Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari za asubuhi. Somo tajwa hapo juu lahusika. Sisi tuliosoma nje ya nchi tukirudi Tanzania kwenye taasisi za serikali tunanyanyapaliwa sana. Suluba inaanzia hapa: Kwanza tunaambiwa...
48 Reactions
473 Replies
28K Views
Habari Wana JamiiForums, Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na shughuli za kila siku. Leo ningependa tujadili jambo muhimu sana linalotuhusu sisi sote kama Watanzania. Tujaribu kuangalia...
0 Reactions
10 Replies
608 Views
Hivi, huyu jamaa ana agenda gani? Kwanini anaachwa?
12 Reactions
71 Replies
3K Views
1.watu ni lazima wale wapate nguvu mtu hawezi kufanya matendo ya kununua nguo, viatu, computer, kusafiri, kufukuzia mchumba kama hajala yaani lazima tu kipaumbele kiwe kula 2.rahisi kuikuza kwani...
2 Reactions
2 Replies
775 Views
Utukufu wa Mungu udumu milele; Mungu afurahi katika kazi zake.Jina la Mungu libarikiwe tangu sasa na hata milele. Kutoka maawio ya jua hata machweo yake, jina la Mungu lisifiwe.Bwana yu juu ya...
3 Reactions
4 Replies
368 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeunga mkono hatua ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo kuandamana kwenda ofisi ndogo za chama hicho, kikisema walikwenda mahali sahihi kwani hakiwezi kujitenga na...
0 Reactions
4 Replies
384 Views
Kuna kila sababu ya kujitafakari upya Yaani nimeagiza balimi mbili moja ni 500cc, kwa hivyo balimi mbili ni 1000cc, ambapo balimi moja ni TZS 2000/'- yaani kwa muktadha huo 1000cc za balimi ni...
9 Reactions
20 Replies
984 Views
Habari zenu waku, natumaini Jumapili ya leo ipo salama kabisa huko mlipo.. Nikiwa miongoni mwa watz, wengi ambao tukiamka tu jambo la kwanza tunashika simu zetu na kuangalia kama kuna jumbe au...
15 Reactions
73 Replies
1K Views
Utulivu wa nafsi ni mafanikio Kwa mujibu wa tafiti za kiroho inathibitishwa kuwa asilimia 75 ya wakazi wa hapa duniani hawana nafsi. Ikumbukwe binadamu anakamilishwa na vitu vitatu ambavyo ni...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Hii kitu inantesa sana Juu ya Ndugu pamoja na marafiki, huwa nakaa kimya sana hata Wakiniudhi au kunikosea kwa jambo lolote. Je, ni jambo gani wakuu?
1 Reactions
10 Replies
259 Views
Familia ya mchungaji Obedi kimati inavurugana kisa mashamba alio acha baba Yao baada ya kufariki wameshindwa kugawana kutokana na tamaa ya mkubwa mmoja kuyatawala yye peke yake na kutotaka...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mzuka wanaJF! Kuna wimbi kubwa la wasomi wahamiaji Denmark kuikimbia Denmark. Wamechoka kubeba boksi. Unakuta mtu ana elimu ya juu masters phd lakini anabeba boksi kweli kisaikolojia anaumia...
26 Reactions
186 Replies
22K Views
𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮 𝗠𝗮𝗴𝗵𝗮𝗿𝗶𝗯𝗶 1️⃣ 𝗕𝗲𝗻𝗶𝗻- 𝗗𝗮𝗵𝗼𝗺𝗲𝘆 Uhuru 1960, ikiitwa Republic of Dahomey 1975 ikaitwa People's Republic of Benin 1991 ikawa 𝗥𝗲𝗽𝘂𝗯𝗹𝗶𝗰 𝗼𝗳 𝗕𝗲𝗻𝗶𝗻 2️⃣ 𝗚𝘂𝗶𝗻𝗲𝗮 𝗕𝗶𝘀𝘀𝗮𝘂 - 𝗣𝗼𝗿𝘁𝘂𝗴𝘂𝗲𝘀𝗲 𝗚𝘂𝗶𝗻𝗲𝗮 Karne ya 19...
2 Reactions
8 Replies
639 Views
Huu uzi ni kwaajili ya wale ambao GPA zetu zipo chini ya 3.5 Naomba tupeane mrejesho kama hizi GPA zetu zimetuathiri chochote mtaani? Mimi binafsi GPA yangu ni 3.1 net, tangia nimeingia kitaa...
20 Reactions
121 Replies
12K Views
Salaam, Shalom!! I declare interest, Mimi Rabbon ni baba wa watoto wengi, mtoto yeyote popote ni mwanangu sababu Mimi ni mwalimu wa watoto kiimani na kiroho. Twende haraka kwenye mada, zipo...
7 Reactions
15 Replies
878 Views
Kwa mujibu wa Matokeo ya Mtihani wa Kihitimu Kidato cha 6 uliofanywa Mei 2024 na kutangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Ufaulu wa Watahiniwa waliopata Daraja I - III umeongezeka kwa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika kuperuzi huku na kule nimekutana na usahili wa huyu bingwa Kiboko ya Wachawi na mwandishi mmoja. Anaulizwa mbona mabodigadi, wapiga picha na vinanda hawaanguki kama wale waumini anasema ni...
4 Reactions
11 Replies
600 Views
Hivi zamani middle east kulikuwa na simba? Ile hadithi ya Samson kutoka kwenye biblia alipomkamata simba kwa mikono akamrarua vipande natafakari wale simba walikuwapo middle east? Biblia inasema...
0 Reactions
12 Replies
796 Views
nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya...
4 Reactions
64 Replies
21K Views
14.7.2024 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na Wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha Maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Back
Top Bottom