Papa Francis amesema Jahananu haipo! Alipoulizwa wanaokufa na dhambi wanakwenda wapi, akajibu: Wanapotea angani na hakuna adhabu wanayopewa.
Does Hell Exist? Pope Francis Says No In New Interview...
Hello!
Binafsi Mimi ni mkristo (Charismatic Christian), mlokole.
Hapa sizungumzii dini ipi au dhehebu lipi ni bora au sahihi mbele za Mungu. Nazungumzia watu bora katika jamii waluofanywa na...
Polisi wamesema wanamshikilia mwenye duka Hilo bila kumtaja Kwa madai ya sababu za kiuchunguzi.
====
A woman named Faraja Bembela, 28, a resident of Lusisi village in Tanzania and a grocery...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wakazi 11 wa Ifakara Morogoro kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni sita kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya...
Mtoto huyu anaitwa Sabrina Issa Shaban anasoma shule ya msingi Msigani darasa la tatu jana majira ya saa 13:000hrs mchana alikuwa anatoka shule kurudi nyumbani lkn hajafika nyumbani kwao hadi...
Kuuliza si ujinga. Nakumbuka mara ya pili walitangaza kujenga barabara Ubungo Kimara.
Watu waoga wakavunja mpaka leo hii ile njia haijajengwa. Sasa kuna hii njia ya kmr bonyokwa tunapenda sana...
Habari wakuu,
Hii barabara kuanzia Segerea-Bonyokwa mpaka Kimara kwa sisi wakazi wa maeneo hayo ilikuwa kero kubwa sana sababu kutokana na ubovu wake hasa kipindi cha mvua. Hii barabara imekuwa...
Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara...
Nimeifuatilia hii kampuni kwa kweli inauza viwanja kwa bei rafiki na wanaruhusu kulipa kidogokidogo ila changamoto inakuja kwenye page yao wanayotumia ya instagram wamelimit coments kiasi wateja...
Mnamo tarehe 29 Aprili nilifika katika zahanati hiyo iliyopo Halmashauri ya Mbinga Kata ya Lusonga nikashangaa kuona wanawake wajawazito wanatozwa Tsh 500 wakidai wahudumu wa pale wakidai kwa...
Moja ya amri kumi ni kuabudu siku ya sabato, Siku takatifu iliyotengwa na Mungu kuturuhusu KUPUMZIKA kwa kuziweka kando shughuli zetu na tunashukuru kwa kujumuika pamoja kwenye shughuli za kuabudu...
Nimeona nchi nyingi za Bara la Ulaya, america, Australia na Asia zikifanya jitihada za kuvumbua teknolojia ambazo kimkakati zinakuwa muhimu kwa nchi na historia ya vizazi vijavyo, kwa sasa China...
Ninavyojua, watumishi wa secta binafsi huchangia mfuko (NSSSF) mara mbili ya watumishi wa umma (Serikali)
1. Namaanisha watumishi wa secta Binafsi huchangia asilimia 10% ya mshahara na iliyobaki...
Maisha Yana Badirika sana
Kuna Muda unaweza kufikiri kwamba umefika mwisho Kila kitu kimeisha na hakuna tena TUMAINI la maisha.
Lakini MUNGU anavyobadirisha maisha ya MTU ni kwamba ... Muda...
Maafisa wa Polisi nchini Kenya wameingia katika mitaa mbalimbali ili kukabiliana na mamia ya waandamanaji katikati mwa jiji la Nairobi.
Waandamanaji hao wamedai lengo la maandamano hayo ni kutaka...
Kwa mnaojua au mnaofuga Paka me Nina swali moja Kwa mfano nyau kazaliwa leo halafu ukamtenga na mama yake je atajua umuhimu wa kufukia kinyesi chake?? Na kama atajua ni nini hiko kitachomwongoza?
Jamani kuna tatizo kwenye mabucha ya nyama hasa mitaa ya Mbezi Beach, wanajifanya wanauza nyama bei rahisi kumbe kwa kila kilo wanapunguza gram 200.
Wanaohusika tunaomba mtuokoe, sina details...
Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa...
Haamini Kama Kuna Siku ya Kiama
Ukijiona wewe ni kiongozi, na unaona watu unaowaongoza wanalalamikia uvunjifu wa Katiba, kanuni, miongozo, na taratibu ambazo kwa viapo vyako na ahadi yako kwa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.