katika vitabu viwili vitakatifu.
Yesu alikuwa amelala akiegemea mto sehemu ya nyuma kwenye ile mashua, Wanafunzi wake...
Sisi Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Tiba kwa njia ya Vitendo hapa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tunaomba Serikali au Wizara husika iajiri Wakufunzi wa...
Nina kero yangu ya muda mrefu sana, mimi ni muajiriwa lakini pia ni mfanyabiashara ambaye nimefungua duka la vinywaji kwenye Soko la KIGILAGILA lililopo Kata ya Yombo Kiwalani Wilaya ya Ilala, Dar...
Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms.
Network inakua hakuna kwa ujumla...
Sitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha:
1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize...
tuna mchanga umekaa tu jangwani,kwanini wanaohusika wasiuze kwa wajengaji na wanunuaji.
Mchanga mzuri na utaingiza pesa,pamoja kuufanya mto wetu pendwa wa Msimbazi uwe na kina kirefu wakati huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.