Unadhani ni nini kinasababisha tatizo la dawa za kupunguza na kuongeza mwili (Kujenga Shape) na vipodozi vyenye madhara kuendelea kuwepo nchini licha ya madhara yake kujulikana? Unapendekeza hatua...
Naanza kwa kuwatukanizia wale wote walio ni laghai nilipokuwa mtoto mdogo kwa kuniambia eti :
1. Nimerithi dhambi ya asili kutoka kwa mtu anaitwa Adam.
2. Eti nimeletwa duniani kufanya...
Wafanyabiashara wa Moshi wenye malori wamegoma kuingiza malori barabarani baada ya sitomfahamu ya kodi iliopanda pasipo kushirikishwa
Wakiongea kwa uchungu wamesema wao waliitwa wakajulishwa...
Watoto kutoka Mtwara, Singida, Nairobi n.k wakutwa katika mazingira yasiyo rafiki ya malazi huku wakikosa elimu dunia msikitini Kiluvya wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani nchini Tanzania wakipatiwa...
Tunapofanya usanifu wa chanzo cha kuzalisha umeme tunakuwa na malengo, bwawa la JNHPP litakuwa na uwezo wa kuhifadhi maji ujazo wa bilioni 35, maji haya yanaweza kutumika kwa zaidi ya miaka miwili...
Akizungumzia maboresho ya Huduma ya Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka “Mwendokasi”, Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, leo Julai 15, 2024, amesema kuna changamoto kubwa ya wizi katika huduma hiyo...
Dalili zinaonesha kwamba, watumishi wa Umma walioanza kazi mwaka 2009 mwezi wanapanda daraja, hivyo watakuwa daraja moja na walioanza kazi miaka ya 2003. Hawa wote wana sifa moja.
Kama ni kweli...
Habari
Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania.
Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi...
Habari
Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania.
Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi...
Rais Samia Suluhu Hassan amekataa daraja kuitwa jina lake, akisema ni vema liitwe Mama Maria, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ikiwa ni sehemu ya zawadi ya kazi ya kupigania uhuru wa...
Dar es Salaam.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia.
Ni...
Wengi tunaamini elimu ni ufunguo wa maisha, ikiwa na maana baada ya kuhitimu nitaajiriwa na maisha yataendelea.
Ingawa sehemu kubwa, elimu imekuwa si fumbuzi katika kutatua kero za jamii; na hii...
Niliwahi kuishi UK na nikarudi nikiacha ndugu zangu kule sasa nawaza nawezaje kurudi kuwaona.
TARATIBU GANI NIFWATE AU ZIFWATWE ILI NIWEZE PATA VISA NA VITU VINGINE ILI NIWEZE KWENDA KUONDA...
Wakuu nina swali??
LEO KATIKA PITA PITA ZANGU
Nimekutana mtandao (Whatsapp status) na dogo mmoja tulikutana ofice moja hapa jijini wakat nasajili campuni yetu.Kwakua yeye alikua very educated...
Nakumbuka kipindi kanisa ni moja tu la katoliki mambo yalikuwa worse sana kiasi ambacho padre alionekana mungu.
Kufunga ndoa tu ilikuwa issue sana mpaka utazungushwa weeee mpaka utakata tamaa...
Kwa ambao hamfahamu kuna hii michezo ya wakina dada siku hizi wanamichezo yao ya vyombo .inakuwa design kama mpo watu kumi kila wiki anatoka mmoja ila mnachanga hela lakin kupokea ni vyombo au...
Kila mwaka shule za Serikali huagiza wanafunzi wapya wanaoanza kujiunga na shule hizo kwenda na majembe, makwanja, reki, mafagio nk kama sehemu ya mahitaji ya vifaa vya kukamilisha wanaporipoti...
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo amefichua namna wauza nyama buchani wanavyocheza na mizani na kuwaibia wateja wao kwa kuwawekea vipimo visivyo sahihi.
Alibainisha mbinu hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.