Akifanyiwa mahojiano na kituo cha Habari cha Global TV Dkt Sule ameeleza masuala mbalimbali yanayohusu kupata mali kwa kutumia majini. Akifafanua kwa imani yake kuwa kupata mali kwa Majini si...
Kijana mmoja almaarufu kwa jina la SON mkazi wa Sengerema jijini Mwanza amekuwa gumzo kwa wakazi wa wilaya hiyo kwa kujifanya askari wa jeshi la polisi.
Kijana huyo mwenye mtandao mkubwa wa...
Unafkiri kwa nini wanafunzi wanaolipiwa mikopo na Serikali kwenye vyuo vya Serikali wanazuiliwa kufanya mitihani ada ikichelewa, wakati ada inalipwa na Serikali?
Kwamba hawaamini kama watalipwa?
Hawa jamaa historia inawahukumu sana, 60% ya wazungu wote wana depression ambayo imekuwa affected na historia ya hio race.
History ya slave trade imeeathiri sana akili za current generation ya...
Hii nchi ina vituko sana, kumbe 5G ni mchongo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku mitandao ya simu ikijitapa 5G kuenea nchi nzima, na nape akijitapa hivyo, ukweli ni kuwa hali sio hivyo
Dar sehem...
Huu mjadala nimeutoa Facebook tuuchakate kwa mapana yake.
Ni kwa nini taasisi za kanisa zinapotengeneza faida waumini hatuhusishwi na wala hatunufaiki na lolote?
Ukondoo sasa basi, tunatumia...
Salama humu.
Sijui ni lini hizi noti zilianza kutengenezwa na kuanza kutumika, naona ni muda mrefu sana umepita. Na ni muda sasa muafaka wa kupata noti mpya hasa hizi za tsh 1000 na 2000.
Unajua...
Kabla ya yote tufahamu kuwa kinacho muua mtu si kiasi cha msukumo wa umeme (Voltage),bali kinacho fanya tukio la mauaji ni kiasi cha mtiririko wa umeme (Current).
KIASI CHA UMEME WA TANESCO...
UNYONYAJI NA UTAPELI WA MADHEHEBU YA DINI.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Angalizo; Makala hii inaweza isimfae kila mtu, hasa wale watu waliofunga fikra zao. Ikiwa wewe ni mmoja wao watu hao...
Nmekuwa nikiangalia mawazo mengi ya vijana humu ndani. Wanachukia wenye pesa... Wanachuki kali sana ambayo inasababishwa na Utapiamlo.
Wengi wakiwa wadogo hawakupata chakula kizuri na wengine...
Habari za wakati huu wanajukwaa
Naomba mnitoe ushamba na mtujuze kwa wale ambao hatufaham ni sababu zipi za kiufundi hupelekea matumizi ya kokoto katika ujenzi wa njia za reli.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia 80.
Mhe...
USAMBAZAJI WA UMEME VIJIJINI NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI KUANZA TAREHE 20.7.2024
Afisa wa REA Mkoani Mara ametoa taarifa kwamba usambazaji wa umeme kwenye vitongoji vyetu unaanza tarehe...
Hati za umiliki wa ardhi 1,134 zatolewa Sabasaba 2024
Wananchi wa Dar es Salaam, Dodoma na Pwani wafurika kupata hati zao.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetumia fursa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.