kuna elimu hapa japo niligusia ila sikuona watu kuweka maanani ila ni ukweli kwamba roho za watu kama zijatakiwa kufa ni ngumu kuondoka.
Huyu dada alisimulia kuhusu mdogo wake alitoweka na...
Habari zenu wakuu, naomba msaada hapa jinsi ya kufile kwa ajili ya kuomba visit visa.
Mfano: Ikiwa mtu muda huu hana kazi wala biashara yoyote, yaani hayupo vizuri kichumi, ikiwa ina maana...
Habari wana jamii forums
Naomba kwa anayefahamu au aliewahi kwenda marekani,jinsi ya kupata visa,utaratibu wa kufata na inachukua mda gani hadi kufika ukapatiwa visa yako ya kusafilia
Nampango...
Habari zenu bhana
Naomba niende moja kwa moja najua ntapata wajuzi wa kunishauri.
Baba yangu alikua mwalimu kabla hajastaafu. So alikua anapokea penshen ile ya kila mwezi mpaka alipofariki mwaka...
Walimu mimi Naomba niwaambie tu kitu kimoja, acheni Tamaa za kuingia kwenye madeni yasio na maana mbona mnatia aibu. Mnanuka shida kwanzia unyayo mpaka unywele. Loooh!!!! Mnakeraaaa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema maboresho ya Elimu yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita yamechangia kuongeza ufaulu kwa...
SOMO
UFUGAJI WA FUNZA
funza ni nini?
Funza hawa ni moja tu kati ya hatua za ukuaji za wadudu walukao, watu wengi hufikili hao funza hubaki kuwa funza mpaka mwisho jambo ambalo si la kweli hawa...
Kwa mara kadhaa nimekuwa nikisafiri toka Mtwara kwenda Dar. Kuna baadhi ya maeneo Kwa kipande cha barabara ya mkoa wa Lindi kuna MASHIMO makubwa sana. Mashimo husika yanaweza kusababisha ajali ama...
Ninakwazika sana na unafiki wa serikali na asasi za kutetea haki za watoto.Mmekuwa mnapiga vita ndoa za utotoni na kupigania haki ya kupata elimu.
Mbona wamasai,wasukuma bado wanatabia mbaya ya...
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama...
UDATES
Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate
Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his...
Wasalam mabibi na mababu,
Yaani huwa nashangaa hii kero ya maji iliyopo Mkata - Handen, yani maji ni shida balaa ukiangalia huu mji tayari una Halmashauri, tayari una hospital ya wilaya Kitendo...
Wilaya ya Bunda Ina halmashauri kuu mbili, halmashauri ya wilaya na ile halmashauri ya mji wa Bunda. Wilaya hii Ina majimbo matatu ya uchaguzi; Bunda mjini, Mwibara na Bunda vijijni..
KISIASA...
KAMATI ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu utekelezaji wa Programu ya Kizazi Chenye Usawa wa kiuchumi (GEF) imezipongeza taasisi zinazowezesha upatikanaji wa haki za wanawake na watoto Zanzibar kwa...
Kwa mshangao mkuu, ni kama dunia nzima imepigwa upofu, watu wanataharuki, ni nini mustakabali wa mwanadamu ili hali kuna akili mnembe?
Nakuambia wewe kizazi cha nyoka, AI haiwezi kufanya kazi...
1.0 UTANGULIZI
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu ndani na nje ya nchi kuwa dirisha la maombi ya udahili kwa...
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.
Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua...
Aisee nimeangalia uwekezaji wa Azam TV kwa kununua mitambo mipya ya mabilioni ya pesa. Duuuh kuna media zina pesa wallah....Mabilioni ya pesa hapo yametumika!!
Hawa watu wamejipanga kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.